Rais wa Ujerumani, Frank Walter Steinmeier, ameonya kuwa kurejea kwa Donald Trump Madarakani kwa muhula wa pili kumezua mpasuko mkubwa katika Uhusiano wa Kimataifa, hususan kati ya Ulaya na Marekani. Akizungumza Mjini Berlin, amesema hali hiyo imebadili kwa kiasi kikubwa mwelekeo wa Diplomasia...
Uingereza, Ufaransa, Ujerumani, Italia, Uholanzi na Japani zimesema zitachukua hatua za kuimarisha utulivu wa masoko ya nishati, na ziko tayari kushiriki katika “juhudi stahiki” ili kuhakikisha usalama wa upitishaji katika Mlango wa Hormuz.
Albert Einstein – Nadharia ya Relativity
Max Planck – Mwanzilishi wa Quantum Theory
Werner Heisenberg – Uncertainty Principle
Wilhelm Conrad Röntgen – Aligundua X-rays
Hermann von Helmholtz – Fizikia na fiziolojia
🧪 Kemia
Justus von Liebig – Baba wa modern chemistry
Fritz Haber – Haber Process...
Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani, Hassani Iddi Mwamweta anaongoza ujumbe wa wakulima na wafanyabiashara kutoka Tanzania unaoshiriki Maonesho ya Kimataifa ya Matunda na Mbogamboga ya Fruit Logistica 2026 yanayofanyika Berlin kuanzia Februari 03 hadi 06, 2026.
Ujumbe huo unajumuisha Mkuu wa...
Baada ya vita vya pili kumalizika ukweli ni kwamba genius wengi kutoka ujerumani walichukuliwa na marekani , urusi pamoja na uingereza baada ya ujerumani kuionyesha dunia nguvu yao kijeshi na kitekilonojia sasa hebu leo hebu tujikumbushe ugundunzi uliofanywa na wajerumani
1.kombola la v2...
In a statement to AFP news agency, Germany’s foreign ministry said it is “monitoring the situation in Venezuela very closely and following the latest reports with great concern.”
“The foreign ministry is in close contact with the embassy in Caracas,” Berlin said adding that the government’s...
Tunarejea tamko la Mwakilishi Mkuu kwa niaba ya Umoja wa Ulaya la tarehe 2 Novemba 2025, na tamko la pamoja la Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Canada, Norway na Uingereza la tarehe 31 Oktoba 2025, kuhusu uchaguzi nchini Tanzania.
Tumehuzunishwa sana kwa vifo na majeruhi wengi waliotokana na matukio...
Father kitima bado yupo na mawazo ya kizamani sana, bado yupo na mawazo ya Ujerumani kuitawala dunia. mbinu zenu zote za kuangusha mataifa kupitia dini zinajulikana zote. Vita vya kwanza vya dunia mlishindwa, vita vya pili vya dunia mlishindwa.
Kitima umeshazeeka waachieni vijana waiongoze...
BREAKING: Ujerumani imesaini mkataba wa kombora wa Euro BILIONI 2 na Israel.
Wakati wengine wakikabiliwa la kuitenga Israel, Ujerumani inanunua makombora ya Spike ya RAFAEL kwa idadi kubwa. Ulaya inahitaji teknolojia ya ulinzi ya Israel.
Niwapongeze sana Idara ya uhamiaji kuwafutia viza watu wawili wenye mahusiano na taasisi ya KAS.
kwa mapitio yangu watu hawa walianza harakati muda mrefu ikiwemo kutoa mafunzo kwa CHADEMA ambayo
leo tunaiona ikikiuaka kanuni za msingi za chama cha siasa ...kukataa kuingia kwenye uchaguzi na...
Siasa za Marekani zimegeuka na kuwa kama za Afrika ndani ya muda mfupi. Bw. Trump kila ambaye anapingana naye basi anakuwa mbaya na waliomzunguka sharti kumsifia tu kama machawa. Siasa zimekuwa ni kuwatuhumu Demos ambao wengi wanakuwa referred kama the lefts na kila baya anawatuhumu wao
Zamani...
Leo tarehe 11 Sept, 2025, Katibu wa Mahusiano ya Kimataifa Chadema Deo Munishi amehitimisha ziara maalumu nchini Ujerumani kwa kukutana na wabunge pamoja na maafisa waandamizi wa serikali ya taifa hilo kwa shabaha ya kuwasilisha ujumbe maalumu wa chama juu ya anguko la demokrasia na...
Nimewasiliana na Watabibu wengi wanaodai wana dawa za kuponya Kisukari (diabetes) lakini kila ninayemuomba atume sampo au dozi ya mgonjwa mmoja tuone kweli kama inafanya kazi wanataka ilipiwe kwanza. Kama kuna tabibu anayetibu kwa hakika kisukari cha type zote na yuko tayari kutuma dozi moja...
Wakati Ujerumani alikuwa akipokea kichapo kitakatifu kutokea upande wa mashariki na jeshi la Red army la mrusi, upande wa magharibi ya Ujerumani nako kichapo kilikuwa si haba...
Ujerumani wakati wa vita Ya pili ya dunia ilikuwa inategemea mto mkubwa uliokuwa mpakani kati yake na USwiss...
TikTok inakabiliwa na mgomo mkubwa wa wafanyakazi nchini Ujerumani hasa katika ofisi yake ya Berlin Kufuatia uamuzi wa kampuni hiyo wa kuwafuta kazi takriban wafanyakazi 150 kutoka idara ya "Trust and Safety" na "Live". Wafanyakazi hawa walikuwa wakihusika na usimamizi wa maudhui na usalama wa...
Wanaukumbi.
Ujerumani itasitisha uuzaji wa silaha zake kwa Israel ambazo zinaweza kutumika katika Ukanda wa Gaza, Kansela Friedrich Merz anasema kutokana na mipango ya Israel ya kuuteka mji wa Gaza.
Akizungumza muda mchache uliopita, Merz amesema serikali yake haitaidhinisha usafirishaji...
Taarifa ya wizara ya mambo ya nje ya Ujerumani baada ya mashambulizi ya Israel katika nchi ya Iran.
Taarifa ikiishutumu Iran kwa kuishambulia Israel.
Inaonekana Ujerumani inateswa na historia yake
Hali ya Mashariki ya Kati imezidi kuwa mbaya kwa kasi kubwa usiku wa kuamkia leo. Israel...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.