ujenzi

  1. JamiiForums Tanzania Jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi

    Hi ------ Posti hii inaeleza jinsi hali ya kiwanja inavyoathiri bajeti ya ujenzi. Mambo muhimu yaliyoangaziwa ni: 1. Aina ya ardhi: - Tambarare: Gharama hupungua. - Mteremko/milima: Gharama huongezeka. 2. Aina ya udongo: - Laini: Huhitaji msingi wa kina → gharama huongezeka. -...
  2. JamiiForums Tanzania Ukitaka kufanya project yako ya ujenzi kwa uimara nunua vifaa sisi tulipe labor charge +255624004650 call us

    We do design and build services Tunapatikana sinza call/whatsap +255624004650
  3. JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii Dodoma hakuna ujenzi wa kiwanja kipya cha AFCON

    Arusha, tumeona maendeleo, Benjani tumeona maboresho, Dom mbona hata ramani hatuoni?
  4. JamiiForums Tanzania Wataalamu wa ujenzi nyumba kama hii niandae sh. Ngapi na mimi niamie kwangu?

    Wataalamu msaada wenu tafadhali nimechoka kupanga nina kaeneo kangu ka miaka nenda rudi, na mimi nataka niamie kwangu. Bei gani hii nyumba nataka niamie ndani ya siku mbili hizi.
  5. JamiiForums Tanzania INAUZWA Nipo Dodoma, nauza mbao bei nafuu sana

    Mpo salama wadau wa Dodoma? Nimeshusha mzigo wa mbao (Futi 12) pale karibu na uwanja wa Jamhuri. Bei zangu ni rafiki na mbao ni nzuri/bora sana; 2x2 - 2,500 2x3 - 3,700 2x4 - 4,700 2x6 - 7,000 1x4 - 2,500 1x6 - 4,500 1x8 - 7,500 1x10 - 14,000 Mafundi ujenzi, fanicha na wateja wengine karibuni...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  7. JamiiForums Tanzania Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa

    Unapojenga gholofa unatakiwa upange mawe ili upige jamvi je Upi umuhimu wa mawe kwenye ujenzi wa ghorofa Mawe yana umuhimu mkubwa katika ujenzi wa ghorofa, hasa wakati wa kupiga jamvi (slab). Hapa kuna faida zake: ✅ Kuimarisha Msingi – Mawe husaidia kuimarisha msingi wa jengo kwa kuzuia...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Bilioni 19.601 kutekeleza ujenzi kituo kikuu cha mabasi geita mjini

    BILIONI 19.601 KUTEKELEZA UJENZI KITUO KIKUU CHA MABASI GEITA MJINI Jumla ya Shilingi Bilioni 19,171, 601, 509. 00 zinatarajiwa kutumika katika ujenzi wa Kituo Kikuu cha Mabasi cha Geita Mjini, ikiwa ni sehemu ya utekelezaji wa Mradi wa Uboreshaji wa Miundombinu ya Miji Tanzania kwa awamu ya...
  9. JamiiForums Tanzania wafanyikazi wa ujenzi wa Chini Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua Israel.

    Kwa mara ya kwanza tangu kuanza kwa Operesheni za kijeshi huko Gaza .wafanyikazi wa ujenzi wa China wanarejea Israeli. Takriban wafanyikazi 1,000 tayari wametua, kuashiria mwanzo wa wimbi kubwa la waliofika. Kwa jumla, wafanyakazi 4,000 wa China wanatarajiwa chini ya makubaliano ya nchi mbili...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mhandisi mwenye sifa kuandaa michoro ya plumbing kulingana na house plan ya vyumba vitatu. Plan imeshapata kibali cha ujenzi.

