ukraine

  1. M

    Marekani kuipa Ukraine Patriot air defense system ambayo Zelensyky amekuwa akiililia kila Siku: Ila siyo mwarobaini dhidi ya kipigo cha Urusi!

    Hatimaye Marekani imeamua kuipa Ukraine ulinzi wa anga "Patriot Missile Defense System". Kwa wasiojua wanaweza kudhani kuwa hizi ni silaha za ajabu sana na ulinzi wake dhidi ya mashambulizi ya anga ni wa uhakika! Niwakumbushe tu kuwa ulinzi huu wa anga kwa kutumia Patriot Missile defense system...
  2. Putin kwa mara ya kwanza alia hali ilivyo ngumu kwenye uwanja wa mapambano huko Ukraine

    Akiwahutubia wana usalama, amesema ngoma ni ngumu sana pale Donetsk na Lugansk, yaani huyu jamaa ni kama huvuta bangi, nakumbuka alipompa Zelensky masaa 24 aihame nchi, leo analia lia... Na atakoma ubishi maana kipindi cha baridi kali kinakaribia, wanajeshi wake wako kwenye nchi ya watu, watu...
  3. Hivi ndivyo meli kubwa ya kivita (Moskov) ilivyopigwa na Ukraine, japo mlisema sigara ndio chanzo cha ajali yake

    Ukraine wametoa taarifa walivyotumia kombora aina ya Neptune kuipiga meli kubwa ya kivita ya Urusi, yaani kombora moja tu, limeli lote chali, gharama yote hiyo, hasara yote hiyo, Mrusi bado anatumia mbinu za kitambo sana kupigana, anaacha meli muhimu inakua yenyewe huko baharini, siku hizi meli...
  4. Drones tiza za Iran zapigwa chini Ukraine, Mrusi bado haamini ameishiwa kete

    Mrusi bao anajaribisha bahati, hizi drones zimeishiwa umuhimu wake, wataalam walishazisoma na kuja na mbinu za kuzishusha....zimepigwa tisa...takbir Nine Iranian-made Shahed drones were shot down early on Monday in Kyiv's airspace in the latest attack by Russia on the city, the capital's...
  5. Wanajeshi wa Ukraine wafanya aina ya mashambulizi ambayo hayajashuhudiwa kwa muda mrefu

    Donetsk kumewaka moto, Warusi wapoteana....viongozi wa Urusi wanasema hawajashuhudia aina hii ya mashambulizi kwa miaka mingi. MOSCOW, Dec 15 (Reuters) - Ukrainian forces shelled the Russian-controlled eastern Ukrainian city of Donetsk overnight in some of the biggest attacks for years...
  6. Wakati Zambia wakimlilia Kijana wao Nyirenda aliyefia vitani Ukraine; mzaliwa wa Rwanda aachiwa na majeshi ya Urusi

    Mzaliwa wa Rwanda Suedi Murekezi ambaye inasemekeana kuwa ni - US airforce veteran alikamatwa na majeshi ya urusi katika mwezi June akiwa nchini Ukraine ni mmoja kati ya askari 64 wa Ukraine walioachiwa na majeshi ya Urusi kupitia SWAP ya mateka wa kivita wa pande zote mbili. ===============...
  7. Video: Wanajeshi wa Urusi wapokea kichapo kwa kugoma kwenda kupigana Ukraine

    Hawa ni walioponea kufa na kurudi Urusi, wamegoma hawarudi tena kwenye mapambano....
  8. Ukraine walipua makao makuu ya Wagner group, sasa sijui Urusi watategemea msaada wa nani tena

    Hawa Wagner ndio kete aliyokua amebaki nayo Mrusi, maana ameishiwa wanajeshi ambao wamefyekwa balaa. Sasa makao makuu ya Wagner yamefanywa majivu....mbele kwa mbele twende wanetu Ukraine, likomboeni taifa lenu. Vita vilianzia Crimea na vitaishia Crimea, nimeona habari nyingine leo Crimea...
  9. Pentagon Yairuhusu Ukraine Kushambulia Kwa "DRONES "Ndani Ya Urusi!

