ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ujenzi huu unafaa?

    Wasaslam. Nahitaji kujenga nyumba ya kawaida ambayo itakuwa na concrete roof. Je inafaa na Kama inafaa vipi gharama zake? Kupaua kutumia concrete slab au mabati ipi ni nafuu. Karibuni wadau
  3. JamiiForums Tanzania Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora

    Hizi ni power tools muhimu ambazo fundi wa ujenzi wa nyumba anashauriwa awe nazo kwa kazi kuwa rahisi, haraka na bora: 1. Drill Machine (Choropoa) – Kwa kuchimba kuta, mbao, nondo n.k. 2. Angle Grinder (Grinda) – Kukata chuma, bati, tiles, mawe n.k. 3. Cutting Machine (Circular Saw) –...
  4. JamiiForums Tanzania Katika kampeni za mwaka huu kwa wagombea wa urais wataje utajiri wao ili tunaposikia kuwa wametoa hela za ujenzi wa miradi tusishangae

    Huu ni wito tu ili tusije kuparurana huko mbele, habari za Samia kajenga nyumba za Walimu, Samia katoa pesa za ujenzi wa barabara zinapaswa kuwa wazi kulingana na vipato vyao. Ni hayo tu
  5. JamiiForums Tanzania 85M-90M(BOMA) GOROFA SIMPLE SANA YENYE 3BEDROOMS ONLY FIT ON 15X20M PLOT TUNAHUSIKA NA UJENZI + RAMANI +255624004650

    HII GOROFA SIMPLE SANA INA; G.F SEBULE KUBWA, DINING ,OPEN KITCHEN WITH STORE,LAUNDRY AND POWDER ROOM F.F MASTER BEDROOM KUBWA ,1SELF BEDROOM FAMILY ROOM TERRACE HAVE ALSO 1SELF BEDROOM ESTIMATED COST BILA FINISHING 85-90M TUNAPATIKANA SINZA DAR ES SALAAM CALL/WHATSAP +255624004650
  6. JamiiForums Tanzania Wakuu mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi Kibaha

    Nilikua nauliza mwezi Gani mzuri Kwa ujenzi kibaha ambapo Hali ya hewa huwa imetulia naombeni wenye uzoefu mnijuze
  7. JamiiForums Tanzania Angalia kwa makini sana namna tumehusika kuanzia design mpaka ujenzi, Airbnb hizi Moshi, 2Bedroom kila unit tupigie 0624004650

    HIZI NI AIRBNB APPARTMENTS, CONTAIN 2UNITS EACH UNIT HAVE , GROUND FLOOR INA SEBULE,OPEN KITCHEN DINING NA PUBLIC TOILET JUU INA 2BEDROOMS ALL WITH SPECIOUS BATHROOM ,AND BALCONY. MPAKA HAPO MATERIAL + LABOR COST 175M
  8. JamiiForums Tanzania Aina za balcony kwenye ujenzi

    A balcony is a platform projecting from the wall of a building, typically above the ground floor, enclosed by a railing or balustrade. Balconies provide outdoor space for occupants and enhancethe aesthetics of the building. Types of Balconies: 1. Cantilever Balcony: Supported only at one end...
  9. JamiiForums Tanzania Unarudi lini site kumalizia ujenzi?

  10. S

    JamiiForums Tanzania Nasimamia miradi na ujenzi wa nyumba, Majengo na n.k, mkoa wa dar es salaam

    Kama unahitaji msimamizi wa miradi au nyumba inajegwa kwa mkoa wa dar es salaam nafanya kwa bei ya 300,000 Tsh kwa mwezi, elimu yangu ni fundi mitambo ngazi ya stashahada, mawasiliano - 0756704145, dar es salaam, Mbezi.
  11. N

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Msimamizi wa Miradi ya Ujenzi Mwanza hasa UKEREWE.

