STORY: MIAKA 15 NYUMA YA UKUTA WA GEREZA
MWANDISHI: FEBIANI BABUYA
WHATSAPP: +255621567672
EMAIL: thomasibabuya@gmail.com
AGE 18+
UKURASA WA KWANZA
MLANGO WA GIZA
Kwenye kuta ambazo zilionekana kuchoka, hazikuwa zimepakwa rangi kwa muda mrefu lakini zilikuwa imara kwa sababu ya ubora wa ujenzi...