Waja JF
Ukisikia wahuni sio watu. Basi ndio hii. Kundi dogo la watu 14, liliongozana kwenda kwenye ofisi za chama likidai, wakazi wa Bunju. Wanalia sana kwa kuondolewa jina la Diwani Kheri Misinga, jambo ambalo ni la kihuni linatakiwa likemewe, madiwani wengi wastaafu, walikuwa wakiunda magroup...