Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi zote nchini kuhakikisha zinazingatia kikamilifu matakwa ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, ikisisitiza kuwa kutokufuata sheria hiyo kutasababisha hatua kali za kisheria.
Kwa mujibu wa Tume hiyo, adhabu kwa watakaobainika kukiuka...
"Serikali za Afrika zinapaswa kuanzia sasa kuwatafuta expert hackers with Ethical Hacking experience kutoka ndani ya nchi zao na kuwaajiri na walipwe vizuri. Watu hawa ndio nguzo pekee wa kuhakikisha usalama wa taarifa za Taifa na kulinda mifumo yote ya kiserikali na siri nyeti.
Nasisitiza...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imesema kuwa mtu au taasisi yoyote itakayobainika kukiuka faragha au kutumia taarifa binafsi bila ridhaa ya muhusika au kinyume na taratibu zilizowekwa kisheria, itawajibishwa ipasavyo bila kujali hadhi au ukubwa wake.
Kauli hiyo imetolewa leo jijini Dar...
Katika zama za kidigitali, taarifa si tu chanzo cha maarifa ama elimu bali pia ni nguvu ya kijamii na kisiasa. Haki ya kupata na kulinda taarifa binafsi imekuwa moja ya mihimili ya demokrasia na utawala bora.
Hata hivyo, mijadala ya sasa kuhusu Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi nchini...
Leo, Septemba 06, 2025 nimemuandikia rasmi Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari juu ya uamuzi wangu kujiuzulu ujumbe wa Bodi katika Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Niliteuliwa Disemba 18, 2023 na nimehudumu kikamilifu majukumu yangu...
Kwanini tunalinda Taarifa Binafsi?
Innocent Mungy, Mkuu wa Uhusiano na Mawasiliano - Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) amefafanua kwa kina kuhusu Swali hili wakati wa Mafunzo ya siku moja ya Dhana ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Maafisa Habari wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) na...
Dkt. Noe Nnko
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imezitaka taasisi na mashirika kuwa makini katika matumizi ya taarifa za watu, kwani mtu yeyote ambaye taarifa zake zitatumika bila idhini anaweza kudai fidia ya hadi Sh. milioni 100, kwa mujibu wa sheria.
Akizungumza Machi 1, 2025...
Wanabodi
Niko hapa Morena Hotel Morogoro kuwaletea live, warsha ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Jukwaa la Wahariri (TEF) kuhusu dhana ya ulinzi wa taarifa binafsi.
Karibuni.
====
Update ya Matukio
- MC wa event hii ni Innocent Prim Mungi, amemkaribisha Mwenyekiti wa Jukwaa la...
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) imeongeza muda wa mwisho wa usajili kwa taasisi zote za umma na binafsi ambazo hazijajisajili kabisa na ambazo hazijakamilisha hadi kufikia tarehe 30 Aprili, 2025 baada ya muda wa usajili wa hiari kumalizika tarehe 31 Desemba, 2024 kama ilivyoelekezwa na...
Taasisi ya JamiiForums kwa kushirikiana na Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi (PDPC) iliendesha Mafunzo ya Uelewa wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi kwa Mhimili wa Mahakama ili kurahisisha mazingira ya Utekelezwaji wake katika Mashauri mbalimbali yanayofika Mahakamani.
Mafunzo hayo...
Wakuu salam,
Zoezi la kuandikisha wapiga kura lilizinduliwa Oktoba 11, 2024 na Rais Samia ikiwemo na yeye pia kupanga foleni (wazee wa maigizo) kujiandikisha kwaajili ya uchaguzi huo unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024.
Swali ni kuwa, kwanini uandikishaji huu unafanyika kwenye makaratasi...
Hii ni sheria ya 2022 , lakini ni vyema kujifunza yafuatayo tunavyoelekea kwenye kesi ya Tundu Lissu vs Tigo kama mkusanyaji na mchakataji wa taarifa za Tundu lissu.
1. Kuna Tume ya ulinzi wa Taarifa binafsi
2. Mtu yeyote atakayebaini kuwa mkusanyaji au mchakataji amekiuka misingi ya ulinzi wa...
Hapa chini ni nyaraka zenye taarifa binafsi za mtu ambaye anaonekana aliomba nafasi ya kazi mahali fulani, lakini baada ya nyaraka zake kuisha kuisha umuhimu wakazitelekeza kiholela. Sijui waliuza hizo karatasi au walitupa watu wakaokota, haieleweki. Ila sasa zinapatikana kwa akina mama wauza...
Serikali imeitoza kampuni ya META faini ya Dola za Marekani Milioni 220 (takriban Tsh. Bilioni 583.8) ikiwa ni baada Mitandao ya WhatsApp na Facebook kukutwa na makosa ya ukiukwaji wa Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi na Haki za Wateja
Taarifa ya Tume ya Ushindani na Ulinzi wa Haki za Walaji...
YAH: ONYO DHIDI YA KUFUNGA VIFAA VYA USALAMA (CCTV) KWENYE MAENEO YA FARAGHA
Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi - PDPC inatoa onyo kali kwa Taasisi na kampuni zote zinazotumia kamera za usalama ikiwa ni pamoja na maeneo ya kazi kuhakikisha wanazingatia Sheria na Kanuni za Ulinzi wa Taarifa...
Juhudi za openAI za kupunguza matokeo yasiyo ya kweli kutoka kwenye chatbot yake ya ChatGPT yamegonga mwamba kwa sheria za data za Umoja wa Ulaya
Jopo la wachunguzi lililoundwa kwaajili kufuatilia usahihi wa taarifa za ChatGPT imesema "Ingawa hatua zilizochukuliwa ili kuzingatia kanuni ya uwazi...
Mara ya kwanza nilioona suala hili Royal Village, nimekuta wapiga picha kibao, ukikaa sura wazi wanakukochoa, na mtu umeshalipa hela nyingi kukaa kwa amani, ukitaka picha utawaita mwenyewe ila kule hali ni tofauti.
Niko hoteli nyingine leo, the same sh*t, jamaa kakomaa na kamera lake anataka...
Juzi (03.04.2024) tumeshuhudia Mh. Raisi akizindua Tume ya ulinzi wa taarifa binafsi na kusisitiza juu ya ulinzi wa taarifa binafsi kwakufata sheria. Sasa, je ni kwanini Sheria ya ulinzi wa taarifa binafsi ni muhimu kwetu watanzania? Leo nitawasanua wadau juu ya umuhimu wa sheria hii mpya nchini...
Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi ya Mwaka 2022, ilianza kutumia rasmi Mei 01, 2023 na Tume inayosimamia Ulinzi wa Taaarifa Binafsi japo ilianza kufanya kazi tangu Mei 2023, imezinduliwa jana na Rais wa Samia Suluhu Hassan.
Najua Tume ina kazi nyingi za kufanya hasa kwa wakati huu ambapo ndio...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan atazindua Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, leo, Aprili 3, 2024, Ukumbi wa JNICC.
Tume hii ina majukumu muhimu kama kusimamia sheria na kushughulikia malalamiko. Muundo na taratibu za Tume zimekamilika na zinazingatia haki za faragha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.