ukaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: TANROADS na TARURA wabainika na mapungufu makubwa, Usalama wa barabara hatarini kwa ukosefu wa bajeti

    Ukaguzi wa kiufundi wa ufungaji na matengenezo ya vifaa vya barabarani na ishara za mawasiliano ya barabara uliofanywa kwa TANROADS na TARURA umebaini mapungufu katika upangaji wa miradi, usimamizi wa mikataba, na matengenezo, hali ambayo imeathiri kwa kiasi kikubwa usalama wa barabara na...
  2. JamiiForums Tanzania Mukhtasari wa Ripoti Ya CAG Kuhusu Ukaguzi Wa Miradi Ya Maendeleo Kwa Mwaka 2023/2024

    RIPOTI YA JUMLA YA MWAKA YA MDHIBITI NA MKAGUZI WA HESABU ZA SERIKALI JUMLA KUHUSU UKAGUZI WA MIRADI YA MAENDELEO YA MWAKA WA FEDHA 2023/24 Taarifa hii inawasilisha matokeo ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na Mashirika ya Umma nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha unaoishia tarehe...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya Bunge: Ukaguzi ufanyike Shule ya Wasichana Morogoro, ujenzi hauendani na Tsh. 700M zilizotolewa

    Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC), Halima Mdee imeielekeza Ofisi ya mkaguzi Mkuu wa Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalum katika mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa mkoa wa Morogoro. Mdee ameyasema hayo mara baada ya ziara ya...
  4. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Wilaya ya Ngara (M) Kagera ifanyiwe Ukaguzi wa Ndani wa Dharura ili kudhibiti Upotevu wa Fedha za Umma Unaoonekana Kukithiri hivi sasa

    Halmashauri ya Wilaya ya Ngara ni Miongoni mwa Halmashauri 8 zinazounda Mkoa wa Kagera ikiwa na Jumla ya Vitongoji 389, Vijiji 75, Mitaa 34, Kata 22 na Tarafa 4. Mapema mwaka huu Halmashauri hii iliwasilisha Rasimu ya Mpango wa Maendeleo na Bajeti kwa Mwaka 2025/2026 huku wadau wengi wa...
  5. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  6. JamiiForums Tanzania EPUKA ADHABU KWA KUFANYA MAKADILIO KODI KABLA YA KUVUKA 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  7. JamiiForums Tanzania Epuka adhabu kwa kufanya makadilio kodi kabla ya kuvuka 31/03/2025

    Habari wakuu, Napenda kutumia fursa hii kama mshauri wa biashara kwenye eneo la kodi, uhasibu, ukaguzi, kufuata sheria(Business compliances) na ufanikishaji wa biashara (Business facilitations). kwa wafanyabiashara wote kufanya makadilio ya kodi kwa mwaka fedha wa 2025 kabla kupita tarehe ya...
  8. JamiiForums Tanzania HUDUMA ZA BILA MIPAKA-TUNAKUFIKIA POPOTE ULIPO TANZANIA

    Tuanze kwa kuwashukuru makampuni(Companies), Ubia (Partnerships), Biashara binafsi(Sole proprietors) na Taasisi zisizo za kiabishara (Not for profit entities) kwa kutupa fursa na ushirikiano wa kufanya kazi, tunawahakishia siku zote tutafanya kazi kwa uaminifu na kitaalamu ili kuhakisha ustawi...
  9. JamiiForums Tanzania Je, unatafuta ushauri wa biashara? Moms consulting iko tayari kukuhudumia

    Moms consulting, tunafurahi kuwahudumia na kuwakaribisha kwa huduma zetu za Uhasibu(Accountancy), Kodi(Tax), Ukaguzi(Audit), Uwezeshaji wa Biashara (Business facilitation), ufuataji wa sheria za Biashara(Business compliance), Kuanzisha Biashara na taasisi zisizo za kifaida (Business and Not for...
  10. JamiiForums Tanzania THBUB yafanya ukaguzi kiwanda cha KEDS Tanzania Company LTD kujiridhisha na uzingatiwaji wa Haki za Binadamu

    Katika utekelezaji wa majukumu yake ya Kikatiba na Sheria, Ujumbe wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora (THBUB) ukiongozwa na Kamishna Mhe. Nyanda Shuli umetembelea kiwanda cha KEDS TANZANIA COMPANY LYD na kufanya mazungumzo na baadhi ya Wafanyakazi wa kiwanda hicho kilichopo Wilaya ya...
  11. JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa acha uongo; Unazungumzia ukaguzi wiki 2 zilizopita wakati huo ulikuwa na zaidi ya bilioni 31 tangu 2023