    Tunaye hapa Msimamizi wa miradi ya Ujenzi (Majengo na Barabara) Fundi Sanifu Mwenye uzoefu wa siku nyingi. Kwa Mwenye miradi huku Mwanza hasa UKEREWE tuwasiliane mwanzahuduma7@gmail.com
  12. JamiiForums Tanzania Chukua hizi tips za ujenzi kuhusu Kuezeka nyumba za contemporary

    Tips za ujenzi Leo nawapa hii kuhusu kuezeka nyumba za contemporary 1.Bati zivaane migongo 3 ( kwa upana) 2. Overlap bati na bati kwa urefu isipungue cm 30 3.Weka treatment nzuri ya waterproof kati ya bati na ukuta 4.Gata ya zege ya kukusanyia maji iwe treated na waterproof na iwe pana...
  13. JamiiForums Tanzania TANGA: Rais Samia atoa TZS4bn kwaajili ya ujenzi wa Sports Academy

    Kituo cha Michezo cha TFF Mnyanjani, Tanga: Kituo Kikuu cha Kukuza Vipaji vya Vijana Serikali kwa kushirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) imewekeza kiasi cha shilingi 4,513,000,000.00 katika ujenzi wa kituo cha kisasa cha michezo kinachojengwa eneo la Mnyanjani, Jiji la...
  14. JamiiForums Tanzania Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi ambayo inasahaulika kusemwa

    Mbinu mojawapo kubwa ya kupunguza ghalama za ujenzi wakubwa Heshima kwenu leo nakusogezea hii huwa haisemwi Mbinu kubwa ya kupunguza gharama ya ujenzi: Tumia Interlocking Stabilized Soil Blocks (ISSBs) badala ya matofali ya kawaida au mawe ya saruji. ✅ Faida za ISSBs: Hakuna haja ya kutumia...
  15. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia TANROADS imeanza rasmi ujenzi wa daraja eneo la Jangwani, Dar es Salaam

    Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) imeanza rasmi ujenzi wa daraja jipya la kisasa katika eneo la Jangwani jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kudumu wa kuondoa changamoto ya mafuriko ya mara kwa mara yanayoathiri jiji hilo. Daraja hilo litakuwa na urefu wa...
  16. JamiiForums Tanzania GE2025 Serikali kupitia Mradi wa SEQUIP yakamilisha ujenzi wa miundombinu katika shule za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma

    Serikali kupitia Mradi wa kuboresha elimu ya sekondari-SEQUIP imekamilisha ujenzi wa miundombinu mbalimbali katika shule mpya za Sekondari za wasichana Dar es salaam na Ruvuma. Pamoja na dhamira hiyo ya serikali ya kuboresha sekta ya elimu kwa kuwekeza na kufanya ujenzi na ukarabati wa...
  17. JamiiForums Tanzania Je, Wadau wa AFCON na CHAN mnajua kama Mama katoa TZS298bn kwaajili ya ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa “Samia Suluhu Arusha stadium"?

    Rais Samia ametoa TZS298bn kwaajili ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu “ Samia Suluhu Arusha stadium” sasa Mkoa wa Arusha kwenye ramani za AFCON rasmi. Katika kipindi cha miaka minne ya uongozi wa Rais Samia, mkoa wa Arusha umefanikiwa kupata uwanja wa kisasa wa mpira ambao unajengwa katika...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia amechangia millioni 200 Ujenzi wa kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Nyie Wajasiriamali zaidi ya 1,400 mnakumbuka mlivyopanga biashara zenu chini kabla ya Rais Samia hajatoa TZS27bn za ujenzi wa soko kuu la Mwanza?

    Rais Samia ametumia TZS26,61bn kujenga Soko Kuu Mwanza linalochukua wafanyabiashara 1,400 na maduka 500, maegesho ya magari zaidi ya 190 kwa Pamoja. Madhumuni ya Rais Samia ni kuongeza mapato ya ndani kwa halmashauri pamoja na kuhamasisha shughuli mbalimbali za kibiashara Ukanda Mzima wa ziwa...
  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi Holela Zanzibar: Sehemu nyingi hazifuati mipango miji – Moto ukitokea huduma haziwezi kufika!

    Kwa yeyote anayeishi au kutembelea maeneo ya Zanzibar, atakuwa ameshuhudia jinsi ujenzi wa nyumba unavyoendelea kwa kasi maeneo mbalimbali. Lakini cha kusikitisha ni kwamba ujenzi huu kwa sehemu kubwa unafanyika kiholela bila kufuata mipango rasmi ya miji. Eneo la Jumbi juu ya kilima upande wa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…