ujenzi wa kanisa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    Ukiibia hii Nchi Huwakomoi CHADEMA au LISSU au HECHE, Unakomoa Vizazi na Vizazi vya Tanzania,na Bado itabaki usaliti hata ukichangia ujenzi wa Kanisa

    Ufisadi ambao ulikuwepo tukaufumbia macho umekuwa na umekuwa kwa kiasi kikubwa sana mpaka mamlaka ambazo unategemea zitakuwa mbele kukemea na kuchukua maamuzi sahihi juu ya haya mambo zinakaa kimya, hivyo hakuna namna zaidi ya sisi wananchi wenyewe kusimamia hili jambo mpaka tufikie mwisho wake...
  2. Mkalukungone Mwamba

    Mahakama ya Kenya yazuia ujenzi wa kanisa Ikulu

    Mahakama Kuu nchini Kenya imeamuru kusitishwa kwa muda ujenzi wa kanisa la kudumu au jengo lolote la kidini katika majengo ya Ikulu, nchini humo. Agizo hilo la muda pia linazuia ujenzi kama huo katika Ikulu za Rais zilizoko maeneo mbalimbali nchini au hata jengo lolote lenye mafungamano na...
  3. DuaZaMama

    Rais Samia amechangia millioni 200 Ujenzi wa kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Kenan Laban Kihongosi, akimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa Kuu la Christ Cathedral Church, Dayosisi ya Mount Kilimanjaro na kufanikisha kuchangishwa jumla ya Shilingi...
  4. DuaZaMama

    GE2025 Je, Misaada ya Kijamii Wakati wa Uchaguzi ni Njia ya Kununua Kura?

    Wakuu ===== hakuna lingine juu ya hii misaada Wagombea siku hizi wamepata style mpya — wanabeba mabati, cement na hela, wanajifanya wanasaidia kujenga makanisa na misikiti. Ila ukweli ni kwamba, hiyo ni kampeni kwa kificho. Wanajificha kwenye imani ili wapate kura, alafu wanapiga picha na...
  5. Waufukweni

    GE2025 Rais Samia achangia Tsh. Milioni 50 ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu Maswa

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ametoa Tsh. Milioni 50 kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Nyalikungu wilayani Maswa Mkoa wa Simiyu. Akiwasilisha mchango kwa niaba ya Rais Samia, wilayani Maswa, jana, Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara, Stephen Wasira alisema Dkt. Samia anatambua...
  6. Dr Adam Francis

    Kwa hili la ushiriki kwenye ujenzi wa Kanisa, Rais Samia anastahili pongezi

    Mm ni muumini wa dhana ya wajibu wa raia kwa viongozi, kama ulivyo wajibu wa viongozi kwa raia. Kama raia wema tunao wajibu kuikosoa serikali inapokosea ili ijisahihishe, vilevile tunao wajibu wa kuwapongeza viongozi wetu wanapofanya vizuri ili kuwatia moyo wafanye vzr zaidi. Serikali...
  7. Tabutupu

    Mwamposa: Serikali imelipia ushuru wa vitu vyote vilivyotoka nje ya nchi katika ujenzi wa kanisa

    Mwamposa anasema, kila kitu kimelipiwa na serikali, Kuna nini nyuma ya serikali kulipia fedha zote hizi ambazo zingeweza kujenga km 15 za lami? Angalia hii clip Mwamposa akipngea. Tukio la leo ni la ajabu sana, sio muda mrefu titapata majibu.
  8. JanguKamaJangu

    KERO Responded Wananchi Kawe: Ujenzi wa Kanisa la Mwamposa umetusababishia kukosa Maji na kufungiwa barabara

    Baadhi ya wakazi wanaoishi karibu na eneo linalodaiwa kujengwa Kanisa la Arise and Shine (Kawe), linaloongozwa na Apostle Boniface Mwamposa, wameeleza malalamiko yao kuhusu athari zinazodaiwa kusababishwa na ujenzi huo. Wakizungumza Julai 1, 2025, Saa tatu asubuhi mbele ya Mkuu wa Wilaya ya...
  9. Just Pray

