ukraine

  1. JamiiForums Tanzania Uhakika: Jinsi Vita ya Urusi na Ukraine Itakavyokwamisha Upandishaji wa Mishahara ya Wafanyakazi

    Dodoma, Jumapili 17/4/2022 Vita ni shida. Vita ni taabu. Vita ni balaa. Nani angeweza kutabiri kwamba vita kati ya Urusi na Ukraine ingeathiri uchumi na kuvuruga mipango ya maendeleo ya serikali kiasi hiki? Sasa ni dhahiri kuwa vita hii imepelekea mdororo wa uchumi wa taifa. Uchumi wa taifa...
  2. JamiiForums Tanzania Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

    Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni uchokozi, masheikh wa JF pro Putin brigade hii imekaa vipi. =========== With a Russian offensive is...
  3. JamiiForums Tanzania Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  4. JamiiForums Tanzania Retired Swiss Military-Intelligence Officer: 'Is it Possible to Actually Know What Has Been And is Going on in Ukraine?'

    The Military Situation In The Ukraine by Jacques Baud March 2022 Part One: The Road To War For years, from Mali to Afghanistan, I have worked for peace and risked my life for it. It is therefore not a question of justifying war, but of understanding what led us to it. Let's try to examine...
  5. JamiiForums Tanzania Hivi kuvuka kigamboni ndio hakuna 200 kwa wote hakuna bei ya watoto kwasasa ile 100 ndio hakuna tena hii yote vita Ukraine au

    Inasikitisha kwasasa kigamboni kuguka ni kadi tu uwe mtoto uwe mkubwa ni Tsh 200 tu kwa wote sasa hakuna tena ile mtoto tsh 100 kweli hii vita Ukraine inatonyoosha kila idara aisee ila hongera kwa temesa kwa kutuminya wanakigamboni big up kwa uongozi temesa kazi iendelee
  6. JamiiForums Tanzania Ukraine yasema zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imetapakaa Mji wa Kyiv

    Zaidi ya miili 900 ya wananchi wa kawaida imebainika kuwepo katika Jiji la Kyiv ambao ni Mji Mkuu wa Ukraine baada ya kuondoka kwa majeshi ya #Russia, mingi kati ya hiyo ikiwa imeshambuliwa kwa risasi. Polisi wamesema kuwa hiyo ni ishara kuwa wengi waliuawa kirahisi. Idadi hiyo ya kutatanisha...
  7. JamiiForums Tanzania Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu

    Soko la silaha za Mrusi litadorora vita na Ukraine imeonyesha kuwa silaha za Mrusi dhaifu Mavifaru ya mrusi yanabomolewa hovyo na makombora ya Javelin Meli hodari kivita ya mrusi kulipuliwa na kombora Neptune Ni meseji sent kwa wanunuzi wa silaha kuwa hizo silaha za Urusi si kitu Soko lake...
  8. JamiiForums Tanzania Zelenskiy: Tumeshapoteza wanajeshi wetu 3000 wa Ukraine vita dhidi ya Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelenskiy amesema kati ya wanajeshi 2,500 na 3,000 wa taifa lake wamepoteza maisha hadi sasa katika vita vya taifa hilo na Urusi na kwamba wengine 10,000 wamejeruhiwa. Akizungumzia vita hiyo inayoelekea siku 50 tangu kuanza, Zelensky amesema ni vigumu kujua wanajeshi...
  9. JamiiForums Tanzania Ukraine: upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema

    Umakini kwa Ukraine unaonesha upendeleo kwa watu weupe dhidi ya weusi, Mkuu wa WHO asema CHANZO CHA PICHA,EPA Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) anasema ulimwengu hautoi tahadhari sawa kwa dharura zinazoathiri watu weusi na weupe. Tedros Adhanom Ghebreyesus alisema ni sehemu ndogo tu ya...
  10. JamiiForums Tanzania Urusi vs Ukraine: Putin asema wataendelea kupambana hadi "malengo yao mema" yatimie

    Rais Vladimir Putin ameahidi kuwa Russia itatimiza kile alichokiita ni "malengo mema" Nchini Ukraine. Amesema mazungumzo ya amani hajapata mwafaka, na uvamizi huo unaendelea kama ilivyopangwa Aidha, Kiongozi amedai hakuwa na uamuzi mwingine zaidi ya kuanzisha uvamizi huo, ikiwa ni jitihada za...
  11. JamiiForums Tanzania Mambo ya Nje: Vita ya Ukraine isituingize mkenge

    Sasa hivi mawaziri wa EU (Umoja wa Ulaya) na hata maofisa wa Marekani na Uingereza, wanazunguka Afrika na Asia nzima ili mataifa ya Magharibi na NATO wapate sapoti. Nchi za magharibi wanasahau mchango mkubwa wa Urusi vita ya Ukombozi kusini mwa Afrika. Vita ya Ukraine na Urusi haituhusu...
  12. JamiiForums Tanzania Jambo pekee nitakalojifunza Vita ya UKRAINE na URUSI linaendana na funzo la viongozi wa TANZANIA kwa wananchi pia kwa majirani zako we msoma uzi

