Rais wa Ujerumani, Frank Walter Steinmeier, ameonya kuwa kurejea kwa Donald Trump Madarakani kwa muhula wa pili kumezua mpasuko mkubwa katika Uhusiano wa Kimataifa, hususan kati ya Ulaya na Marekani. Akizungumza Mjini Berlin, amesema hali hiyo imebadili kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa Diplomasia...