Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni.
Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo nafikiri siyo sahihi kwa sababu, kwanza ipo kwenye roundabout ya kwenda kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya...
Anonymous (1896)
Thread
barabarani
eneo
karibu
ofisi
tanroads
ubungo
ujenzi
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, imepitisha Randama ya Mpango na Bajeti ya Matumizi ya Kawaida na Mpango wa Maendeleo kwa mwaka wa fedha 2026/2027 ya Wizara ya Ujenzi hatua inayotajwa kuwa muhimu katika kuendeleza kasi ya uboreshaji wa miundombinu nchini.
Akizungumza jijini Dodoma...
Naomba Fundi / Mfanyabiasha mwenye uzoefu wa kutengeneza matofali ya ujenzi pamoja na pavement unipe ushauri wa hiyo biashara, mtaji wa kuanzia, maeneo lengwa pamoja na chagamoto zake Asanteni
Kamati ya Bunge ya Maji na Mazingira imempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuidhinisha Shilingi Bilioni 335 ili kutekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda, mkoani Morogoro.
Kamati hiyo ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Jackson Kiswaga (Mb)...
Unatafuta vifaa bora vya ujenzi kwa bei nzuri?
Karibu VN Warehouse Limited, kampuni iliyosajiliwa kisheria inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa jumla na rejareja.
Tunatoa bidhaa zenye ubora wa uhakika kwa mafundi, wakandarasi, na wateja wa kawaida wanaojenga au kufanya...
Mapendekezo ya Tume ya Rais iliyofanya tathimini kuhusu mgogoro wa ardhi na uhamaji wa hiari, Ngorongoro Eng. Musa Iyombe amesema uamuzi wa Serikali kujenga nyumba kwa wakati huo ulikuwa sahihi hata hivyo imebainika kuwa utekelezaji wake ulikuwa na dosari zinazohitaji kufanyiwa kazi.
Tume...
Wakuu kwema?
Weekend nilienda kumtembelea ndugu anaishi kigamboni mitaa ya uwanja wa machava, amerent kwenye ghorofa ambayo ina wapangaji wengi
Room yake iko ghorofa ya chini ila juu kuna ghorofa zingine tatu
Kwa hali ya ujenzi na vifaa hafifu vinavyotumika Pale aisee ile nyumba inaweza...
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) imekabidhi rasmi eneo la ujenzi wa tenki la maji litakalokuwa na uwezo wa kuhifadhi lita 500,000 katika eneo la Mbezi Msumi kwa mkandarasi Jeccs Construction and Supply Limted.
Hatua hiyo ni kuashiria kuanza rasmi kwa shughuli za...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda, amesisitiza kuwa dhana ya haki na amani haziwezi kutenganishwa katika ujenzi wa taifa imara, akizitaja kuwa ni pande mbili za sarafu moja.
Akizungumza jana, Machi 4, 2026, katika Maadhimisho ya Siku ya Maridhiano (Maridhiano Day) nchini Tanzania, Mtanda...
https://www.youtube.com/live/FUTYjcwovgA
Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Zanzibar, Dkt. Khalid Salum Mohame : Ndani ya siku 100 za Rais Dkt. Mwinyi tumekusanya mapato ya 192,997,450 yanayotokana na Makosa ya usafiri wa ardhini Lengo letu si kukusanya mapato tunataka kudhiti makosa
Waziri Dkt...
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Doris Mollel , Doris Mollel amesema jengo la kuhudumia Watoto waliozaliwa kabla ya wakati (Watoto njiti) lililojengwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza, ni jengo lenye ubunifu na viwango vya Kimataifa ikiwemo uwepo wa wodi ya kwanza ya mfano...
WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba leo Februari 24, 2026 amekagua maendeleo ya Mradi wa Ujenzi wa Stendi Kuu ya Mabasi yaendayo Mikoani unaotekelezwa katika eneo la Bondeni City katika Halmashauri ya Jiji la Arusha.
Mradi huo ambao utagharimu shilingi bilioni 14.3 una lengo la kuboresha...
Katika miaka ya karibuni , wizara hii ya Ujenzi imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.
Kila anyejifunza kunyoa anapelekwa hapo, na nywele anajua anakozipeleka.
Siyo siri ,sasa Wizara , taasisi zake kama TANROADS, ni mufilisi.
Wadau wa ujenzi wanaikimbia wizara ya Ujenzi.
Yote tisa, kumi ni hii...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekataa kuzindua stendi kuu mpya ya Mailmoja Kibaha mkoani Pwani, akiwa katika ziara yake mkoani humo.
Hatua hiyo ameifikia kutokana na kupata wasiwasi wa utekelezaji wa mradi kuwa na baadhi ya mapungufu ambapo amedai baada...
Wanawake katika Kijiji cha Kilimampimbi, Kata ya Kilimampimbi Wilayani Mbozi Mkoani Songwe wametishia kufanya mgomo wa kubeba mimba mpaka ujenzi wa Zahanati ya Kijiji ukamilike ili kuepuka changamoto wanazopitia wakati wa kujifungua.
Wakizungumza na EATV baadhi ya Wanawake kijijini hapa...
Kuna hii tabia ya baadhi ya watu wakipewa hela na ndugu,jamaa au wapenzi ,wawasimamie ujenzi sababu wao wapo nje ya mkoa au nchi wao wanakula hela zao na hakuna wanachokifanya
Ujenzi wa kipande cha Barabara ya Kilomita 1.6 kinachopita maeneo kadhaa ndani ya Manispaa ya Bukoba ambacho ujenzi wake ulianza Oktoba 9, 2023 ilipaswa kukamilika tangu October 8, 2024 mpaka leo Feb 16 2026 hakijakamilika na kuta zinazidi poromoka.
Kinachosikitisha zaidi ni kuwa kuta za mawe...
Anonymous
Thread
barabara
bukoba
hii
kukamilika
manispaa
oktoba
ujenziujenzi wa barabara
WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo.
“Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kujenga jengo la Wagonjwa Mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni ili kuokoa maisha ya wananchi wa Handeni, kitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.