    WAR IN UKRAINE Pentagon gives Ukraine green light for drone strikes inside Russia https://www.thetimes.co.uk/article/ukraine-drone-warfare-russia-732jsshpx
  10. Siri za zavuja stakabadhi zinazoonyesha Urusi ilipanga kuiteka Ukraine kwa siku 10

    Kilichokuja kutokea hakikutegemewa kabisa, Urusi iliangukia pua kwenye hili zogo na wanajutia balaa maana wanauawa kama senene na sasa Ukraine wameanza kulipua ndani ndani kabisa ya Urusi. A British defence and security think tank has revealed details of Moscow's pre-invasion plan for Ukraine...
  11. Milipuko viwanja vya ndege viwili vya Jeshi Moscow

    Super power anafundishwa jinsi ya ku hit Target. Hii ni baada ya mashambulizi ya Russia kwenye soft target nchini Ukraine kupungua wakambembe wazee wakazi wameona watoe darasa kidogo. taarifa ni kwamba. Vyanzo vingi vya Urusi vimeripoti kuwa Ndege mbili za kimkakati aina ya TU-95 zimearibiwa...
  12. L

    Hatari za kiusalama zinaweza kuwa bomu linalokaribia kulipuka barani Afrika kutokana na mgogoro kati ya Russia na Ukraine

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema silaha zilizopelekwa katika mgogoro kati ya Russia na Ukraine zinamiminika kwenye eneo la Sahel barani Afrika kupitia biashara ya magendo, zikichochea nguvu za makundi ya kigaidi na kutishia amani na usalama wa bara hilo. Ametoa wito wa kuharakisha...
  13. Maskini Ukraine! Kila wakijenga wabomolewa

    Vita vya Ukraine vimeingia hatua nyengine. Hatua hii ni mrusi kuvunja na kubomoa vituo vya maji na umeme nchi nzima katika kipindi cha baridi. Katika mashambulio ya leo ambayo Ukraine waliyatabiri kutokea japo hawakuweza kuyazuia inasemekana kuwa makombora 60 kati ya 70 yaliyovurumishwa Kyiv na...
  14. Ombi la Ulaya kwa China: Mshaurini Putin asitishe vita Ukraine

    Charles Michel, Rais wa Baraza la Ulaya, amekutana na kuzungumza na Rais Xi Jinping katika ziara yake rasmi nchini China. Katika mkutano huu. Michel alimwomba Xi kutumia ushawishi wa Beijing kwa Russia ili kusitisha vita nchini Ukraine. Ombi hili la afisa wa juu zaidi wa Ulaya kwa Rais wa...
  15. Urusi waanza kuondosha raia kwenye mji wa Nova huku Ukraine wakijongea kuukomboa

    Wazalendo wa Ukraine wanaendelea kudhihirisha walivyo balaa, Urusi ilijipigia kura na kusema italinda hayo maeneo kwa namna yote, ila hilo halijawa tishio kwa hawa vijana wa Ukraine, wanaendelea kutiririka kama machizi. Russian authorities in the occupied town of Nova Kakhovka in eastern...
  16. Rais wa Baraza la Ulaya naye atapika nyongo: "EU inateseka zaidi na mzozo wa Ukraine kuliko USA"

    Baada ya Rais wa France, Emmanuel Macron kutapika nyongo kuwa ; Rais wa Ufaransa: "Muundo wa usalama wa Ulaya lazima utoe 'guarantee' kwa usalama wa Urusi" Naye Rais wa Baraza la Ulaya amefunguka na kuishambulia Washington. Soma: Washington daima inatanguliza masilahi yake ya kiuchumi...
  17. Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  18. Mkuu wa EU achafua tena hali ya hewa: "Mzozo wa Ukraine ni kama mapambano ya Ireland dhidi ya Uingereza "

    Wanasheria wa Uingereza wanasema maoni ya Ursula von der Leyen ni "zaidi ya kuchukiza" na "mchezo hatari" Rais wa Tume ya Ulaya Ursula von der Leyen alifananisha mapambano ya Ireland dhidi ya utawala wa Uingereza katika karne ya 20 hadi mzozo kati ya Urusi na Ukraine, alipokuwa akilihutubia...
  19. Putin atafuta mbinu nyingine kwa kutuma viungo vya wanyama kwenye balozi 5 za Ukraine Ulaya

    Urusi baada ya kuishiwa mbinu na kupoteza wanajeshi wengi wamekosa njia wameamua kujaribu vitisho vya kijinga, wanatuma viungo vya wanyama hususan macho kwenye vifurushi kwenda kwa balozi za Ukraine kwenye mataifa ya huko Ulaya, ila na huko watapigwa tu.... Ukrainian embassies in at least five...
  20. Idadi ya wanajeshi wa Ukraine wanaotoroka vitani inaongezeka baada ya matamshi ya Ursula Von der Leyen

    Ursula Von der Leyen alisema katika hotuba yake ya video Jumatano asubuhi kwamba "zaidi ya maafisa 100,000 wa kijeshi wa Ukraine wameuawa" ======== LUGANSK, December 2 Ukrainian service members have been deserting their positions in the special military operation zone after a statement by...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…