Ni vyema baadhi yetu tukapunguza ujuaji usio na tija. Tume inakuja na taarifa rasmi ikisema wafanya vurugu walikuwa na silaha za jadi na bunduki n.k., lakini wewe unagoma. Sasa, maafisa wa polisi waliofariki waliuawa na kitu gani? Je, walipovamia vituo vya polisi na kuchoma ofisi za serikali...