ukiona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ukiona chama tawala hakitaki kukosolewa na wanachama wake kwa makosa kinayofanya basi anguko lake lipo karibu

    Kunaguka kwa chama tawala ni pamoja na kupoteza imani kwa wananchi. Wananchi ndio huwa wanapima na kuona mwenendo wa chama walichokiweka madarakani. Kwa jinsi taifa letu na wananchi walivyo masikini wanapokosa msaada wa chama tawala ili kuwalinda dhidi mafisadi na wakora wa malk ya umma basi...
  2. JamiiForums Tanzania Historia inathibitisha kuwa Kiongozi mkubwa wa upinzani anapofungwa, mabadiliko ya kidemokrasia yanakaribia

    Kama wewe ni mfuatiliaji wa historia na msomaji mzuri matukio ya kisiasa duniani na mabadiliko ya kidemokrasia katika nchi mbali mbali na hata kwenye ukombozi, utakubaliana na mimi mabadiliko ya demokrasia na katiba katika nchi hizo yaliambatana na maumivu makali ya viongozi wa vyama vyama vya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva kwenye Nyumba yenye Watoto watukutu basi kuna mawili

    Ukiona Mwembe umejaa Maembe yaliyoiva na kuning'inia kiasi cha kuvutia kwenye nyumba ya watoto watukutuku au shule basi tambua kuna haya mawili; 1. Huenda Mzee mwenye mwembe ni mkali sana au Mchawi 2. Maembe ni machungu balaa yasiyolika hata kwa chumvi! Kwa mfano ule ule utumie pia unapoona...
  4. JamiiForums Tanzania Ukiona hii miti unafikiria nini mawazo mwako?

  5. JamiiForums Tanzania Arusha: Hukumu ya kesi inayomkabili Lengai Ole Sabaya imeahirishwa hadi Oktoba 15, 2021

    Wanajukwaa nawasimu, Hongereni kwa kuendelea kuchapa kazi na kulijenga Taifa letu. Kama nitakuwa ninakumbuka vema, ilisemwa tarehe ya leo (1/10/2021) Ni siku ya hukumu ya Kesi ya Lengai Ole Sabaya ( Kesi ile ya mwanzo). Je kumbukumbu zangu ziko sawa?. ========= Mahakama ya hakimu mkazi...
  6. JamiiForums Tanzania Ukiona mtu anashabikia sana Simba na Yanga kuwa naye makini, wengi hawana akili timamu

    Kwa uchunguzi mdogo niliofanya nimegundua kuwa watu wanazi sana wa hizi timu huwa hawako timamu kichwani. Ukiona mtu muda wote au zaidi ya asilimia 70 ya maongezi yake ni Simba na Yanga. Muda mwingi anashinda amevaa jezi ya Yanga au Simba. Mitandaoni anafuatilia sana habari za Simba na Yanga...
  7. JamiiForums Tanzania Neno la leo: Ukiona wanatamani ushuke kimaisha au uanguke jitafakari

    Ukiona mtu au watu wanatamani ushindwe, uanguke, uumie, ufeli au kupoteza uhai kabisa wewe binafsi mkeo au watoto wako usikimbilie kusema binadamu ni wabaya, binadamu wanachuki, binadamu wanakinyongo, binadamu wana wivu n.k huo ni muda wako kujitafakari. Kila binadamu ana wivu, kila binadamu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…