ukweli

Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tusipotezeane muda! Ukweli ni kwamba 'Ulidanganywa' na 'Wanafiki' kuhusu Kabudi na Lukuvi, ila sasa 'Unatuzuga' na 'Kujikosha' tu Kwao

    Siku chache baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kusema kuwa atamvuta Ikulu aliyekuwa Waziri wa Ardhi, William Lukuvi, leo Januari 13, 2022 Rais Samia amesema kiongozi huyo atakuwa akisaidiana na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kusimamia sekta zenye migogoro baina ya viongozi. Chanzo: Habari Leo...
  2. JamiiForums Tanzania Kusema ukweli mtaani hali ni mbaya, cha kushangaza viongozi hawajali kabisa

    Hali ni mbaya hali ni mbaya kupita maelezo, mitaani hali inazidi kuwa tete vitu havishikiki bei nashangaa imekuaje kumekua na mfumuko wa bei za bidhaa wa ghafla namna hii? yani vitu vimepanda bei kwanzia dawa ya mswaki mpaka vifaa vya kielekroniki na vifaa vya ujenzi, mfumuko wa bei huu...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu namba 666 (Nero Caesar)

    Wapenzi wasomaji wangu leo ninaendelea na kufumbua macho watu. Mwenye macho haambiwi tanzama, na mwenye akili zake ataweza kung'amua na kuelewa ukweli wa mambo. Leo katika bandiko langu hili nitajikita kuongelea suala la alama ya 666 kama ilivyoandikwa katika kitabu cha ufunuo 13:18 Hapa...
  4. JamiiForums Tanzania Hii ya Rais Samia kupendelea Zanzibar ina ukweli? Je, kila Rais akipendelea kwao tutafika?

    Kwanza ni bilioni 200 kupelekwa Zanzibar ikiwa ni sehemu ya bilioni 1300 za mkopo wa Uviko 19 toka World Bank. Sasa kuna mkopo wa Tril 7 unapigiwa debe huku Zanzibar ikionekana kuja kunufaika na Tril 2 na ushee. Wanaolalamika wanadai Zanzibar ina watu wachache kulinganisha na Tanzania bara...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwl Nyerere hakuweka ukweli hadharani juu ya kifo cha Kassim Hanga? Mbona CCM huwa hawataki ukweli kuhusu mauaji ya Kassim Hanga kuwa wazi?

    Nipo mahala hapa kijiweni nafuatilia story kibao juu ya masuala yanayohusu matukio kibao yaliyotokea baada ya mapinduzi ya Zanzibar. Kuna mzee anasimulia hapa juu ya watu kibao kuuliwa baada ya mapinduzi kutokea. Anadai kuwa aliyekuwa Waziri Mkuu wa Zanzibar Kassim Hanga aliuliwa na mpaka leo...
  6. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kupata mtoto wa jinsia ya kike/kiume

    kumekua na mafundisho ya jinsi ya kupanga kupata mtoto mwenye jinsia ya kike au kiume, Mojawapo ya theory kubwa ni ile inayosema mwanaume akikutana na mwanamke kuanzia siku ya 11-13 tangu alipoingia bleed basi kuna uwezekano wa kupata mtoto wa kike,na kama itaanzia siku ya 14-17,basi kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Ukweli umefahamika kuhusiana na huyu Mchezaji wa Simba. Watu wasiri sana, hata hamsemi?

    Ni Mtanzania mwenye Asili ya Mbeya kule Tukuyu. Anaitwa Pope Ousmane Mwalusakho. Sema kule Senegal wakamwita Sakho. Ukimtizama ana Unyakyusa Flani hivi mwingi sana. Ni Mnyakyusa wa Tukuyu ndiyo asili yake. Akina Mwalusakho. Simba walidhani hatutajua asili ya huyu mchezaji. Mimi nlihisi toka...
  8. JamiiForums Tanzania TANZIA Leopold Kweyamba Lwajabe amekutwa amefariki Mkuranga baada ya kupotea wiki iliyopita

    Wakuu, Habari zilitufikia hivi punde ni kwamba aliyekua mkuu wa Kitengo cha EU, Wizara ya Fedha Leopord Lwajabe Amekutwa Amefariki huko Mkuranga. Lwajabe alitekwa na watu wasiojulikana Akiwa ofisini kwake baada ya kupigiwa simu Stoke nje ya Ofisi, Walimshikilia kwa siku 3 kisha kumutelekeza...
  9. JamiiForums Tanzania Job Ndugai watanzania wanataka kufahamu ukweli, itisha press conference. Eleza ukweli, tatizo ni mkopo au urais?

