Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo:
1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani?
2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili?
Natanguliza shukrani.