ukiukwaji wa haki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Jamii inapokabiliwa na ukandamizaji ukiukwaji wa haki za kibinadamu na kudhibitiwa vyombo ninavyopaswa kutunga na kutoa sheria yani Bunge na mahakama

    Viongozi waliokataa kukubali mabadiliko wanayodai mwananchi katika Nchi zao,kama kupinga ubaguzi wa rangi Nchini South Africa. Chaguzi za viini macho kama Tanzania Uganda na Mozambique, utekwaji na mauaji ya kisiasa kwa wananchi, wanasiasa wa upinzani kufungwa magerezani kwa kupambikizi wacase...
  2. A

    KERO Kilio cha Watumishi wa Bugando: Changamoto, Unyanyasaji na Ukiukwaji wa Haki za Wafanyakazi

    Mimi ni mwakilishi wa Watumishi kadhaa ambao naweza kusema ni wengi katika Hospitali ya Bugando (BMC), kuna malalamiko dhidi ya uongozi ambao tunaweza kusema kuna "unyonyaji na ukandamizaji" unaofanywa na baadhi ya viongozi wa taasisi yetu. 1. Mazingira ya Kazi na Ukandamizaji wa Muda Moja ya...
  3. M

    Ukiukwaji wa Haki za Binadamu nchini Venezuela chini ya Nicolás Maduro

    Tangu Nicolás Maduro achukue hatamu za uongozi mwaka 2013, Venezuela imepitia misukosuko mikubwa ya kisiasa na kijamii ambayo imesababisha shutuma nzito za ukiukwaji wa haki za binadamu. Mashirika ya kimataifa yamekuwa yakiandika ripoti mbalimbali zinazoonyesha mbinu za kimfumo zinazotumiwa na...
  4. Waufukweni

    PostGE2025 Mange amwandikia barua Trump kuhusu kufungwa kwa akaunti zake na Meta baada ya kufichua ukiukwaji wa haki za binadamu Tanzania

    Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa baada ya kuzitumia kufichua ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Tanzania, huku akihimiza...
  5. Pascal Mayalla

    PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

    Wanabodi Kitendo cha Tanzania kuzima internet kwa siku 5 mfululizo toka siku ya uchaguzi mkuu, kimepelekea Tanzania kubalaswa kimataifa, kuwa uzimaji huo wa internet sio tuu ni ukiukwaji wa haki za binadamu, bali pia umesababisha hasara kubwa za ma bilioni ya pesa. Hii ni taarifa ya taasisi ya...
  6. Waufukweni

    GE2025 LHRC: Tume huru ichunguze mauaji na ukiukwaji wa haki za binadamu Uchaguzi Mkuu 2025 na wahusika wawajibishwe

    TAARIFA KWA UMΜΑ Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Kimesikitishwa na matukio ya mauaji na uvunjifu wa haki za binadamu wakati na baada ya uchaguzi mkuu uliofanyika tarehe 29 Oktoba mwaka 2025. Wakati Rais akiahidi maridhiano tunatoa wito wa kuundwa kwa Tume huru ya Kijaji kuchunguza...
  7. B

    GE2025 Ukiukwaji wa haki za binadamu kuelekea 29/10/2025 waangaziwa na Human Rights Watcho. Ama kwa hakika si kwa roho ngumu hizi!

    Siyo siri, kuna watu wana roho ngumu, si mchezo! Kipi si kweli katika makala hiyo? Yanatokea Tanzania leo haya? Kwamba ni kwa uchu tu wa madaraka? Looh! Tukiwashangaa kina M7 na wenzao, kumbe hao walikuwa cha mtoto! ====== Tanzania: Deepening Repression Threatens Elections Stop Wrongful...
  8. Msanii

    GE2025 Wakili wa Serikali Mkuu anapoiomba Mahakama isiruhusu kesi ya Lissu isioneshwe mubashara ni kiwango cha juu cha ukiukwaji wa haki na mfumo-Haki

    Wakili Mkuu wa Serikali amewekà mezani kwa Hakimu kwamba kesi inatoendelea ya Lisu anayeshtakiwa mbele ya Mahakama za Tanzania isioneshwe live, inaleta tafsiri gani kwetu wananchi? Mtazamo wangu: Serikali inaonesha nia yake ovu kwa kila hatua ambapo Wakili wa Serikali anawakilisha matakwa hayo...
  9. Joshua Mbezi

