ulimwengu

Thomas Emanuel Ulimwengu (born 14 June 1993) is a Tanzanian football striker who is currently playing as a forward for TP Mazembe and the Tanzania national football team.

View More On Wikipedia.org
  1. Namna ulimwengu unavyodanganywa

    Data hazidanganyi, watu ndio wanadanganya Tena mchana kweupe. JImbo la Uttar Pradesh nchini India lina watu takribani 240 milioni. Asilimia 5.8 tu ya watu wote wamepata dozi kamili Marekani ina watu takribani milioni 330. Asilimia 54 ya watu wote wamepata dozi kamili - yaani zaidi ya nusu...
  2. Maendeleo ya teknolojia kwa kizazi kipya ulimwenguni kote

    Teknologia ni moja ya mandeleo makubwa yalioweza kuinua mataifa mengi kiuchumi kwa kuanzisha miradi mbali mbali inayoweza kuimarisha hali ya nchi kwa mfano teknologia imetumika kuvumbua kama ndege na meli ambazo zimesaidia sana kuinua uchumi wa nchi moja hadi nyengine, watu husafirisha bidhaa...
  3. B

    Jenerali Ulimwengu: Sioni ajabu mapinduzi ya kijeshi Guinea. Yatafika haraka nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara

    Akihojiwa na kipindi cha BBC kinachorushwa na television ya star TV tarehe 7 mwezi huu kuhusu mapinduzi ya Guinea, Jenerali Ulimwengu amesema yeye haoni ajabu Kwa yale yaliyotokea Guinea. Na akatabiri pia kuwa hali hiyo ya kimapinduzi ya kijeshi itafika Kwa Kwa haraka sana ktk nchi zote zilizo...
  4. Binadamu anapojiweka shetani anayegeuka kuwa Mungu kuutawala ulimwengu

    Umofia Kwenu! Nilipokuwa nikipitia baadhi ya stori za wadau mbalimbali nami nikahamasika kuweza kuandika walaka huu kwa kufuata mawazo na fikra zangu binafsi kuweza kuweka mbegu mpya au mtazamo mpya juu ya ulimwengu wetu huu tulionao. Lakini zaidi ya yote nimevutaka kuandika waraka huu kutokana...
  5. Jenerali Ulimwengu katuandikia kitabu- Rai ya Jenerali

    Judge Joseph Sinde Warioba at the launch of the RAI YA JENERALI book on 06. 08. 2021.
  6. I

    Jenerali Ulimwengu: Kuwa Mtumishi wa Serikali Hakumaanishi Una Akili Kuliko Wananchi

    Ni katika kuadhimisha miaka 20 ya shirika la Haki Elimu. Ameshauri watumishi wa serikali waachane na kasumba ya kuamini kwamba kuwa kwao katika utumishi serikalini basi ni wao tu wenye akili kuliko wananchi wa kawaida. Martha Qoro (PhD) ameshauri juu ya kuongeza wigo wa kujifunza lugha...
  7. Tanzania ya pili Afrika kwa Usalama wa Ulinzi wa Kidigitali

    GLOBAL CYBERSECURITY INDEX 2020 The Global Cybersecurity Index (GCI) is a trusted reference that measures the commitment of countries to cybersecurity at a global level – to raise awareness of the importance and different dimensions of the issue. As cybersecurity has a broad field of...
  8. Ulimwengu wetu ulitokeaje?

    WATAALAMU wa anga hufurahia sana kupiga dunia picha wanapoiona ikiwa kubwa kupitia dirisha la chombo cha angani. “Huo ndio mwono bora zaidi unapokuwa angani,” akasema mmoja wao. Lakini dunia yetu huonekana kuwa ndogo sana ilinganishwapo na mfumo wa jua na sayari zake. Dunia zipatazo milioni moja...
  9. Kurudisha kodi ya kichwa nyakati hizi za ulimwengu ulioendelea ni aibu kubwa. Mwigulu Nchemba kuwa na aibu. Mbona kuna vyanzo mbadala vingi

    Kwanza ieleweke wazi kuwa kodi ya itayolipwa na wananchi kupitia manunuzi ya vocha za simu ni sawa na kodi ya kichwa waliokuwa wanatoza wakoloni kisha tukairithi na baadae kuondolewa miaka tisini baada ya kuwa ni kodi inayodhalilisha watu. Kwamba ukiongeza salio unakatwa pesa ili kuchangia...
  10. Mfahamu Hoyce Temu katika ulimwengu wa Diplomasia na Mahusiano ya Kimataifa

    MFAHAMU HOYCE TEMU KATIKA ULIMWENGU WA DIPLOMASIA NA MAHUSIANO YA KIMATAIFA 📍Hoyce Temu alisoma Stashahada ya Uzamili katika Usimamizi wa Mahusiano ya Kigeni yaani Post Graduate Diploma in Management of Foreign Relations (PGD-MFR) kutoka Chuo cha Diplomasia Kurasini Dar es Salaam ama...
  11. Kwanini Wewe pia ni Muhimu katika Ubunifu wa Kutengeneza wa Ulimwengu?

    Kila mwanadamu ni sehemu moja ya muundo mkubwa, wa milele - gia za kibinafsi katika saa ambayo haina mwisho. Ingawa hauwezi kuelewa kabisa kusudi lako, sehemu yako ni muhimu kama wafalme na malkia wakuu wa sayari hii. Wengine huhisi kana kwamba ukosefu wa utajiri au ushawishi wa muda mfupi...
  12. Ni maswali gani unahisi hayajibiki duniani?

    Mfano 1. Kuna nini kinaendelea baada ya kifo.? 2. Mwenyezi Mungu alitokea wapi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…