NIRC, TRC, BENKI YA DUNIA KUANZA UJENZI MABWAWA SITA KUKABILIANA NA MAFURIKO NA KULINDA MRADI WA SGR
NA NIRC, Dodoma
TUME ya Taifa ya Umwagiliaji kwa kushirikiana na Shirika la Reli Tanzania (TRC) chini ya ufadhili wa Benki ya Dunia, inaendelea na utekelezaji wa hatua za awali za upembuzi...
Kwa safu ya mama aliyopo nayo wengi wao wamekuwa wakilalamikiwa bungeni na wananchi kiujumla kuhusu ufisadi na utendaji wao kwenye wizara.
Nilimsikia waziri January Makamba kuhusu balozi zetu zilizopo zimekuwa zikighalimu pesa kwa ajili ya kupangisha eneo kwa ajili ya balozi zetu.
Wazo la...
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso anashiriki Kongamano la Kumi na Tano la Uwekezaji katika Ujenzi wa Miundombinu (15th International Infrastructure Investment and Construction Forum and Expo) linalofanyika tarehe 19-21 Juni, 2024, Macao SAR, China.
Waziri Aweso ni moja wa waalikwa kati ya Mawaziri...
TANBIHI: Nimetumia neno "tabibu" nikimaanisha wataalamu wote wa afya, wanasayansi na wote wanaohusika katika mlolongo mzima wa tasnia ya afya nchini.
Neno "tabibu" linaweza kuwa na maana finyu katika Kamusi, lakini kwa madhumuni ya bandiko hili, neno "tabibu" litumie tafsiri niliyoitoa hapo...
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina.
NB: Hawana utambulisho wowote
Ni kazi kuamini:-
* Kelele za CHADEMA kuhusu barabara ya Nyakanazi - Kigoma CCM imezimaliza. Sasa hii si hoja tena kwao;
* Umeme si hoja tena. REA imefanya kazi kubwa kuleta maendeleo ya nishati mkoani Kigoma.
* Mawasiliano ya simu ktk rural areas siyo hoja tena. Ni CCM chini ya Rais Samia...
RAIS SAMIA AIPA TANROADS BIL 431.4 KUTEKELEZA MIRADI YA UJENZI WA MIUNDOMBINU MKOANI KAGERA
Na Mathias Canal, Kagera
Wakala wa Barabara “TANROADS” Mkoani Kagera inasimamia mtandao wa barabara wenye jumla ya kilomita 1,966.29. Kati ya hizo barabara kuu ni Kilomita 861.59, barabara za mkoa ni...
Tanzania na nchi za afrika kwa ujumla wake tumekuwa na uduni katika kukuza SEKTA ya UJENZI kwa MAENDELEO ENDELEVU pamoja na usalama wa nnchi zetu
1. SEKTA YA UJENZI ni nyenzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote Tanzania ikiwemo. Kati ya sekta inayotumia pesa nyingi katika mataifa...
TANESCO KUOKOA BILIONI 30 KILA MWAKA MKOA WA KAGERA UTAKAPOINGIA KWENYE GRIDI YA TAIFA
📍Yasaini mkataba na kampuni ya Mhandisi Mshauri ya Shaker na kampuni ya usimamizi miradi ya umeme ya PDC kusimamia ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme
Benaco - Kyaka
Na Charles Kombe, Dar es Salaam
Shirika...
Mambo vipi wakuu Natumaini mko poa kabisa, niende kwenye mada Moja kwa Moja, ni hivi toka jumatatu nilikuwa kama kibarua kwenye kumwanga zege baadhi ya maeneo,.
Kiasi tulichokubaliana ni kwa siku ni sh 13000 na kazi ilikuwa inatakiwa iishe Leo jumatano jioni, lakini cha ajabu tumelipwa...
KISHINDO CHA RAIS SAMIA MKOANI SINGIDA//BILIONI 93 ZIMETOLEWA UWEKAJI TAA, UJENZI BARABARA NA MADARAJA
Serikali imetoa kiasi cha takribani Bilioni 93 Katika kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan madarakani kwa ajili ya miradi...
UTANGULIZI
Kufuatia ukuaji wa miji, changamoto mbalimbali zimekua zikishuhudiwa siku baada ya siku. Changamoto mojawapo ikihusisha ukosefu wa usalama katika makazi.
Kidunia suala la ukuaji wa miji salama limeangaziwa katika nyanja mbalimbali chini ya shirika la Makazi( UN-Habitat). Kwa mujibu...
Waziri wa Fedha Mhe. Dkt. @mwigulunchemba (Mb), amefanya mkutano kwa njia ya mtandao kutoka jijini Dodoma na Rais wa China Exim Bank, Bw. Ren Shengiun, ambapo wamejadili kuhusu ushirikiano kati ya Serikali na Benki hiyo ikiwemo upatikanaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali...
Mheshimiwa Spika, awali ya yote nianze kwa kumpongeza Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Lugha Bashungwa (Mb) kwa uwasilishaji wake mzuri wa hotuba yake ya Bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka 2024/2025.
Mheshimiwa Spika, Niwapongeze Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) na Wakala wa Barabara za...
Makazi ni mahitaji ya binadamu kwa lengo la kukizi huduma za maisha. Maisha ni hali au uwezo wa kuishi kwa kuzingatia kula mlo kamili wenye virutubisho.
Tanzania inakumbana na changamoto nyingi kama vile watoto wa mtaani , wezi ni kwa sababu ya marafiki au malezi ya wazazi.
Kero kubwa ikiwa ni...
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada za kutafuta fedha kupitia wahisani mbalimbali wa maendeleo ili kusaidia Makandarasi wa ndani kuwa na uwezo wa kutekeleza miradi mbalimbali ya miundombinu nchini.
Akiongea kupitia kipindi cha Mizani ya Wiki cha U...
Huu ni mchango wa mbunge wa jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ujenzi kwa mwaka wa fedha 2024/2025 tarehe 30 Mei 2024 bungeni Dodoma.
“....Serikali tarehe 16 Juni 2023 kupitia Wizara ya Ujenzi ikiongozwa na Prof. Makame Mbarawa by then, ilisaini mikataba saba...
Salaam wakuu, nahitaji msaada wa kitaalamu, nahitaji kuchimba shimo ili niwe nahifadhi maji Kwa ajili ya ujenzi unaoendelea.
Nahitaji kuchimba shimo litakaloweza kubeba ujazo wa litre elf 7, naomba kufahamu Kwa ujazo huo je, inanipasa nichimbe shimo Kwa vipimo gani? (Yani nichimbe futi ngapi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.