ukweni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Intelligent businessman

    Vijana nisikilizeni, mwanaume wa ukweli hakai ukweni.

    sijajua imekua trend au ndio ulofa wa zama hizi, mtoto wa kiume una toa wapi nguvu ya kulala na kukoroma ukweni? Sifa ya mwanaume ni kupambana uwe na himaya yako, hata kama umepanga still ni kwako. una maamuzi na uchaguzi wa kufanya hili au lile, sasa huko ukweni uta amrisha uchemshiwe maji ya...
  2. Waufukweni

    Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

    Wakuu Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke. Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote. Tuzungumze kidogo kama...
  3. 1Africa54

    Unaenda ukweni kutoa posa unakuta beki tatu ya ukweni ina NYAASHI ya kufa mtu

    😂🙌🤣
  4. Mr Beach Boy

    Sikati Tamaa, naenda tena ukweni kumuomba mama mkwe aniombee msamaha kwa mpenzi wangu

    Wiki iliyopita nilienda kwao lakini sikumkuta mama yake, nilimkuta yeye niliongea nae ila hakunielewa.. Sasa nataka kumface mama yake juu ya hili mana hata barua ya uchumba nilipeleka. Sitaki tuachane kwasababu tulifanya maagano ya damu na amevunja... Naomba ushauri niende au nikaushe
  5. D

    Nimeitwa ukweni kwenye kikao Cha msiba (baada ya mazishi); naombeni msaada wa points wanaJF nisijeumbuka ukweni!!

    Nachangia nini' jamani?!!!! Mpaka Sasa sina hoja hata Moja. Msaada tafadhali enyi wazoefu. Kukaa tu kimyaaa Huku ukiishia kuitikia tu kama ndondo haipendezi!
  6. gallow bird

    Ni miaka mingi hawa watu humu ndani wamepotea au kuzimika

    Huyu mtu mwenye ndoto/maoni ya kweli tu wapi!?..nakumbuka maono yake kuhusu machi 17 na ajali ya ndege kule bukoba Au 'wenyewe' wamekuzuwia kuanika ndoto kuhusu jamhuri hadharani!? U wapi ndugu yangu!?
  7. kyagata

    Niko ukweni halafu nahisi kuvimbiwa,nifanyeje?

    Wakuu ebu tupeane mbinu. Niko ukweni huku usukumani,wamenilisha mivyakula yao mingi mpaka nimevimbiwa.choo ni cha nje afu cha kushare,hapa nahisi muda wowote tumbo linavurugika. Nitumie mbinu gani wasijue kuwa nimevimbiwa?
  8. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwenu ma-Legendary Utafanyaje umeenda ukweni na ukawadanganya kuwa umeokoka hivyo pombe hutumii?

    Wapo watu huwa wanapenda kuficha tabia zao hadi kwa wake zao. Wapo hata humu ni walevi wanakunywa pombe ila wake zao hawajui kabisa wameshawadanganya wameokoka. Niliwahi msindikiza rafiki yangu ukweni kwakwe ambae huwa tunapiga nae vyombo kama kawaida Mke wake alikuwa amemwambia huwa hanywi...
  9. Dr Chi

    Mambo Nane ya Kuzingatia Ukienda Ukweni

    1. FANYA TAFITI NDOGO KUWAHUSU. Muulize mwenza wako kuhusu asili yao, namna wanavyoishi, nini unatakiwa ufanye na nini hutakiwi kufanya. Jifunze kusalimia kwa lugha yao kama sio ngumu sana, watafurahi kuona unajitahidi kuwa kama wao na hii itaonyesha ni kwa namna gani upo serious katika kujenga...
  10. Mr Beach Boy

    Ni sawa kuwasiliana ukweni kabla ya kuoa?

