ulaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    JamiiForums Tanzania Maeneo ya misaada ya maendeleo kwa Tanzania toka Ulaya kuanzia 2015-2025 na athari tutakazopata ikiwa itasimamishwa

    Kuna wabunge nimewasikia wanapayuka na nimeelewa kwamba hawajui kabisa kuwa misaada ya Ulaya imekuwa na mchango mkubwa katika maendeleo ya Tanzania katika miaka kama kumi iliyopita. Tanzania inafanya jitihada kuelekea kujitegemea, lakini bado misaada ya Ulaya ikositishwa hali hiyo inaweza...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuongozwi na hatuwajibiki kwa Bunge la Ulaya. Tutalinda uhuru na heshima yetu kwa nguvu zetu zote

    Ndugu zangu Watanzania, Kuna uwezekano wazungu Wameanza kupoteza uwezo wa kufikiri na kupambanua Mambo, wameanza kudumaa kiakili, wameanza kufikiri wapo bado enzi za ukoloni,wameanza kufikiri labda sisi ni Makoloni yao. Napenda kuwaambia ya kuwa Tanzania ni Nchi huru na Taifa huru...
  3. JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM acharuka maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania

    Mbunge wa Biharamulo Eng. Ezra Chiwelesa acharuka na kupinga vikali moja ya maazimio ya Bunge la Ulaya, adai ni dharau kwa Tanzania huku Mwita Mwikwabe Waitara akitoa msimamo kuwa kama hoja yao ni kutoleta Maji basi watakunywa hata ya Kisima na Chifu wa Kikurya hawezi kuolewa habari ya Ushoga na...
  4. JamiiForums Tanzania Mambo Makuu 18 yaliyoongelewa na Bunge la Ulaya Kuhusu Tanzania haya hapa

    Bunge la Umoja wa Ulaya limezitaka mamlaka za Tanzania kufanya mambo yafuatayo: Kukomesha msako unaoendelea dhidi ya wakosoaji wa serikali, Kukomesha ukamatwaji holela wa raia, Kukomesha vurugu za kisiasa zinazofanywa na vyombo vya dola, Kukomesha mashambulizi na unyanyasaji dhidi ya wanachama...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kulalamika kuingiliwa mambo yake(Bunge la Ulaya) na kisa cha mtoto asiejitambua

    Habari wakuu Unakuwa na mtoto mtukutu mlevi mvuta bangi...ukimpa pesa kidogo lau akanunue hata nguo anaenda kunywea yote...mtoto hakui kwa wazazi wake ana miaka zaidi ya 60 sasa,alishakuomba ajitegemee ukamruhusu lakini mambo ndio kama hayo Umeamua kwa sababu ya umri wake Acha akae jirani na...
  6. JamiiForums Tanzania Hangover ya Colonialism bado inawasumbua nchi za Ulaya - Bunge la Ulaya likiongozwa na Ujerumani walioua Babu zetu na kuwatesa

    WABUNGE WA UJERUMANI NI: Michael Gahler David McAllister Hangover ya ukoloni bado inaonekana wazi kwenye siasa za kimataifa—hasa kwa mataifa ya Ulaya. Licha ya kuondoka Afrika kwa miongo kadhaa sasa, bado wanashindwa kukubali kuwa mataifa kama Tanzania ni huru, huru kujiamulia na kuendesha...
  7. JamiiForums Tanzania Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa sana, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo

    Hoja za bunge la Ulaya ni za msingi sana kwasababu bunge lake lina akili kubwa, kuna kila sababu ya kusikiliza hoja zao na kupokea mapendekezo Siku zote katika maisha tunapokuwa wadogo tukubali kuwa tumezidiwa, ni jambo la kushangaza tunapoona mabishano kati ya Wanasiasa wa Afrika na Ulaya...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kinachojiri katika Bunge la Ulaya," na Wakili msomi Dickson Matata

    Ameandika wakili msomi: Kikao cha dharura kinafanyika leo, Mei 7, 2025, kujadili suala la Kukamatwa kwa Mwenyekiti wa CHADEMA MH.WAKILI MSOMO Tundu Lissu Wabunge wamewasilisha mapendekezo ya miswada ya maazimio yenye msimamo wa pamoja: 1. Kushutumu vikali kukamatwa kwa Tundu Lissu na mashtaka...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Je, Tanzania ipo tayari kukabilian na vikwazo kutoka umoja wa Ulaya?