    Nimemsikiliza Ndg. Gerson Msigwa kwakweli nimesikitika sana kuona watumishi wa umma nyakati hizi badala kuwa watumishi wa umma wamegeuka kuwa watetezi wa viongozi wabovu. Sakata hili jinsi anavyotetea ni sawa na jinsi alivyotetea uongo na udhaifu mkubwa uliosemwa na kiongozi mmoja kuhusu kununua...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Akipata Chai Ya Motomoto Na Vitumbua Kabla ya kuendelea Na Majukumu ya Ukaguzi wa Miradi ya Maendeleo Mkoani Tanga

    Ndugu zangu Watanzania, Kama Mnavyojua Rais wetu ni mtu wa kazi,ni mtu wa kupambana kutwa nzima .akiingia kazini anakuwa ameingia na inakuwa ni kazi juu ya kazi kwa siku nzima bila kupumzika. Kwa hiyo mapema kabisa Leo kabla ya kuendelea na ziara yake ya ukaguzi wa miradi mbalimbali ya...
  13. E

    JamiiForums Tanzania Nifanye nini ukaguzi ukiharibu mali?

    Habari ndugu naomba kufahamu jibu la hili swali ambalo nimekuwa ninajiuliza siku nyingi sana. Mfano nimesimamishwa barabarani au kutembelewa gafla nyumbani na maafisa ukaguzi na wakatuhumu kwamba labda nimebeba bidhaa haramu,wakaamua kupekua gari/nyumba sasa katika kupekua baadhi ya vitu vikawa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Latra na Polisi wanapodhibiti ajali kwa ukaguzi usiokuwa na tija stendi barabarani kukiwa hivi, wana mchuuza nani?

    Hii ndiyo hali ilivyo barabarani: Tuko kama tuliopagawa!
  15. JamiiForums Tanzania Angalizo kwa serikali kuhusu ukaguzi wa majengo Kariakoo, nimenusa harufu kubwa ya Rushwa

    Rais naskia ametangaza majengo yote ya eneo la Kariakoo yafanyiwe uhakiki. Japo sijaithibitisha hii habari niliisikia tu juu juu kwenye mitandao. Uhakiki wa majengo ni jambo zuri mno kwasababu itatuhakikishia kupungua kwa majanga ya aina hii - majengo kuporomoka. Kwahiyo kama hili zoezi...
  16. JamiiForums Tanzania Tumekuwa na hofu, kwa fremu za chini ya ardhi, kikosi maalum kifanye ukaguzi wa majengo yote kko, kwa Ada ya 2.5ml,kwa kila jengo!

    Ni hekima iliyo kubwa hasa kwa ili lililotokea mamlaka husika zikapitia majengo yote kariakoo kwa ukaguzi wa kina, kuanzia ngazi ya uimara wa nguzo na mengineyo ili kutupa moyo sisi wafanyabiashara kuzama kwenye maduka ya underground, napendekeza kila jengo baada ya kukaguliwa likawekwa sticker...
  17. JamiiForums Tanzania Kuna utaratibu wa kufanya ukaguzi wa hali ya majengo marefu, walau kwa kila mwaka?

    Najiuliza kama kuna utaratibu huo kwa upande wa mamlaka za uhandisi nchini, kukagua majengo na kutoa certificate za ubora.
  18. M

    JamiiForums Tanzania Wakala wa Vipimo (WMA) mbona mageti yenu ya ukaguzi wa mazao hayazuii wala kupiga marufuku rumbesa? Wafanyakazi wenu wanaongoza kula hongo

    Moja kwa moja nawashukia wakala wa vipimo (Weights and measures Agency aka WMA) ambao wanahusika na udhibiti na ukaguzi wa uzito wa mazao hapa Tanzania. Hii taasisi ina vituo vyake katika kila sehemu zenye mizani katika barabara kuu hapa Tanzania. Mfano mizani za...
  19. JamiiForums Tanzania Polisi wajengewa uwezo katika ukaguzi wa mitambo mizito, wasema wako tayari kwa ukaguzi wa mitambo hiyo

    Chuo cha Mitambo mizito (IHET) kimeendelea kutoa mafunzo kwa askari wa Jeshi la Polisi ambapo awamu hii kimeweza kutoa mafunzo na kuwataini askari ambao wamejengewa uwezo wa ukaguzi wa mitambo mizito huku washiriki wakibanisha kuwa utaalam huo walioupata unakwenda kuongeza ufanisi katika ukaguzi...
  20. JamiiForums Tanzania Polisi yapiga marufuku kutoa fedha taslimu wakati wa ukaguzi wa Vyombo vya Moto

    Jeshi la Polisi Tanzania Nchini limesema kuwa Kila mwaka huadhimisha Wiki ya Nenda kwa Usalama Barabarani huku likipiga marufuku kwa mtu yoyote kupokea ama kutoa fedha taslim wakati wa Ukaguzi wa vyombo vya moto. Akitoa taarifa hiyo leo Msemaji wa Jeshi la Polisi Nchini Naibu Kamishna wa Polisi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…