ujenzi

  1. Tunatengeneza ramani za majengo mbalimbali

    Ni rahisi zaidi ikiwa utahitaji ramani kutoka kwetu. Tupigie 0621003092 Kisha eleza nini unahitaji na sisi tutayageuza mawazo yako kuwa uhalisia. We’re the Nation Of The People. Limbu Nation.
  2. SoC04 Ujenzi wa vituo vya dharura bararani ili kutoa huduma kwa majeruhi wa ajali itasaidia kupunguza idadi ya vifo hapa nchini

    Eneo la mada Miundombinu ya Usalama barabarani. Mada: UJENZI WA VITUO VYA DHARURA BARARANI ILI KUTOA HUDUMA KWA MAJERUHI WA AJALI ITASAIDIA KUPUNGUZA IDADI YA VIFO HAPA NCHINI. Uwepo wa vituo vya dharura barabarani ni msaada mkubwa wa kuokoa maisha ya binadamu wenzetu pale inapotokea ajali...
  3. DOKEZO Ujenzi wa maeneo mengi ya Kariakoo hauzingatii usalama wa Watu na mali zao, hatua zichukuliwe tusisubiri majanga

    Kwa siku za hivi karibuni kama kati yetu kuna ambao wamebahatika kwenda kwenye eneo maarufu la kibiashara Kariakoo jijini Dar es Salaam mtaungana na mimi kwamba kuna ujenzi wa majengo mengi ya gorofa unaendelea kwa sasa. Ujenzi huo unafanyika katika Mitaa mbalimbali ya Kariakoo ambapo kipindi...
  4. N

    Faida na Hasara kwenye (Joint Venture) Mshiriki katika ujenzi wa ghorofa.

    Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
  5. Mbunge Ndaisaba Ruhoro Achangia Milioni 5 Ujenzi wa Kanisa Katoliki Rulenge - Ngara

    MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA. 💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪ Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
  6. Ni kwanini ujenzi mkubwa au miradi mikubwa wanapewa wageni sio wazawa?

    Ili jambo lina nishangaza sana au sijui elimu yetu inaonyesha kuwa na ukomo wa ushindani.Miradi mikubwa au ujenzi mkubwa sijawai kuona mzawa kashinda tenda au kufikirika mfano barabara kubwa,madaraja makubwa,magorofa marefu,viwanja vya mpira na n.k Ni kweli kwamba sisi ujuzi wetu ni wanyumba za...
  7. Polisi yawashukuru Wananchi waliofanya maboresho ujenzi wa Kituo cha Polisi

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi Mkoani humo huku likibainisha kuwa litaendelea kutoa huduma bora na za kisasa kwa wananchi Hayo...
  8. Waziri wa Ujenzi atoa maelekezo mawasiliano Barabara ya Dar - Lindi yarejee ndani ya Saa 72

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa, ameeleza kuwa timu ya watalaamu wa Wakala ya Barabara (TANROADS) na Makandarasi itatumia saa 72 (siku 3) kukamilisha zoezi la kurejesha miundombinu ya barabara ya Lindi – Dar es Salaam, ambayo imeharibiwa na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha zilizombatana na...
  9. Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe (Moshi) unaendelea

    Ujenzi wa Barabara katika Stendi ya Bomang'ombe Wilayani Moshi Mkoani Kilimanjaro unaendelea baada ya awali kuripotiwa kuwa na mashimo ambayo yalikuwa yakisababisha Madereva wa Mabasi na Costa kutishia kugoma kutoa huduma. Pia Soma - Kilimanjaro: Madereva wa mabasi na Costa watishia kugoma...
  10. SoC04 Uchimbaji wa Mawe Kanda ya Ziwa Kuwa Mchango Mkubwa Katika Ujenzi wa Miundombinu

    Kanda ya Ziwa katika eneo la Afrika Mashariki, ambayo inajumuisha maziwa makubwa kama Ziwa Victoria, Ziwa Tanganyika, Ziwa Nyasa, na maziwa mengine madogo, ina utajiri wa rasilimali za jiolojia, ikiwa ni pamoja na aina mbalimbali za mawe. Kanda ya Ziwa ni eneo lenye umri wa kijiolojia wa...
  11. Waziri Mkuu Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopata ujenzi wa Miradi ya Umwagiliaji, kuhakikisha wanaitekeleza kwa weledi na ubora

    WAZIRI MKUU AWATAKA WAKANDARASI MIRADI YA UMWAGILIAJI KUZINGATIA UBORA Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, amewataka wakandarasi wazawa waliopewa dhamana ya ujenzi wa Miradi ya umwagiliji kuhakikisha waaitekelza kwa weledi na ubora wa hali ya Kuu. Majaliwa Ameyasema hayo Jana katika hafla ya utiaji...
  12. M

