Leo ni siku nzuri sana ❤️
Jumapili njema yenye kupendeza,nawakumbusha Baba, mama,kaka,dada zangu.
Lakini na wadogo zangu pia.
Twendeni kanisani (wakristo)
Ni utaratibu mzuri,unaotukumbusha kufanya Yale yanayompendeza Mungu,
Starehe zote ni ubatili hakuna jipya,niwashukuru wazazi wangu Kwa...