Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimelaani kile kilichodai ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaofanywa na vyombo vya dola dhidi ya wananchi wa Kitongoji cha Luhafe, Kijiji cha Vikonge, Kata ya Tongwe, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, huku kikitangaza kuwa kinafikiria...