    Wakuu hivi kama umepeleka barua kwa mwanamke umejibiwa mahari ni kiasi Fulani Je ni sawa kuwasiliana nao labda mama mkwe kumjulia Hali au baba mkwe kumsalimu ni sawa au miyeyusho??
  11. bongo-live

    Ushauri jamani: Nanyanyasika ukweni, eti nimemchezea muda mrefu

    Mimi ni mbabaz wa miaka 39, sijaoa lakini naishi na mwanamke ambaye naweza kusema kuwa ni kama mke wangu kwani nilishamtolea mahari, tumeishi pamoja kwa miaka kumi bila ndoa, sikuona umuhimu wa kufunga naye ndoa kwani yeye ni mama wa nyumbani, nilijua kama nikifunga naye ndoa ikatokea...
  12. Magical power

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.

    Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa. Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako. ......usijimalize sana dadangu.
  13. Sonko Bibo

    Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

    Hii ni mimi huyu Sonko sio mwingine,, Short story huko nyuma nyuma hivi nikiwa kijana. * **** **** Miaka imeenda sana,, Kwa jadi ya kabila letu wanaona nimepaa sana age halafu sieleweki. Zingatia sieleweki yaani, Hawasikii Sonko kuwa na demu, wala zile kesi za ajabu ajabu. Kifupi mtaani...
  14. F

    Kwenda kumuangalia mtoto ukweni unatakiwa uende na nini?

    Wakuu msaada aisee vp kwenda ukweni unatakiwa kwenda na nini? Au vizawadi gani? Wakuu naombeni msaada aisee na natakiwa nivaaje? Aisee Nimejichanganya aiseee!!!
  15. Melki Wamatukio

    Ni kipi hutokisahau ulipokuwa ukweni?

    I'll never forget such kind of moment in my life. Ile wamepika matoke wakayachanganya na maharage, plus matumbo ya ng'ombe, karanga za kusiginwa plus karanga za kutafunwa, humo humo mfuru, kha! Ile siku nilitembea kama naruka majoka vile kuelekea toy kujiharishia, tena mbele ya mama mkwe na...
  16. rofa la tz

    Unapoenda ukweni unatakiwa uzingatie nini?

    Jamani wana JF naomba kuuliza hivi unapoenda ukweni unatakiwa uzingatie hasa vitu gani maana nasikia ukienda ukweni huwa kuna utaratibu mwingi sana naomba mnifahamishe.
  17. Ngengemkenilomolomo

    Sikutegemea nilichokikuta ukweni

    Wakuu habari za muda huu. Kijana wenu nina umri wa miaka 28. Baada ya kuona kwamba sasa yanifaa kuwa na mwenzangu wa kuishi nae basi nikachukua jukumu la kwenda kwao kujitambulisha na kufahamika rasmi ili basi niishi nae kihalali kabsa Kipato changu sio kikubwa sana hvo nikawa nimejiwekea kias...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari

    Wanaume hii yetu; Hivi ulishawahi kukataliwa ukweni Mwanamke ulitaka kumuowa kisa mahari
  19. lelulelu

    Je, nitumie dili niliyopewa ukweni hata kama wife ananitambia?

    Wakuu mimi ni mume ambaye tumezaa mtoto mmoja na mke wangu ndoa yetu ina miaka zaidi ya mi4 mpaka sasa. Ukweni kwangu yaani familia ya wife imekuwa ikinisaidia saana ila tatizo wife sasa huwa anatamba sana kwamba mimi nasaidiwa na familia yake. Wife amekuwa akiyasema hayo hata wakija marafiki...
  20. MOSHI UFUNDI

    Wanaume tunaokwenda kujitambulisha ukweni hivi karibuni njooni tupeane mbinu za kurahisisha jambo

    Binafsi mwezi ujao naelekea Tanga maeneo ya Muheza kujitambulisha. Nimejipanga kwa haya yafuatayo. 1. Sitolala ukweni. 2. Ikitokea kula ukweni ntakula mlo mmoja tu. 3. Ntavaa simple sana( shati yangu ya mikono mirefu, suruali na balaghashehe kichwani) na kiatu changu cheusi 4. Nitaongea kwa...
Back
Top Bottom