    SoC04 Ujenzi/upanuzi wa madarasa mapya ya shule za kata kila mwaka na kubana maeneo ya michezo

    Naipongeza serikali kwa ujenzi wa shule za kata kwa nchi yetu ya Tanzania kila wilaya kwasasa wanafunzi wetu wanapofaulu wanauhakika wa kuendelea na kidato cha kwanza pia na ukaribu wa sehemu wanazoishi. Hii imeondoa adha ya ukatili wa kijinsia na kuwajengea weledi watoto. Hoja yangu ni Hii...
  13. Wakazi wa Gongo la Mboto kuelekea Chanika tunasubiri kwa hamu awamu mpya ya ujenzi wa mwendokasi

    Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa. Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
  14. Napendekeza ujenzi wa Bwawa lingine kilomita kadhaa mbele ya bwawa la Nyerere

    Kwa wanaolewa topography nzima ya eneo la Rufiji basin, hii inawezekana? Kwamba pana tofauti ya kutosha ya alltitude na reservoir area nyingine mbele ya bwawa la rufiji? Inabidi tuwaze miaka 30 toka sasa tusije kurudi kwenye limgao la umeme, maana watu kama akina JPM ni nadra sana kuwapata...
  15. Points 10 za ujenzi: Hawa ndiyo wataalam muhimu wa ujenzi

    Leo katika sikukuu hii ya wafanyakazi duniani, nimeona itakuwa ni vyema kujuzana juu ya wataalam muhimu katika katika tasnia ya ujenzi. Hapa nalenga zaidi ujenzji wa Majengo madogo,yaani Nyumba za chini mpaka ghorofa mbili Frame za maduka Zahanati Shule Majengo ya ofisi 1.AFISA MIPANGO...
  16. Zaytun Seif Swai ahoji Bungeni Ujenzi wa Daraja la Mto Athumani - Ngorongoro

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha, Mhe. Zaytun Seif Swai Ameuliza, Je, ni lini Serikali itaanza Ujenzi wa daraja la mto Athumani? Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amejibu na kusema; "Daraja la Mto Athumani liko katika barabara ya Mkoa ya mto wa Mbu - Selela - Engaruka -...
  17. Visiwa vya Pemba na Unguja: Ujenzi wa Kipekee wa Miamba ya Matumbawe na Kuunda Visiwa

    Visiwa vya Pemba na Unguja, vilivyoko Zanzibar, Tanzania, vina historia ya kijiolojia inayofurahisha. Jiolojia ya visiwa hivi inahusisha michakato mbalimbali ambayo imesababisha muundo na muonekano wa kijiolojia wa visiwa hivyo. Kwa kuanza, visiwa hivi vinaundwa na miamba ya ardhini ambayo...
  18. Jumuiya ya wazazi (CCM)Kilimanjaro yapigwa pini, ni kuhusu ujenzi wa bwalo la chakula Kibo Sekondari

    Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia kupitia ofisi ya Udhibiti wa uborq wa shule Manispaa ya Moshi ,imeagiza kusitishwa mara moja ujenzi wa bwalo la chakula kwa ajili ya wanafunzi wa shule ya sekondari ya Kibo. Hatua hii inakuja kufuatia malalamiko ya wazazi/walezi wa wanafunzi wa shule ya...
  19. Kijiji cha Kataryo Chaongeza Kasi ya Ujenzi wa Zahanati Yake: Mbunge Prof. Muhongo Achangia Saruji Mifuko 200

    KIJIJI CHA KATARYO CHAONGEZA KASI YA UJENZI WA ZAHANATI YAKE: MBUNGE AKICHANGIA SARUJI MIFUKO 200 Kijiji cha Kataryo ni moja ya vijiji vitatu vya Kata ya Tegeruka. Vijiji vingine ni: Mayani na Tegeruka. Kijiji cha Kataryo hakina zahanati yake, kwa hiyo wakazi wake wanalazimika kusafiri umbali...
  20. Pointi 10 Katika Ujenzi, Makosa katika Ujenzi

    MAKALA YA 10 Karibuni tena katika MAKALA za ujenzi.Leo nataka tuangazie juu ya makosa mbalimbali yanayofanyika katika ujenzi wa majengo . 1.KUNUNUA VIWANJA KATIKA MAENEO HATARISHI Kuna watu wanataftaga majanga kabla hata ya kuanza ujenzi kwa kununua ardhi kwenye maeneo ni hatari kwa ujenzi na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…