ukatili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Katavi kuna ongezeko la matukio ya ukatili wa kijinsia kwa 12.5%

    Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Ali Makame amesema ongezeko hilo ni kuanzia Januari hadi Septemba 2022 ambapo kulikuwa na matukio 270 ya ukatili kulinganisha na 240 yaliyotokea mwaka 2021. Ametaja sababu zinazoongeza matukio hayo ni pamoja na tatizo la Afya ya Akili na kupungua kwa utoaji elimu juu...
  2. JamiiForums Tanzania Serengeti: Tabitha Mwise asimulia jinsi Polisi walivyovamia nyumbani na kuvuliwa nguo mbele ya baba yake na kulazimisha afanye naye Mapenzi

    Binti asimulia polisi alivyomvua nguo mbele ya baba yake Serengeti By Beldina Nyakeke Tabitha Mwise (22), binti wa Mwise Simon (54), mmoja wa watu watatu waliouwawa kwa kupigwa risasi na polisi wilayani Serengeti kwa tuhuma za ujambazi amesimulia tukio la polisi kuvamia nyumbani kwao kumtia...
  3. JamiiForums Tanzania Unyanyasaji, ukatili anaofanyiwa Mtoto unaweza kumfanya awe mkatili

    Kutokana na matukio mfululizo wa mengi ya unyanyasaji wa kijinsia hasa ubakaji na ulawiti kuendelea kuripotiwa, Mganga Mkuu wa Serikali, Dkt. Aifello Sichalwe anafafanua matukio hayo kitabibu yanaathiri vipi jamii na wale wanaotendewa uhaifu huo: Kunakuwa na uhatarishi wa maambikizi ya Magonjwa...
  4. JamiiForums Tanzania Ripoti mpya ya UN yaishutumu Serikali ya Ethiopia kwa Ukatili dhidi ya Watu wa Tigray

    Wachunguzi wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaamini kuwa Serikali ya #Ethiopia inahusika na uhalifu dhidi ya binadamu unaoendelea katika eneo la #Tigray, Kaskazini Mwa Nchi hiyo Katika Ripoti hiyo, Tume ya Wataalamu wa Haki za Kibinadamu iliangazia kile ilichokiita taarifa za kuaminika za mauaji...
  5. JamiiForums Tanzania Polisi watakiwa kuwapa msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili

    Mkuu wa Dawati la Jinsia na Watoto wa Jeshi la Polisi Tanzania, Naibu Kamishna, Mary Nzuki amewataka Askari Polisi wanaofanyakazi Dawati la Usalama Wetu kwanza kuwapa elimu ya afya ya akili na msaada wa kisaikolojia Watoto wahanga wa vitendo vya ukatili. Akifungua mafunzo ya siku saba ya...
  6. JamiiForums Tanzania Je, umeshawahi kuwa mhanga wa ukatili wa kihisia kwa namna yoyote?

    Katika jamii tunayoishi kuna aina mbalimbali za ukatili ambao watu hutendewa na watu wengine eidha kwa makusudi au kwa bahati mbaya lakini athari ya ukatili huwa na matokeo mabaya kwa mtendewa. Zipo aina nyingi za ukatili kama ukatili wa kijinsia, ukatili wa kimwili, au ukatili wa kihisia...
  7. JamiiForums Tanzania Kwanini vyombo vingi vya habari siku hizi vinareport sana matukio ya Mauaji na Vifo?

    Niende moja kwa moja kwenye hoja, siku za hivi karibuni kila ukiingia mitandaoni kama Instagram, YouTube, twitter, na hata hapa jamii forums, au ukiangalia channels nyingi za habari hapa Tanzania lazima ukutane na taarifa nyingi za mauaji ya kikatili au watu kujiua (suicide). Kwanini vyombo vya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukatili kwa watoto wa kike kutoka kwa wazazi wao

    Mimi ni nibinti wa miaka 25 niliye aliwa mkoani Kilimanjaro wilaya ya Hai, ni wa pili katika familia ya bwana Festo familia ambayo ilikuwa na hali duni kiasi kwamba tulikuwa tukipewa mavazi chakula na watu majirani. Kutokana na na mfumo dume wanaotumia wanaume wa kichagga kiukweli baba...
  9. JamiiForums Tanzania Ukatili wa kiuchumi wawatesa wanaume Geita

    Ukatili wa kiuchumi unaofanywa na baadhi ya wanaume wa Kata za Nzera na Kakubiro, Mkoa wa Geita wakati wa msimu wa mazao, unasababisha kufanyiwa ukatili wa kingono pindi msimu wa mazao unapomalizika. Wakizungumza leo Jumanne Septemba 6,2022 wakati wa mafunzo kwa kamati za Mpango wa Taifa wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ukatili dhidi ya wanawake, Mwanamke auwawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali huko Mkoani mwanza

    Mtu huyo anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 25 hadi 35 aliokotwa hapo, huku pembeni yake kukiwa na chupa yenye pombe. Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia leo na kuthibitishwa na wenyeviti wa mitaa hiyo miwili huku chanzo cha mauaji hayo kikiwa bado hakijajulikana na upelelezi wa kubaini...
  11. JamiiForums Tanzania Mexico: Ukatili dhidi ya wanawake wafikia asilimia 70

