uhuni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    Ni vema Mahakama na Chama cha Mawakili wamfungie Katuga na genge lake kutoa huduma za Uwakili kutokana na uhuni walioifanyia Mahakama

    Mahakama ina kanuni, taratibu na miongozo katika kuendesha kesi. Na katika taratibu hizo, mawakili wote huhesabika kama ni maafisa wa mahakama wanaotakiwa kuwa mfano katika kuzingatia na kuheshimu taratibu zote za mahakama. Leo mawakili wa Serikali kwenye kesi bandia dhidi ya Lisu, wakili wa...
  2. A

    KERO Mabasi ya Mikoani yameanza kutoza nauli zaidi ya kiwango kilichowekwa. Mamlaka husika fuatilieni

    Sasa kumekuwa na uhuni wa MABASI yote ya MIKOANI kutoza nauli kubwa bila nauli husika kwendana na viwango vya huduma. Basi linatangazwa kama VVIP ila nje ya Bus kuwa jipya na choo ndani hamna jipya zaidi. Viti vimebanana mno wala havipo comfortable. Juzi nimelipia ticket 2 kwaajili ya wazazi...
  3. comrade_kipepe

    Ila ngumi za Tanzania zina uhuni sana

    Wameokota muhindi mla mirungi hata mwili unaonekana kabisa eti ndio main fight, kapigwa ngumi moja tu kalala. Kama kweli Tanzania kuna mabondia leteni mabondia kweli sio kamaa huyu wa pambano la leo ni aibu
  4. Minjingu Jingu

    Hapa nimeshindwa kumwelewa Putin. Inawezekana kuna Uhuni anatufanyia yeye na Marekani

    Yaani badala ya kusema aongeze ulinzi kukilinda kituo yeye anataka aondoe watu wake kipigwe vizuri? Na hiki ndo kituo pekee kilichobaki kinachofanya kazi baada ya vingine kuharibiwa na Mazayuni na Limarekani. Putin anatusaidiaje sisi watu wake huyu Beberu?
  5. passioner255

    Uhuni unaendelea kuruhusiwa Tanzania

    Naona bado mnaendelea kufuga uhuni na wahuni Tanzania bado hamjajifunza ile tarehe 29. Njia pekee ya kuiponya nchi yetu ni kuwamaliza wahuni lakini bado mnaendelea kuwalea.watanzania tumeamka na mkiendelea kuwafumbia macho...
  6. Pakome

    Wazungu mnaowaamini sana uhuni walianza wao, ninyi mmejifunza kwao, msiwape siri za nchi yenu kwasababu watazitumia vibaya

    Kosa kubwa Waafrika wanalofanya ni kuwaamini sana Wazungu kiasi cha kuwapa siri za nchi zao Uhuni walianza Wazungu enzi za Ukoloni, uhuni mlio nao ni mdogo sana mliojifunza kwao huku mkubwa wakibaki nao wao wakiutumia kuiba mali zenu kuwafundisha ufiraji na kuua nchi zenu Jifunzeni kutatua...
  7. M

    CRDB wamerejesha pesa yangu. walimu tuwe makini. Kuna uhuni na ujanja unafanyika

    Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa. Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
  8. Carlos The Jackal

    Mwigulu wacha Porojo na uhuni! Bilion 5 ziingizwe katika akaunti ya MTU bila kujulikana? Kwamba Vyombo (TISS, BoT, FIU etc) ni dhaifu sana?

    Pórojo zenu tumezikataaa. Maandamano yako Palepale !!. Mtajua Watanzania wwanalipwa au vipi
  9. H

    PostGE2025 Kinachoitwa Maridhiano Ni Uhuni wa Watawala na CCM, Maridhiano Yalistahili Kabla ya Uchaguzi

    Mmesikia kelele za watawala, baada ya kupoka madaraka kwa nguvu kupitia uchaguzi bandia, baada ya kuwaua watanzania wengi waliokuwa wakipinga uchaguzi haramu, baada ya kuteka, kuwaua na kuwapoteza watanzania wengi, kwa unafiki mkubwa, sahizi wanaimba maridhiano. Kabla ya uchaguzi, watanzania...
  10. kmbwembwe

    GE2025 Kama ulikuwa hujamuelewa Polepole kuhusu uhuni

    Nyerere alisema mtu yeyote anayetaka kwenda ikulu kwa kutoa pesa anataka kwenda kufanya biashara ikulu. Tuliona Mbowe mwenyekiti wa chadema akiingia ikulu kukutana na rais Samia akiwa mifuko ya gwanda lake la chadema bapa. Kutoka picha zikaonesha mifuko ya gwanda la chadema limetuna. Mara...
  11. Carlos The Jackal

    Msigwa Kwa akili yake anafikiri Uhuni unaendelea Tanzania, Dunia haioni !!

    BALOZI mbalimbali zipo hapa. Majasusi wapo hapa . Kwamba UN kutoa Report juu ya Kinachoendelea Tanzania, Kwa akili ya Msigwa na Genge lake ni kua UN imekaa na kuja na repoti ya Kusadikika !!. Sisi ni sehemu ya Dunia !!.
  12. The Father of All

    Polepole ni mhuni kama wahuni anaowatuhumu uhuni au tunafanyiwa machezo?

