uharibifu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Palm Beach

    Rais wa TLS Boniface Mwambukusi: Wametuumiza, Wakaua ndugu zetu na sasa Wanatugombeza na kulazimisha Maridhiano Waliyoyakataa Kabla ya Uharibifu wao!

    Wameteka, wamepoteza, wamejeruhi wameua na hawataki kukiri makosa yao waliyoyafanya kwa uwazi na mchana kweupe kwa kuwa walishatuona sisi sote ni kama mbuzi wao wa kafara.. Na sasa eti wanataka kulazimisha waongoze maridhiano ili tuongezeke na watengeneze mazingira ya kuja kuua wengine...
  2. ELI COHEN

    Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  3. Common Folk

    PostGE2025 Rais Samia: Kilichotokea kilipangwa, lengo lilikuwa kuangusha dola. Yale hayakuwa maandamano bali vurugu za uharibifu

    Akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam Dec 2, 2025 Rais Samia ameeleza kuwa watu walioingia barabarana walikuwa na lengo la kuiondoa dola madarakani na tukio hilo lilikuwa ni la kutengeezwa. Anasisitiza vijana walifanywa makasukua na kuimbishwa kuwa wafanye ili yatokee yaliyotokea Madagascar
  4. D

    Sarakasi za Mwigulu; leo yupo Arusha kukagua “uharibifu”

    Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali. Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike. Pili, tumwone pia...
  5. Pakome

    G Z tafadhali sana harakati sio uharibifu, kama ni Siasa wajikite humo waachane na masuala ya Mali za Wananchi, kwani yatawasababishia kesi ya wizi

    Uharibifu wa Mali na Miundombinu ndio chanzo cha kusababisha mauwaji G Z tafadhali sana Harakati sio Uharibifu kama ni Siasa wajikite humo waachane na maswala ya mali za Wananchi Swala la mali litawapa adhabu na kesi ya Wizi kwani Wananchi wanaishi maisha yakutawaliwa na hasira kali...
  6. Pakome

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania haihofii maandamano bali inahofia uharibifu wa Uhai pamoja na mali za Wananchi wake, uharibifu ambao unafanywa na Wananchi wenye asili ya uhalifu ndani yao Kauli za kwamba Serikali inaogopa maandamano kwasababu itashindwa sio za kweli Bali...
  7. DuaZaMama

    PostGE2025 Video: Yaliyofanyika si maandamano ni uharibifu, jaribio la mapinduzi ni tafsiri ya UGAIDI

    Wakuu nimekutana na andiko hili... Ni nani aliwapa ujasiri wa kuchoma mali za watu wasio na hatia?Ni nani aliwapa moyo mgumu kiasi cha kufunga barabara ambazo hata mgonjwa aliyehangaika na pumzi yake ya mwisho alipitia? 🚑 Mamilioni ya jasho ya mtu mmoja yaligeuzwa majivu ndani ya dakika...
  8. Teslarati

    Kama mnadai kwamba waandamanaji walianza wizi na uharibifu wa mali ndio wakapigwa risasi basi mafisadi wote nao tuwapige risasi hadi kwao

    Kuna mpuuzi mmoja nimekutana nae anasema eti waandamanaji walianza kupigwa risasi sababu ya wizi. Kama ni hivyo basi majizi yote yalioko serikalini nayo yapigwe risasi hadi nyumbani kwao tena mbele ya familia zao. Ukitumia logic hio yaani kama mtu kuharibu mwendokasi kumefanya apigwe risasi je...
  9. stakehigh

    GE2025 Kila mtu anakemea mauaji ila hamna anayekemea uharibifu wa mali

    Hatufurahii kifo lakini hawa vijana wakukemewa pia, uharibu waliofanya ni mkubwa sana
  10. H

    Tusiruhusu Uharibifu, Ukombozi Uanze usiku wa 28 Oktoba

    Siku zote mapambano ya ukombozi huanza usiku wa manane. Na ndiyo maana madikteta yote yakiona mambo yanawaendea vibaya, hatua ya kwanza huwa ni kuwazuia watu kutembea usiku. Uhuru wa Tanganyika ulitangazwa usiku wa tarehe 8 kuamkia tarehe 9 December 1961. Mapinduzi ya Zanzibar yalikamilika...
  11. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Watu wa Neno(Biblia) Hilo chukizo la uharibifu lilonenwa na nabii Danieli ni chukizo la namna gani?

