Sasa ni rasmi uhuru wa habari na uandishi wa habari zenye tija umefika tamati. Tajiri na kada maarufu wa CCM, ambaye ni mfuasi wa siasa za mrengo wa kushoto, amelinunua gazeti la Mwananchi. Hapa nchini tulikuwa tumebakiwa na gazeti moja tu linaloandika habari zenye tija. Sasa gazeti hilo...
Wakuu,
Juzi bwana Zungu alitoka povu baada ya ATCL kuchelewesha safari ya Mwanza - Dar bila ya kutoa taarifa, povu lote akalitolea kwenye mitandao ya kijamii. Kumbuka Zungu hakuwa peke yake katika uwanja huo wa ndege, abiria wengine kibao walimshuhudia na alijitahidi kupaza sauti (pamoja na...
Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 nchini Tanzania uliingia kwenye vitabu vya historia si kwa wingi wa Wapiga Kura bali kwa mazingira magumu yaliyozunguka uhuru habari na uhuru wa maoni.
Ibara za 18 na 19 za Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zinatoa uhuru wa wa maoni na habari, lakini...
Ndugu wanasheria wote mlioko humu naomba mnipe muongozo juu ya jambo hili kwani kila kitu kipo wazi toka September jukwaa hili lilifungwa na December hii ilitakiwa lifunguliwe lakini bado.
Sasa kama JamiiForums ilitimiza hukumu na sisi Wanajamiiforums, TCRA haijatimiza wajibu wake hvyo kuna...
Wakuu,
Mpaka sasa motandao ya Youtube, TikTok na Signal imeliwa kichwa, haipatikani mpaka utumie VPN, yote hii ikiwa ni kuzuia wananchi kupata taarifa wakati muhimu kabisa wa uchaguzi ambao wananchi wana haki na wanastahili kupata taarifa kujua kinachoendelea katika siku muhimu inayoenda...
facebook
freedom of expression
instagram
kichwa
maandamano oktoba 2025
maandamano oktoba 29
mitandao
mtandao haupatikani
mtandao kuzimwa kwenye uchaguzi
mtandao kwenye uchaguzi
nayo
signal
telegram
tiktok
uchaguzi 2025
uchaguzi mkuu 2025
uhuruwahabariuhuruwa maoni
whatsapp
youtube
Wakuu,
Watu wanne waliokuwa wanamiliki akaunti za mtandao wa Youtube za Wispoti TV, T.Media Two na Costa Tv wamekamatwa kwa madai ya kuendesha akaunti hizo bila ya kuwa na leseni. Akaunti hizo ni kati ya zile zilikokuwa zikirusha press za Polepole kila alipokuwa akizitoa.
Kumbuka Polepole...
Malalamiko kuhusu uhuru wa vyombo vya habari nchini Tanzania yameongezeka tangu kuanza kwa kampeni za uchaguzi mkuu Agosti 28, 2025. Vyombo vya habari vimekuwa vikikabiliwa na vikwazo vingi, ikiwamo kupewa maonyo, kuamriwa kushusha maudhui yasiyoifurahisha Serikali, na hata kufungiwa.
Mfano...
Suppression of free opinion (media, control, including restriction of social media)...
Ni uonevu wa hali ya juu kwa wananchi ambao ni haki yetu kupata habari lakini mamlaka kwa makusudi na kwa maslahi yao binafsi kufungia na kutoheshimu wananchi wake.
Mnapofungia vyombo vya habari na majukwaa...
Tume ya Afrika kuhusu Haki za Binadamu na Watu (ACHPR), imeeleza wasiwasi wake kwa Tanzania kuhusu kukiuka haki za binadamu, hususani uzimaji wa intaneti wakati wa kuelekea kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 2025.
Azimio kuhusu Hali ya Haki za Binadamu katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania...
Leo asubuhi The Chanzo wameondoa press ya Gwajima YouTube wakiweka wazi kuwa wametakiwa kuondoa story hiyo na TCRA sababu press hiyo imekosa 'Mizania', hawakulance kwenye namba ya watu waliotekwa nchini kwa kwenda kuihoji mamlaka serikali na hivyo kusababisha wananchi kuichukia serikali yake!🤣🤣...