    PreGE2025 RC Njombe akabidhi shilingi milioni 30 kwa niaba ya Rais Samia, harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) - Dayosisi ya Kusini Kati limefanikiwa kupata zaidi ya shilingi milioni 210 katika harambee ya ujenzi wa kanisa la Makao makuu iliyofanyika leo Juni 7,2025 ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu...
  10. Cute Wife

    PreGE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

    Wakuu, Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa! Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦! ===== Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na...
  11. Roving Journalist

    PreGE2025 Rais Samia Achangia Milioni 100 katika Ujenzi wa Kanisa la AICT

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan yuko tayari kuendelea kushirikiana na viongozi wa dini kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali kuhusu maendeleo na ustawi wa nchi. Dkt. Biteko amesema...
  12. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Ndaisaba Ruhoro Achangia Milioni 5 Ujenzi wa Kanisa Katoliki Rulenge - Ngara

    MHE. RUHORO, MBUNGE WA JIMBO LA NGARA NA WANAJIMBO KATORIKI LA RULENGE - NGARA. 💒⛪🗓️12 MAY,2024.💒⛪ Mhe. NDAISABA GEORGE RUHORO, Mbunge wa Jimbo la Ngara, Sekreterieti CCM 'W' na M/kiti CCM 'W' Ndg VITARIS NDAILAGIJE amefanya ziara alimaarufu OPERESHENI JENGA KANISA katika Kanisa Katoliki...
  13. P

    Mchango wa ujenzi wa kanisa aliotoa Rais Samia unatoka serikalini au mfukoni kwake? Nini kipo nyuma ya mchango huo?

    Wakuu, Kuna anayejua matumizi ya Rais kwa mwaka? Yeye kama mtumishi wa mwananchi, raia wake tuna haki ya kujua kiasi cha mshahara anaopokea pamoja na matumizi yake. Milioni 150 alizotoa zimetoka wapi? Zimechotwa kutoka kwenye kodi zake au ni mshahara wake? Nini kipo nyuma ndani ya mchango...
  14. chiembe

    Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

    Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
  15. Erythrocyte

    Joseph Mbilinyi (Sugu) apanda Mazabauni kushiriki Ibada ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa, Achangia hela ndefu

    Mbunge ajaye wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara na Mwekezaji wa Nchi mbalimbali (kimataifa) , Bilionea Joseph Mbilinyi, leo ameshiriki ibada Maalum ya kuchangia Ujenzi wa Kanisa katika Parokia ya Ruanda Jijini Mbeya . Mbali na yeye mwenyewe kuchangia kitita kizito kitakachosogeza mbele Ujenzi wa...
  16. B

    Dkt. Samizi ashiriki harambee ujenzi wa Kanisa Jimboni

    Dkt. Florence George Samizi ameendelea kuwa mstari wa mbele kushiriki shughuli mbalimbali za maendeleo na kijamii katika Jimbo lake la Muhambwe mkoani Kigoma na wikendi hii Jumapili alishiriki misa takatifu iliyoendeshwa. Mhashamu Baba Askofu wa Jimbo Kuu la Kigoma, Joseph Mlola kisha kushiriki...
  17. Erythrocyte

    Sugu akutana na Askofu Mwaikali. Ashiriki harambee ya Ujenzi wa Kanisa

    Mbunge wa zamani wa Mbeya Mjini, Mfanyabiashara wa kimataifa, Mwekezaji na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Bilionea Joseph Mbilinyi , leo amefika kwenye kanisa la KKAM , Parish ya Isanga na kushiriki Harambee ya Kanisa hilo. Sugu amechangia kitita kizito mno baada ya kushinda mnada wa kuku...
  18. J

    Wabunge Halima Mdee na Esther Bulaya wamechangia Tsh 9 million harambee ya ujenzi wa Kanisa

    Wabunge maarufu wa viti Maalum Halima Mdee na Esther Bulaya kwa pamoja wamechangia Tsh 9 million kwa ajili ya Ujenzi wa Kanisa Mungu wa mbinguni awabariki Chanzo: Clouds Media
Back
Top Bottom