    Kwa jinsi hali ya hewa ya kisiasa ilivyo nchini ni wazi kuwa kuna vikwazo vinakuja huko mbele. Je, Tanzania inaweza kukabiliana navyo? Pia soma > Pre GE2025 - Bunge la Ulaya kufanya kikao cha dharura Mei 7, 2025 kujadili suala la Tundu Lissu, baadae kupiga kura Mei 8, 2025
  10. JamiiForums Tanzania Tetesi: Msaada wa TSH 1.2 trillion kutoka umoja wa Ulaya kwa Tanzania kujadiliwa Mei 07

    Kumbe pamoja na chawa kujigamba kuwa hatutegemei mabeberu, Umoja wa ulaya unatoa msaada Kwa Tanzania almost 1.2 trillion. Tetesi zilizopo ni kuwa kwenye resolutions siku ya may 08, Kuna asilimia kubwa msaada huo ukasitishwa. EU inatoa magari Kwa ajiri ya miradi,lakini gari izo zinatumika...
  11. JamiiForums Tanzania Ulaya na Marekani Amkeni mmeshavamiwa tayari!!!

    Hapo ni Uingereza wavamizi tayari wako ndani sasa hivi wanaweka tamaduni zao, kwa miaka 10 inayoitwa Ulaya na Marekani zitakuwa chini ya mtu mwingine kabisa. WAKE-UP EUROPE!!! WAKE-UP AMERICA!!!
  12. JamiiForums Tanzania Jana Mbunge wa Kenya kauliwa na huku kwetu kiongozi wa kidini kavamiwa. It makes you wonder kwamba je wewe mpambanaji wa kawaida what worst can happen

    Aisee, Amani na Utulivu ndio tumaini la mwisho katika ubinadamu ila kwa bahati mbaya kwa baadhi ya watu sio kitu cha thamani kwao. Nawatakia Amani ndugu zangu.
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msaga sumu akitumbuiza Mei mosi asema Tanzania kama ulaya, Rais Samia anaupiga mwingi

    Msanii wa Singeli Msaga Sumu akitoa burudani kwenye maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani leo Mei Mosi, 2025 mkoani Singida ambako maadhimisho hayo yanafanyika kitaifa na mgeni rasmi ni Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
  14. JamiiForums Tanzania Wabunge wa umoja wa ulaya waonyesha mshikamano na Tundu Lisu

    Sauti zinasikika Hadi European union
  15. JamiiForums Tanzania Embu tusidanganyane Mzize, Feisal Ulaya wataisikia tu

    Hizi habari kuwa Clement Mzize na Feisal Salum wanahitajika au wanaweza kuuzwa Ulaya sijui zinatoka wapi. Hawa wachezaji wamecheza kwenye ligi ya ndani kwa zaidi ya miaka 5 na walishafika peak yao, umri tayari umesogea, ligi yetu haipo kwenye rada za mascout wa Ulaya na hatuna historia ya kutoa...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Panapo uzima nitasomesha watoto wangu ulaya au Marekani waende kupata exposure, Watanzania wengi hatuna exposure ndio maana tunafeli maisha

    Update: watu wengi wanatoa maoni kuogopa watoto wao kurudi wakiwa mateja au upinde, Hofu hii hujengwa kwa vitu vichache tunavyoviona mitandaoni vinavyokuzwa kuzidi uhalisia (mfano huwa tunadhanani wanaume wengi ulaya wamepinda ila ukienda nchi kama uingereza ni asilimia 3 tu). mlee mtoto kuwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ili Air Tanzania iweze kupenya soko la ulaya inabidi ifanye mipango na mikakati ya muda mrefu.

    Juzi kati hapa kulikuwa na mjadala niliokutana nao humu mtandaoni kuhusiana na Air Tanzania kufanya safari za moja kwa moja ulaya hadi hapa Tz. Kiukweli mjadala ule ulinivutia kwa kiasi chake ,lakini binafsinikagundua ili shirika hili liweze kupenya soko la ulaya itahitaji mipango,ubunifu na...
  18. JamiiForums Tanzania Nchi za Ulaya wafungwa magerezani wanaishi maisha mazuri kuliko binadamu wengi wa Africa.

  19. JamiiForums Tanzania Bora nikaokote makopo Ulaya na degree yangu, kuliko kuokota makopo hapa bongo

    Vijana wenzangu nje KAZI zipo, tumieni maaagent nendeni Dubai Qatar na Canada fursa ni nyingi
  20. JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje nchi kama USA na baadhi ya nchi za ulaya hakuna Tatizo la ajira kama nchi zingine?

    Hili swala linaniwazisha sana. Inakuwaje haya mataifa ya wenzetu kupata kazi ya kufanya yoyote sio big issue sana. Ilhali nchi zingine kama kenya ,rwanda ,zimbabwe na nchi zingine za huko asia kupata kazi kwa ajili to make both end meets inakuwa ni ngumu na kuipata lazima u struggle...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…