uliza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KWA MTUMIANI WA SIMU ZA XIAOMI , NAOMBA ULIZA HILI SWALI KUHUSIANA NA CAMERA INAYOCHUKUA VIDEO

    nataka kununua simu za XIAOMI , naomba ulizia je simu zipi za XIAOMI Zina camera lenz ya 0.5x ,1x na kuendelea ? na je kuchukua video Kwa camera , ni ipi inaleta good video alignment iliyobora isiyocheza cheza ,yaani kutetema tetema ...video yenye shaking momentum ?
  2. JamiiForums Tanzania Abiria wanaopanda bodaboda wasio na leseni nao watozwe Faini. Kabla hujapanda boda, uliza leseni kwanza

    ABIRIA WANAOPANDA BODABODA WASIO NA LESENI NAO WATOZWE FAINI. KABLA HUJAPANDA BODABODA, ULIZA LESENI KWANZA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Leseni ni kama kadi tuu. Inaweza kuwa softcopy kwa wenye simu kubwa, au hardcopy kwa wasio na simu. Sio mzigo mkubwa. Haya mambo mtu anajifunza...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mrejesho3,mtoto umri miaka 10 anakojoa mkojo umechanganyikana na damu

    Wakuu nimerudi kuwapa mrejesho Tena,baada ya kumaliza dawa za kichocho prazquantel 600mg vidonge vinne hali ya mtoto ikawa vile vile Bado anaendelea kukojoa damu Leo asubuh nimeamkia hospital hapa yawakatoliki hospital ya kati tu,mtoto akaandikiwa vipimo Tena vya damu,mkojo,ultrasound ya...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Anakojoa mkojo umechangayika na damu Wakuu na uliza presha ya mtoto umri miaka10 kg 37 anatakiwa awe na presha isiyozid ngap

    Wakuu yule mtoto wangu anakojoa mkojo umechanganyikana na damu nauliza presha ya mtoto inatakiwa iwe ngap,mtoto ana umri miaka10
  5. JamiiForums Tanzania Uliza Swali lolote kuhusu Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba (Herbal)

    Kwa uzoefu wa zaidi ya miaka 10 kwenye eneo la Anatomy, Fiziolojia na Mimea tiba nilojifunza maeneo tofauti kuanzia Guangzhou, Dubai , MUHAS (Muhimbili kitengo cha tiba asili) na tafiti kwa matabobi wakongwe . Nitakuwa nashare nanyi uzoefu na kutoa kozi fupi fupi za wanaopenda kubobea maeneo...
  6. JamiiForums Tanzania Kijana Usithubutu kuzaa nje ya Ndoa! Tafadhari sana! Uliza wakongwe

    Tafadhari tafadhari sana. Mtoto wa nje ya ndoa ni shida sanaaa! Hii hesabu haijawahi kukaa vizuri. Mimi ni muhanga
  7. JamiiForums Tanzania Kuna vitu flani ukishakuwa 35+ unapaswa kuwa na majibu yao, huu sio tena umri wa kujiuliza uliza na kutokuwa na msimamo wa kile unachokiamini

    Unapaswa uwe na jibu binafsi la kama unamiini Mungu yupo na unamtumainia au lah. Unapaswa kuwa na malengo tayari unayoyaamini na unaya pambania kwa jasho na damu ili upige hatua zaidi ya ulipoyafikia. Huu sio umri tena wa kuwaza kama kijana wa miaka 22 "hivi nifanye kitu gani" Ni umri ambao...
  8. JamiiForums Tanzania MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀.

    MIMI : Nikuulize jambo, askofu? ASKOFU: Ndio, uliza mtumishi wa Baba 😀. MIMI: Hivi kati ya Mungu na nyoka nani aliyemdanganya Mtu pale ‎bustanini? ASKOFU: Nyoka ndo alindanganya mwanadamu. Mungu...
  9. JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu Passport na Namba ya NIDA

    PASSPORT NINI Ni hati rasmi ya kusafiria inayotolewa na serikali ya nchi, ambayo hutumika kuthibitisha utambulisho na uraia wa mtu, ikimruhusu kusafiri kimataifa na kuingia/kurudi nchini kwake, ikifanya iwe chombo muhimu cha kuvuka mipaka na kuomba ulinzi wa kibalozi nje ya nchi. Vigezo &...
  10. JamiiForums Tanzania Mnauhakika hao ni wanajeshi au wale wauwaji wamepewa sare za jeshi

    Msiwe wajinga hao ni wauwaji kamwe msikubali wawaingize kingi Wamepewa bunduki mpyaaaaaa Msidanganywe wanajeshi wapo pamoja na nyie nyie jipambanianeni tofauti yenu na wao ni bunduki tu hayo waliovaa ni mavazi tu usitegemee binadamu mwenzio akupambanie fellas Wale ni wauwaji na wamepewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…