    Danieli 9:27 Naye atafanya agano thabiti na watu wengi kwa muda wa juma moja; na kwa nusu ya juma hiyo ataikomesha sadaka na dhabihu; na mahali pake litasimama chukizo la uharibifu; na hivyo, hata ukomo, na ghadhabu iliyokusudiwa imemwagwa juu yake mwenye kuharibu. Yesu pia alisema kuhusu hilo...
  12. dronedrake

    Ripoti mpya yaweka wazi uharibifu uliofanywa na makombora ya balistiki ya Iran nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion

    Ripoti mpya iliyotolewa na kituo cha televisheni cha Israel Daily hivi karibuni yaweka wazi uharibifu mkubwa nchini Israel kwenye chuo kikuu cha Ben Gurion kutokana na mashambulizi ya makombora ya balistiki ya Iran wakati wa vita vya siku 12 mapema miezi michache iliyo pita Uharibifu huo ni...
  13. KING MIDAS

    Uchawi unapataje nguvu ya kufanya uharibifu?

    Kulingana na mitazamo ya kiutamaduni, kidini, na kiroho (na si kisayansi), uchawi huaminika kupata nguvu kwa njia mbalimbali kama ifuatavyo: 1. Imani na Nia (Intention & Belief) Watu wengi huamini kwamba uchawi hufanya kazi kwa sababu ya nguvu ya nia ya mtu (intention) na imani thabiti. Akili...
  14. R

    DC Makete atoa onyo kwa wananchi kuacha wivu wa Misitu. Asema hasara imefikia Bilioni 80 ndani ya miaka minne

    Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na wakazi wa Bulongwa...
  15. Samia atosha tukutane2030

    Raia yeyote wa Uchina au mgeni angefanya uharibifu kwa watoto wa kichina namna hii hukumu yake ingekuwa kifo .

    Watoto hawana hatia, they are innocent. Wanataka wajaribu kila jambo. Haya madude yanatumia AI , yangiingia kichwani effects zake ni zaidi ya mapepo buku yaliyowaingia nguruwe enzi za Yesu. Nimewaona watu vijana kwa wazee waliochakazwa na haya madude mpaka wakachakaa. Serikali je, Kodi ni muhimu...
  16. M

    Wali bila maharage ni uharibifu wa mchele

    Jionee mwenyewe👇
  17. S

    Kutatua tatizo la ajali nchini kutokana na uharibifu au kufeli breki, LATRA waweke kikomo cha umri wa mabasi na malori kuruhusiwa kuwa barabarani

    Kuna mahali nilisoma kwamba unapoendesha gari yenye umri zaidi ya miaka 15 kwenda safari ya mbali, umri wa hiyo gari unaweza kuchangia wewe kupata ajali. Yaani, kadiri gari ilivyo ya umri mkubwa ndivyo ambavyo ina uwezekano mkubwa wa kupata hitilafu na kusababisha ajali hata vifo. Tanzania ni...
  18. Mkalukungone Mwamba

    Mvua yasababisha uharibifu wa mali Dodoma

    Baadhi ya wakazi wa Dodoma wamepata hasara na usumbufu baada ya mvua kubwa kunyesha kwenye maeneo yao na kisha maji kuingia ndani na kuharibu mali mbalimbali. Soma Pia: TMA yatangaza mvua za siku tatu mfululizo mikoa minane, kuanza leo Disemba 3
  19. Stuxnet

    Kunusuru uharibifu miundombinu ya umma; Serikali isitishe biashara ya chuma chakavu

    BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila siku. Hata hivyo, ninadhani biashara hiyo inapaswa kumulikwa, kwani baadhi ya watu wanaokusanya...
  20. Bazenga01

    Uharibifu wa taa za barabarani (Solar road lights) eneo la Ubungo jirani na linapojengwa soko kubwa la kisasa (EACLC)

    Habari za muda huu wakuu, Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana mlingoti wa taa moja umekatwa na taa kuibiwa. Wakati huo huo kuna mlingoti mwingine upo mbioni kukatwa pia...
Back
Top Bottom