    Mpaka sasa kuna wingu kubwa sababu ya Ndugai kusakamwa na mpaka akajiuzulu. Kama kuhoji juu ya mkopo wa tril 1.3 huku kuna tozo za miamala haukuwa na kosa. Maana ulihoji kama Spika na mtanzania. Kama una nia ya kugombea urais napo hauna kosa maana ni haki yako ya kikatiba. Sasa, watanzania...
  10. JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Zanzibar kuna wachezaji wengi wenye vipaji

    Ukiangalia mashindano ya mapinduzi yanayoendelea,nimebaini wachezaji wengi wa Visiwani Wana vipaji. Mechi za KMKM na Mlandege zina vijana wadogo lakini wako aggressive Sana. Kiukweli Zanzibar kungekuwa na udhamini kama Bara, timu zao zingekuwa mbali sana. Akina Yanga na Simba huko Bara ni...
  11. JamiiForums Tanzania Ukweli wa mambo: Awamu ya sita haina serikali yake kamili

    Wasalaaam. Raisi SHH ataendelea kupasua kichwa juu ya viongozi wenzake mpaka pale atakapogundua kuwa serikali anayoiongoza asilimia kubwa ya watendaji wenye maamuzi makubwa ni wa kurithi kutoka serikali iliyopita. Afanye nini? 1. Aunde baraza lake la mawaziri jipya na apige chini wanasiasa...
  12. JamiiForums Tanzania Naogopa sana Ndugai akizungumza ukweli

    Ni kweli, anasakamwa lakini sipati picha Ndugai akiamua na yeye kuwa liwalo na liwe! Ki vyovyote vile bado naona Ndugai ana kura ya turufu katika sakata hilo linalovuma. Ndugai anayo mengi ayafahamuyo yenye kingi kishindo yakiwa bayana! Kigezo cha kummaliza Ndugai eti kwa msamiati wa '2025'...
  13. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu kampuni ya upimaji na uuzaji wa viwanja ya Cdqlink investment company

    Nimeifuatilia hii kampuni kwa kweli inauza viwanja kwa bei rafiki na wanaruhusu kulipa kidogokidogo ila changamoto inakuja kwenye page yao wanayotumia ya instagram wamelimit coments kiasi wateja hawawezi coments zaidi ya kuwasiliana kwa namba za simu tuu. Kampuni inajitanabaisha kua...
  14. JamiiForums Tanzania Kama hii ni kweli, basi mikopo ya awamu ya tano ilikua ya ajabu sana, ukweli ndio unajulikana sasa

    Hiki ni kichekesho, inamaana hata reli yenyewe haijakamilika tayari mkopo wake umeshaanza kulipwa? hivi vitu walikua wanafanya wasomi au?
  15. JamiiForums Tanzania Nimeamini Binadamu wa kwanza duniani alikuwa mweusi, lakini vitabu vya Dini vinachanganya. Je, ukweli ni upi hasa?

    Wanajamvi habarini na asubuhi. Naomba niandike uzi wangu wa mwisho kwa mwaka huu, lakini uzi wenyewe unanichanganya sana kwamba BINADAMU WA KWANZA KUWEPO DUNIANI ALIKUWA MWEUPE (MZUNGU) AU ALIKUWA MWEUSI TII (MWAFRICA). Juzi kati hapa niliandika uzi kumhusu mtu mweusi, lakini watu kadhaa...
  16. F

    JamiiForums Tanzania Legacy ya Magufuli Haiwezi Kufutika kwa Siasa Uchwara

    Haya ni maoni yangu na mtu yeyote halazimishwi kuyapokea. Sihitaji kurudia mazuri ya Magufuli. Tunajua alikuwa Rais wa watu aliyeongoza kwa ajili ya watu wa chini kabisa. Wazalendo wa Nchi hii hatuwezi kubabaishwa na kelele za wachache waliomchukia kwa sababu tunazozijua (e.g. u-puppet...
  17. JamiiForums Tanzania Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa

    Kiongozi wa makanisa ya Efatha Ministries Tanzania Nabii, Mtume na Askofu Josephat Mwingira amezua taharuki na mjadala mkubwa katika vyombo vya habari TV, redio na social media kwa sababu ya mahubiri yake ya Jana Jumapili kanisani kwake. Baadhi ya watu na wengine viongozi wa serikali kabisa...
  18. V

    JamiiForums Tanzania Kuna siri gani kati ya Wachaga na Mwisho wa Mwaka?

    1: Hivi kuna kabila lengine linaloongoza kwa kwenda vijijini kwao mwezi desemba kama wachagga? 2: Ni kwanini kila mwaka mwezi huu desemba, unakuta wachagga wanapeleka magodoro nyumbani(vijijini), yale mwanzo walopeleka huwa yanakuwa yameenda wapi? 3: Ushajiuliza kwanini wachagga wengi na...
  19. JamiiForums Tanzania TCRA Yamfungia Polepole, Mwenyewe Asema "Kusema Ukweli ni Sehemu ni Safari Ndefu."

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa muda usiojulikana kipindi cha Shule ya Uongozi kinachomilikiwa na Mbunge, Humphrey Polepole kwa makosa matatu likiwemo la kutoa taarifa ya upotoshaji kuhusu chanjo ya Uviko 19.
  20. B

    JamiiForums Tanzania Tuelezane Ukweli Mficha Ugonjwa Kifo Humfichua

    Kumekuwapo na wimbi la Mafua yenye kuambatana na homa kali, maumivu ya mwili, kikohozi, kupoteza hamu ya kula, nk yasiyokuwa ya kawaida. Zaidi sana leo hadi mechi ya wekundu wa Msimbazi na Kagera Sugar kule Kaitaba, imebidi kuahirishwa. Kisa na mkasa ugonjwa huu uliowang'ang'ania ghafla wengi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…