    Katika kutaka kujijengea umaarufu nchini, Humphrey Polepole alikuja na dhana ya wahuni. Japo alijitahidi kuifafanua dhana husika, hakufanikiwa. Kinachogomba ni ukweli kuwa wengi wa 'wahuni' anaojitahidi kuwaanika mbele ya umma ni wale wale aliokuwa nao kabla ya kuona kitumbua chake kikiingia...
  13. Carlos The Jackal

    Kushindwa kwa Mawakili wa CCM kujibu hoja za Dkt. Malisa na kukimbilia kuweka mapingamizi dhidi ya Utaratibu ni muendelezo wa Uhuni

    Watanzania walitegemea kuona Hawa Wahuni wakijitutumua kujibu Hoja za Dkt Malissa . Hoja ni Nzito na zamoto , Katika Utawala wa Sheria ulio huru , TUKIO LA SAMIA kujipitisha lingefutiliwa mbali na kuamuriwa Mchakato kuanza Upya. SAmia na CCM yake WAMEONA waje na Mbinu ya Pingamizi dhidi ya...
  14. Captain tesha

    GE2025 Uhuni unaofanywa kwenye kuandikisha watu kwenye madaftari ya wapiga kura

    Hiki ni kile nilichokishuhudia kwa macho yangu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na kilichofanyika kwenye so called kuhuisha/kuandikisha wapiga kura wapya. Ni hivi, Mwitikio wa watanzania wengi kwenye kujiandikisha na kupiga kura kwenye chaguzi hizi za kipuuzi ni mdogo sana na watu wengi...
  15. mgt software

    GE2025 Uhuni uliofanyika kata ya Bunju kumrejesha diwani mstaafu

    Waja JF Ukisikia wahuni sio watu. Basi ndio hii. Kundi dogo la watu 14, liliongozana kwenda kwenye ofisi za chama likidai, wakazi wa Bunju. Wanalia sana kwa kuondolewa jina la Diwani Kheri Misinga, jambo ambalo ni la kihuni linatakiwa likemewe, madiwani wengi wastaafu, walikuwa wakiunda magroup...
  16. The Burning Spear

    GE2025 Hongereni CHADEMA kwa kuukataa huu uhuni wa Tume ya Uchaguzi. Sasa mambo ni hadharani

    Tunaambiwa eti "Watanzania Milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura". Sidhani kama huyu ndugu alitakiwa aoneshe data base ya watu halisi milioni 37.6 waliojiandikisha maana ni uongo Kuna mambo matatu! 1. Kwa mujibu wa sensa ya mwaka 2022, idadi ya raia wa Tanzania ni milioni ambayo...
  17. LESIRIAMU

    Huu ndio Uhuni

    ‼️KIHONGOSI MBONA ANAISHI HOTELINI - KAKABIDHIWA NINI🙄⁉️ Taarifa ya uhakika ni kuwa Kihongosi hadi muda huu anakaa Kibo Palace hotel ambapo kwa siku unalipia dola 200 (takriban sh laki 5 na ushee) kwa ajili ya malazi! Kisa!? Naambiwa Makonda bado yupo anakaa kwenye nyumba ya Mkuu wa Mkoa! Tuache...
  18. Carlos The Jackal

    JWTZ lipewe mradi wa Mabus ya Mwendo Kasi liuendeshe , Likopeshwe MaBus , hapatakua tena na Uhuni kama huo unaoendelea !!.

    Kuna Crisis ya makusudi kabisa inatengenezwa na Wahusika wa Mradi huo wakishirikiana na Wamiliki Binafsi wa Magari watoto Huduma za Usafiri !!. Ila Kukomesha Uhuni huo, ambao ni pamoja na Uharibifu wa Magari Kwa njia za Kihuni , JWTZ lipewe Fursa hiyo!! Naamini kupitia JWTZ Huduma...
  19. Carlos The Jackal

    Wazalendo wasiruhusu kabisa Uhuni wa Dodoma kua Desturi , itaangamiza Taifa , MTU mmoja' anaweza mpitisha Mwanae 2030 kugombea Urais na asihojiwé !!

    Mkutano ulikua wa kumteua Makamo!!. Wahuni na Machawa wakiwa tayari wameshajipanga, Anaibuka MTU ,kama vipi TUMPITISHE hapahapa? Makofi na kelele vikawa vingi. Wakaibuka Machawa na Vilaza na wahuni wengi wengi kufanya Fujo za makofi na vigelegele. Lini Samia alichukua Fomu? Licha ya...
  20. The Palm Beach

    Ni kweli kiapo cha kutunza siri kinakuwekea mpaka kuusema uhuni wa wahuni wanaoichafua nchi

    1. Ni kweli kiapo cha siri kinampiga spana kumwaga Michele kwenye kuku... 2. Kwani akiwapa wasio na viapo hivyo na kuachilia mabomu haya ili nchi ipone, kuna ubaya kisheria wananzengo..? 3. Kwa hali ilivyo sasa, ili kuuponya uhai wa Binti Kiziwi, ni lazima tu wahuni wanataka kuliangamiza taifa...
Back
Top Bottom