ulimbukeni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?

    Kuchora tatoo ya mpenzi wako ni kipimo sahihi cha upendo au ni ulimbukeni wa mapenzi?
  2. Je, hili la michezo ya upatu ni tatizo la afya ya akili au ulimbukeni tu?

    Salaam wakuu Nimejaribu kutafakari Wimbi la watanzania kuingia kwenye michezo mbali mbali ya upatu pamoja na tahadhari nyingi kutolewa na hata kusikia kilio cha wengi baada ya Deci na wengine wanaofanana na hao. Jana kuna mdau kaja akijinasibu kuingia kwenye Berry. Compounding huku akinisihi...
  3. Ni ulimbukeni kwenda sehemu za starehe (kula bata) siku za sikukuu

    Watanzania wengi baadhi yetu ni washamba wa starehe,hivi kwa akili yako kabisa unaweka pesa ili ukatumie siku ya sikukuu hizo ni akili za kitoto. Siku za sikukuu ni za watoto au vijana wanao ishi kwa wazazi wao kwenda kuenjoy Mana ni siku yao ya kuwa free. Ukiwa na mwanamke anawaza siku ya...
  4. Kudharau PhD za heshima ni ulimbukeni, ujivuni, dharau, kebehi na manyanyaso kwa waliopewa

    PhD iwe ya kuingia darasani na kutoa andiko, kutoa andiko, au ya heshima zote zina sifa moja inayofanana. Sifa hiyo ni kutunukiwa na chuo husika baada ya kutimiza vigezo na masharti yao. Walio na PhD baada ya kuingia darasani na kutoa andiko au kutoa andiko huenda mbele ya chuo husika na kusema...
  5. Viongozi wa Afrika ulimbukeni unawasumbua msururu wa magari kwenye misafara yao

    Katika kitu ambacho huwa hela inatumika vibaya ni misururu ya magari. Matendo Yao siyo mazuri ndo maana hawajiamini kutembea huru kwani wanaumiza wengi. Hata mkuu wa wilaya/mkoa utashangaa magari hayo Check Rais wa Ufaransa na waziri mkuu Denmark wanavyojiachia huku wakipishana na Raia bila...
  6. Huu ni ulimbukeni wa kupindukia

    Dunia nzima, sidhani kama kuna nchi inatumia jina la 'Dkt, Dokta, Dr. Daktari, kama Tanzania! Tena pasi na udhibiti. Hii ni dalili ya 'Educational inferiority complex' (mfundo wa moyoni wa uduni wa taaluma) waliyo nayo hao wanaojiita hivyo, au wanaokubali kuitwa. Maana ndani ya nyoyo zao...
  7. Wazazi mnaofungia watoto ndani acheni ulimbukeni; mnawanyima watoto ujuzi wa kuyaishi maisha watayoishi ukubwani

    Sisemi kutoka kwenda mitaa ya mbali mbali kuzuruara mbali kama enzi zetu zamani, La hasha!! kwa sasa dunia imebadilika hivyo uhuru inabidi upungue lakini isiwe kuwanyima kabisa uhuru. Ni vema uwe unamruhusu majirani marafiki zake wawe wanakuja kucheza nae kwako nae awe anaenda kwa marafiki zake...
  8. Wanaume msihadaike na hadaa za nje, wengi mnatekeleza malengo ya wengine bila kujua na kutelekeza familia

    Wanaume wenye ndoa kuanzia miaka 9. Hawa wengi unakuta wanaanza kugonga miaka 40 na zaidi. Baada ya kupambana sana na kazi au biashara au kupata cheo hapa ndipo kipimo kamili cha uanaume kinakuwepo. wanawake rika mbali mbali hasa mabinti wenye tamaa watakupenda unajua kupendwa wewe...
  9. Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

    Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines. Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku. Zama amesema kuwa mumewe...
  10. L

    Uncle Shamte ana ulimbukeni wa mapenzi

    Nashindwa kuelewa huyu mume wa mama wa mwanamuziki Diamond ana akili gani? Kila anachokifanya na mke wake anakipost Instagram, anapiga picha na mama yake Diamond za aibu.Mfano kwenye profile ya Insta kaweka picha anambashia mama Dangote. Hivi anajielewa huyu? Haoni kama anamdhalilisha...
  11. S

    Watanzania wanaolia na tozo ni malimbukeni

    Watanzania wengi hawaelewi tozo ni kitu gani na wanaona ni jambo lipo hapa Tanzania tu huko duniani halipo, na wanahisi wameonewa, hawastahili wao kutoa tozo, wanaona mambo mengine hayatakiwi kulipiwa tozo, wandugu huko majuu hata zile mataka unatupa unayalipia, choo unaenda haja kubwa na ndogo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…