Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imeanzisha Kongamano la Kodi Kitaifa litakalowashirikisha wadau mbalimbali ikiwemo Sekta Binafsi ili kajadili namna ya kuboresha Sera za Kodi, kuchochea ukuaji wa uchumi, biashara na uwekezaji nchini.
Hayo yameelezwa na Kamishna wa Sera kutoka wizara...
Ndugu wadau nimeleta uzi huu ili mimi na wale wote wanao ifahamu vizuri hii fursa. Maana kila kukicha kuna sherehe kuanzia birthday mpaka harusi na mikutano.Nina maswali kadhaa;
1. Ukubwa(sq metres) za ukumbi unao beba watu 100.
2. Parking itakayo takiwa kuachwa kwa angalau ukumbi au garden...
MATOKEO KENYA: MSAFARA WA NAIBU RAIS RUTO NA MKEWE KUELEKEA BOMAS MUDA HUU
Naibu Rais William Ruto na mkewe Rachael Ruto wameondoka nyumbani kwao Karen kuelekea eneo la Bomas ambapo Tume ya Uchaguzi, IEBC itatangazia Matokeo ya Urais.
Taarifa ya Mwenyekiti wa IEBC, Wafula Chebukati...
Katika kipindi cha Michezo ya Olimpiki ya Walemavu ya Majira ya Baridi, maonesho ya taa yamefanyika kwenye ukumbi wa kuteleza kwenye barafu kwa kasi wa kitaifa.
Amani imetoweka kabisa.
Mita chache toka napokaa wamejenga ukumbi wa kufanya sherehe yaani ikifika ile jumamosi basi amani inatoweka ni kelele mtindo mmoja.
Huyu mama wa serikali za mitaa nilikua namheshimu sana lakini kwakweli amenikera kuendekeza hili jambo.
Hatulali makelele mtindo mmoja...
Salaam Wakuu,
Leo Jeshi la Wananchi Tanzania, linafanya Mkutano na Waandishi wa habari. Jeshi la Wananchi Tanzania(JWTZ) kutoa Tamko Maalumu 30 Novemba, 2021
Nipo Nimefika kwenye Ukumbi huu kuwajuza kila kitakachojiri.
=====
UPDATES: 1022hrs
======
Waandishi wameshafika eneo la tukio
1034...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.