    Tanzania Yaonywa Uminywaji na ukiukwaji wa Haki za Binadamu

    Tume ya Afrika ya Haki za binadamu ya watu yenye makao yake makuu Banjul Gambia, imesema kwamba vitendo vya uvunjifu wa amani vinavyoendelea nchini Tanzania, vinalichafua taifa hilo katika uwanja wa kimataifa. Taarifa iliyochapishwa kwenye tovuti ya tume hiyo imevitaja baadhi ya vitendo hivyo...
  10. KING MIDAS

    Matendo ya ukiukwaji wa haki za binadamu yanafanya watu wawachukie sana watu wanaojipendekeza kwa watu dhalimu. Mrisho Mpoto kapatwa na ujumbe mzito

    Ona alichojibiwa CHAWA kindakindaki Mrisho Mpoto
  11. Genius Man

    Rais Samia atajifichia wapi sura yake wakati huu dunia ikimnyooshea vidole kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye utawala wake wa mpito

    Rais Samia atajifichia wapi sura yake wakati huu dunia ikimnyooshea vidole kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu kwenye utawala wake wakuelekea uchaguzi mkuu halafu baadae asimame aseme na yeye eti ni rais wa Tanzania aliyechaguliwa kidemokrasia ? Sasa kama watanzania hawakutaki na dunia...
  12. Y

    Ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar e

    Kumekuwa na madai ya ukiukwaji wa haki za ardhi unaofanywa na Shirika la Maendeleo la Jiji la Dar es Salaam (DDC) katika eneo la Mbopo, Kawe, na maeneo jirani jijini Dar es Salaam. Madai haya yanahusu hatua za DDC kudai umiliki wa maeneo ambayo tayari yameendelezwa na wananchi kwa miaka mingi...
  13. Abdul Said Naumanga

    PreGE2025 TLS yalipuka! Yalaani kukamatwa kwa Tundu Lissu, na kutoa mapendekezo

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya hivi karibuni, Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) kimetoa tamko kali na lisilo na kificho dhidi ya vyombo vya dola kufuatia kukamatwa kwa Wakili na Mwanasiasa maarufu Tundu Antipas Lissu. Katika taarifa ya kushtua iliyotolewa leo, TLS imetaja hatua hiyo...
  14. S

    Kampeni ya No Reform No Elections iendane na kuyasihi mataifa yaliyoendela kuwawekea vikwazo viongozi wa Tanzania kwa ukiukwaji wa haki za wapinzani

    Mimi nadhani ni jambo la msingi kwa Chadema kuanza kukutana na wawakilishi wa mataifa ya kigeni, hususa za magharibu, na kuwatumia kuwashnikza viongozi wa Tanzania kufanya mabadiliko ya taratibu za uchaguzi na kuacha ukiukwaji wa haki za msingi za wanasiasa wa upinzani nchini. Kama ambavyo...
  15. G

    Ripoti juu ya ukiukwaji wa haki za binadamu nchini: hakuna gazeti hata moja lililoandika habari hiyo!

    Jana vyombo vya habari vya kimataifa vilitangaza taarifa iliyotolewa na taasisi ya kimataifa ya human right watch juu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu unaoendelea nchni. Nimepita magazeti karibu yote habari hiyo haikuandikwa popote. Paskali mara nyingi huwa unajitokeza kutetea wanahabari...
  16. Abdul Said Naumanga

    Serikali ya Tanzania Yalaumiwa kwa Ukiukwaji wa Haki za Binadamu Kabla ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Shirika la kimataifa la haki za binadamu, Human Rights Watch, limetoa wito kwa serikali ya Tanzania kuchukua hatua za haraka kurekebisha hali inayozidi kuzorota ya haki za binadamu nchini, kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika tarehe 27 Novemba 2024. Kwa mujibu wa ripoti...
  17. Msanii

    China ndio ya kwanza duniani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na ndio marafiki wakubwa wa CCM. Unatarajia nini kutoka CCM?

    Urafiki wa nchi ya China kupitia chama tawala cha nchi hiyo na serikali yetu kupitia CCM ni kiashiria tosha cha mfanano wa vyama hivyo viwili. Pia soma: DC Longido: Mazingira ya 2020 na yale yaliyofanyika kwenye mapori yalitengenezwa na serikali ili tupite bila kupingwa! China inasifika...
  18. J

    Sauti ya Vijana: Nini Chimbuko la Matumizi Mabaya ya Madaraka Tanzania?

    Matumizi Mabaya ya Madaraka ni suala mtambuka linalohusisha matumizi yasiyo sahihi ya mamlaka aliyopewa mtu, au kundi fulani hasa katika nafasi ya utawala au uongozi. Matumizi Mabaya ya Madakaraka yanaweza kuonekana katika maamuzi yanayokiuka Sheria, Kanuni au miongozo iliyopo, matumizi mabaya...
Back
Top Bottom