    Vita ya UKRAINE na URUSI imetawala katika vyombo kadhaa vya habari!! Nina Funzo kubwa kwamba USIJIWEKE WAZI KWA KILA JAMBO, KWANINI? Urusi kutokuwa wazi sana na taarifa zake sahihi kutojulikana Kwa Magharibi Kumesababisha asiingiliwe mipango yake mapema , kwasasa hakuna hasa anayejua Kama...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Anga la Ukraine Yumkini mikononi mwa NATO

    Umeshudiwa ugeni mzito nzito Kyiv Ukraine, katika kipindi hiki cha mgogoro. Rais wa umoja wa Ulaya amefika Kyiv. Mawaziri wakuu toka Czech, Slovenia, Poland na juzi UK nao wamefika pale wakajivinjari kwa raha zao. Aungurumapo Simba mcheza nani? Haitakuwa ajabu kusikia Marine Moja imetimba...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Zelensky aomba mazungumzo na Umoja wa Afrika (AU)

    Rais wa Senegal ambaye pia ni Mwenyekiti wa Umoja wa Afrika, Macky Sall amesema Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelenksy ameomba kuzungumza na Umoja huo. Wito huo unakuja kukiwa na mgawanyiko kuhusu uvamizi wa Urusi. Nchi nyingi za Afrika zimeonesha kutofungamana na upande wowote katika vita ya...
  15. JamiiForums Tanzania Yanayoendelea Ukraine ni zaidi ya ilivyokuwa Rwanda 1994

    Nimekuwa nisoma visa vingi sana ndani ya BBC Swahili, mashuhuda wakihojiwa moja kwa moja tena kukiwa na ushahidi wa wa kimazingira ili kuepuka wafuasi wa Putin kusema ni propaganda. Soma visa hivi kashaa TAHADHARI KAMA NI MUOGA USISOME SABABU NI HADITHI ZA KUTISHA Katika eneo tulivu, la...
  16. 5

    JamiiForums Tanzania Ukraine yadai kumuua afisa wa tisa Mkuu wa Jeshi la Urusi

    Afisa mkuu wa tisa wa Urusi ameripotiwa kuuawa nchini Ukraine, na kuwa wa hivi punde zaidi katika idadi ya maafisa wa ngazi za juu wa Urusi kuuawa tangu vita kuanza siku 46 zilizopita. Kulingana na ripoti za vyombo vya habari, Kanali Alexander Bespalov alikuwa kamanda wa Kikosi cha 59 cha Tangi...
  17. JamiiForums Tanzania Uchumi wa Ukraine kuporomoka kwa 45.1% kutokana na vita

    Kwa mujibu wa Tathmini mpya ya athari za kiuchumi za vita ya Urusi na Ukraine, Uchumi wa Ukraine unatarajiwa kuporomoka kwa 45.1% Mwaka 2022 Tathmini hiyo ya Benki ya Dunia (WB) inasema uvamizi wa Urusi umelazimisha biashara kufunga, kupunguza mauzo ya nje na kuharibu mifumo ya uzalishaji...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine kufikia hapa, Pigo kubwa kwa Urusi na Madhwalimu wote

    Kwa hakika haijali gharama ila udhwalimu kushindwa ni jambo la kujivunia kwa kila mpenda haki: Nani alitegemea kutembea kwa miguu mitaani leo Kyiv na Mrusi akiwa 20km tokea mjini kati majuzi juzi tu? Kwani kwetu si barabara na mitaa hufungwa? Chopper juu Kwamba tukujiridhisha? Kama warusi...
  19. JamiiForums Tanzania Vita ya Urusi na Ukraine vyaendelea kuwa vikali baada Putin kubadili kamanda

    Raisi Putin amemteua generali Alexander dVOrNIKOV kuwa kamanda mpya wa kuongoza jeshi lake katika nchi ya Ukraine.Generali Alexander ndiye aliyekuwa kamanda wa mwanzo wa Urusi nchini Syria katika kumsaidia raisi Assad kupambana na wapinzani wake walioungwa mkono na Marekani na Israel. Masaa...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Ukraine kama Nyumbani kunazidi kunoga

    Hali ya usalama Ukraine inazidi kuimarika. Ilikuwa mkuu wa umoja wa Ulaya kutembelea Kyiv, Ukraine na sasa Boris Johnson naye katia timu huko: Nani angethubutu kuweka mguu Kyiv kama kitisho cha Putin kingekuwa kile cha mwezi uliopita? Wamefika wazito hawa Kyiv vipi hamna silaha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…