    Ripoti mpya ya Idara ya Takwimu (INEGI) imesema #Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana umeongezeka zaidi ndani ya miaka mitano iliyopita, uchunguzi umebaini wanawake 7 kati ya 10 wameripotiwa kukabiliwa na aina fulani ya ukatili. Rais wa Idara hiyo, Graciela Marquez ameeleza kuwa unyanyasaji...
  12. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ukatili kati ya ndugu, wapenzi na watu wa karibu ndani ya jamii

    UTANGULIZI Ukatili ni hali ya kusabishwa kwa makusudi mateso na kukosesha raha dhidi ya mtu mwengine, Ukatili baina aya ndugu, wapenzi au watu wakaribu ndani ya jamii unaweza ukawa ni ukatili wa kijinsia au ukatili kwa watoto unaoweza kufanywa na rafiki kwa rafiki, mzazi kwa mototo, jinsia moja...
  13. JamiiForums Tanzania SoC02 Mkakati wa kupunguza uhalifu kupitia Polisi Jamii

    Jukumu la kupunguza uhalifu na wahalifu ni jukumu la jamii nzima. Mkuu wa Jeshi la polisi aliye maliza muda wake CPF (CHIEF OF POLISI FORCE) marufu kama IGP (INSP GERAL OF POLICE), SIMON NYANKORO SIRRO, ALIPELEKA WAKAGUZI WA SAIDIZI WA POLISI kwa kila kata katika kata zote nchini Tanzania. Ili...
  14. JamiiForums Tanzania SoC02 Dhana ya ushoga na sintofahamu iliyopo juu ya wahanga wa ukatili wa kihisia, kijinsia, na kimaumbile Tanzania

    DHANA YA USHOGA NA SINTOFAHAMU ILIYOPO JUU YA WAHANGA WA UKATILI WA KIHISIA, KIJINSIA, NA KIMAUMBILE TANZANIA UTANGULIZI: Kuna vilio vingi chini ya hiki kivuli cha woga. Kuna mambo jamii inaogopa kuzungumza. Familia nyingi zinasubiri muujiza; hali ya kuwa ziko katika sintofahamu juu ya namna...
  15. JamiiForums Tanzania Wapelelezi wa Mikoa Watakiwa Kufuatilia kwa Ukaribu Matukio ya Ukatili wa Kijinsia na Watoto

    Kamishina wa Polisi Jamii (CP), Fausitine Shilogile amewaelekeza wakuu wa upelelezi katika mikoa (RCO) pamoja na madawati ya jinsia kuhakikisha wanafuatialia kwa ukaribu kesi za ukatili wa kijinsia na unayanyasaji wa watoto ili wanapopeleka jalada kwa Mwanasheria wa Serikali liwe na ushahidi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania SoC02 Tuwalinde Watoto dhidi ya ukatili wa Kijisia

    TUWALINDE WATOTO DHIDI YA UKATILI WA KIJINSIA. Utangulizi Ni dhahiri kwamba ukatili wa kijinsia kwa watoto nchini ni tatizo linaloumiza hisia za wengi hasa kwa kuzingatia ongezeko la taarifa kuhusu visa vya namna hii kwenye vyombo vya habari na jamii kwa ujumla ambapo tunasikia ukatili wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mikoa ya Kanda ya Ziwa yaongoza kwa matukio ya ukatili wa wenza

    Tafiti zimeonesha mikoa ya Kanda ya Ziwa inaongoza kwa matukio ya ukatili miongoni mwa wenza kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ukosefu wa uhuru wa kiuchumi kwa wanawake na malezi. Mikoa iliyotajwa kuathirika zaidi na ukatili ni Mara, Mwanza, Shinyanga, Simiyu na Geita wakati iliyotajwa kuwa...
  18. JamiiForums Tanzania Lile kundi linalofurahia utekaji, mauaji, kunywa damu, ukatili, kutofata sheria, bado lipo

    Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu...
  19. JamiiForums Tanzania Juni 15: Siku ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wazee

    Ukatili dhidi ya Wazee unatajwa kuwa tatizo kubwa katika Nchi zinazoendelea na zilizoendelea, japokuwa linaripotiwa kwa kiwango kidogo Inakadiriwa kuwa, kati ya Mwaka 2019 - 2030 idadi ya Watu wenye umri kuanzia miaka 60 na kuendelea itaongezeka kwa 38%, kutoka Bilioni 1 hadi Bilioni 1.4. Hii...
  20. JamiiForums Tanzania Ndugu zetu Wa kanda ya ziwa ndio mnaongoza Kwa matukio ya Ukatili hapa nchini. Tatizo ni nini?

    Kwema Wakuu! Tangu napata Akili nikiwa sekondari nasikia matukio ya kikatili yanayotokea huko Kwa Ndugu zetu wa Kanda ya ziwa, mpaka nafika chuo na sasa nimekuwa mtu mzima bado nasikia matukio ya kikatili huko kanda ya ziwa. Haiwezi kuisha siku mbili bila kusikia matukio ya kikatili kutokea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…