Leo Mei 27, 2025, The Chanzo imepokea wito kutoka kwa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), kuhusu maudhui ya video tuliyochapisha katika chaneli yetu ya Youtube, ambayo ni mkutano na waandishi wa habari mazungumzo aliyoyafanya Askofu Josephat Gwajima, Mbunge wa Kawe (Chama cha Mapinduzi -...
Kipindi Cha Asubuhi, Mazungumzo ya Maudhi: Tunalelewa na Vyombo vya Habari au Tunadhalilishwa?
Je, tumewahi kukaa chini kama taifa na kujiuliza: tunapata nini tunapowasha redio zetu asubuhi? Ni maarifa, ni uelewa, ni mwelekeo wa kujenga taifa au ni mzaha, upuuzi na mazoea ya kihuni...
dhuluma tanzania
elimu kwa umma
hii
kina
kizazi cha sasa
maulid
maulid kitenge
morning show
mustakabali wa taifa
propaganda tanzania
redio
redio tanzania
show
uanahabari
ubadhirifu wa mali ya umma
uelewa wawananchi
uhuruwahabariuhuruwa vyombo vya habari
ujinga
upumbavu
uzembe wa vyombo vya habariwajibu wawaandishi
wananchi
wasafi
wasafi fm
watanzania
wimbi la mazombie
zembwela
[tags] vyombo vya habari
Nimepita kuangalia vichwa vya habari vya leo kuona kama kuna aliyeweka habari ya Gwajiboy Askofu Gwajima kujilipua jana, kama nilivyotarajia hakuna aliyefanya hivyo.
Magazeti yamejaa habari za Rais Samia kuchafuka na wavujisha siri, Fainali ya Simba na Berkene, na tuvitu vitu vingine.
Watu...
Wanabodi
Makala yangu kwenye Gazeti la Mwananchi
https://www.mwananchi.co.tz/mw/kolamu/tumpongeze-rais-samia-sambamba-na-wanahabari-ila-tukaze-uzi-5030938
Tarehe 3 Mei kila mwaka ni Siku ya Kimataifa ya Uhuru wa Vyombo vya Habari, kwa wiki nzima, iliyopita, nimekuwa jijini Arusha kwenye hoteli...
Na: Nihifadhi Abdulla.
Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambayo imeridhia mikataba mbalimbali ya kimataifa na kikanda inayolinda haki ya uhuru wa habari. Hata hivyo, hali halisi inaonesha kuwa utekelezaji wa mikataba hiyo uko mbali na matarajio.
Vikwazo vya kisheria...
Democrasia iliopo Kenya sisi hata robo yake hatutarajii kuifikia , kwa kizazi hiki cha kipumbavu.
Jamaa wako mbali sana kwenye uhuru.
Angalia hii habari na piga picha ndio Bongo hii.
Hii je?
Kenya uhuru wa Habari ni beyond, Tanzania kuna wajinga wanadanganywa kwamba kuna uhuru wa Habari...
Yaani hii imenishangaza kwakweli, inakuaje aachwe aliyetamka halafu lawama liende kwenye gazeti? Yaani ni kama vile hawajamuona Makalla kabisaa kwa kwenda kulishukia gazeti.
Au wanakubali alichokisema Makalla, maana hata kusema wanazua taharuki bado hawajakana alichosema Makalla
Pia soma Pre...
Wakuu,
Unapambana na mtu kama Lissu, si basi utumie akili hata kidogo isionekane ni muvi ya kutengeza? Yaani wote mnachukua habari ile ile, mtu yule yule na vichwa vinafanana:BearLaugh::BearLaugh: CCM ndio mmeishiwa kiasi hiki?
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa...
Mkuu wa Wilaya ya Handeni, Albert Msando, ameagiza Mwandishi wa Habari wa ITV kukamatwa na kuamuru kufutwa kwa kazi zote zilizokuwa zimerekodiwa na Mwandishi huyo ambaye Alikuwa anafuatitilia Sakata la Madereva wa Malori ya mchanga kugoma, kwa kile kinachodaiwa kutozwa ushuru mkubwa na...
Wale wengine walikuwa broadcasted tangu day one ila ilivyofika mkutano wa chadema nafikiri ni chaneli moja ndio tu ilianza nao.
Sijui ni hofu, sijui ni ushabiki wa mmpande moja??
Anyway life goes on!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.