    Kama una huo ujuzi tuongee. Hata kama huna degree ya engineering ili mradi una uzoefu wa kutosha
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Naibu Waziri wa Ujenzi aahidi ujenzi wa daraja la Mitomoni kukamilika Septemba 2025

    Naibu Waziri wa Ujenzi Mhandisi Godfrey Kasekenya amesema utekelezaji wa ujenzi wa daraja la Mitomoni lenye urefu wa mita 80 umefikia asilimia 21 unatekelezwa kupitia fedha za dharura zilizotolewa na bank ya dunia kupitia dirisha la Contigency Emegency response component (CEC)kwa gharama ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa Shule Mpya 35 za Msingi na 148 za Sekondari Umefanyika Katika Maeneo Yasiyopimwa

    OR-TAMISEMI imekuwa ikitekeleza mradi wa BOOST ili kuimarisha upatikanaji sawa wa elimu bora katika shule za awali na msingi kote Tanzania Bara. OR- TAMISEMI inatekeleza pia Mradi wa Kuimarisha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) wenye lengo la kuongeza upatikanaji wa elimu ya sekondari, kuweka...
  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ujenzi wa daraja la kipanda lawanufaisha wananchi wa vijiji vya namsinde na mfuto wilayani Momba

    Kukamilika kwa ujenzi wa daraja la Kipanda lenye urefu wa mita 20 na upana mita 7 kumeleta ahueni kwa wakazi wa vijiji vya Namsinde na Mfuto kuzifikia kwa urahisi huduma za kijamii na kiutawala zinazopatikana Makao Makuu ya kata hiyo Myunga wilayani Momba mkoani Songwe. Akizungumza katika...
  14. JamiiForums Tanzania YARD &GODOWNS FO SALE

    Eneo zuri sana kwa uwekezaji wa Viwanda, Yard na Magodown linauzwa Vingunguti Machinjioni, Ukubwa wa eneo ni 2 Acres Bei 2.5bill tsh Document: Available Contact us and Schedule a visit!! 🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717 #plot #sale #realestate #housforsale #plotsforsale #godowns
  15. JamiiForums Tanzania Ila Ujenzi wa bongo huwa ni pure comedy! Tunaanzaga kwanza na fundi MAIKO alafu akizungua ndio tuna mtafuta fundi MICHAEL 🤣

    Ujenzi wetu upo sana katika misingi ya kufinya bajeti. Siwezi kulaumu yoyote kwa maana hali ni ngumu kiukweli. Ila hali hii isitengeneze kama jadi fulani hivi sasa maana tunaishia kugharamika hata zaidi ya pesa tungeempa fundi aliehitaji pesa ndefu. (MICHAEL)
  16. JamiiForums Tanzania Nafikiria kuanza ujenzi, naomba ushauri

    Nina kipato cha shilingi milioni moja na nusu kwa mwezi (1,500,000/=) na ninafirikia kuanza ujenzi wa nyumba ya kuishi. Naomba ushauri wa namna gani naweza kufanya ili ujenzi uende pamoja na maisha mengine. Nina familia ya mke na mtoto mmoja anayesoma darasa la nne, ada ya shule ni 1.5m kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Ukikwepa sana ghalama za ujenzi utaharibu ubora wa nyumba yako

    Akilini kwako unatakiwa kujua kuwa Ujenzi ni gharama. Unapaswa kutumia gharama kwa busara ili kupata ubora bila kuingia kwenye matumizi yasiyo ya lazima. Watu wengi hujarahisisha kazi wakidhani wanapunguza gharama, lakini mwisho wa siku, gharama huongezeka zaidi kwa sababu ya marekebisho na...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Mapya yaibuka : Wajue majini mustwafain na ujenzi wa peramidi za giza-Misri

    Naam , Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Chanzo cha maarifa haya ni sheikh Sharifu Sultan, akiwa katika mfululizo wa vipindi vyake katika chaneli ya moja kwa moja ya Manara TV. Sifahamu kuhusu elimu yake ya kizungu kuhusiano na ujenzi huo wa kale lakini, nondo anazoshusha...
  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Shilingi bilioni 669 kutumika ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega, ametangaza kuwa serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan itatumia kiasi cha Shilingi bilioni 669 kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja katika mikoa ya Lindi na Mtwara kwa lengo la kuboresha usafiri na kuifungua mikoa hiyo kiuchumi. Akizungumza mkoani...
  20. JamiiForums Tanzania Ujenzi wa Barabara unaoendelea maeneo mengi ya Dar kwa wakati mmoja, Je, ilifanyika tathmini ya awali kubaini athari?

    Kwa kipindi cha hivi karibuni kwenye maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es salaam kumekuwepo na kilio cha foleni hasa kutokana na ujenzi unaondelea katika meneo mengi hususani njia za mwendokasi pamoja na utanuzi wa barabara za kawaida. Natumaini ni matamanio ya kila mmoja wetu humu kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…