uhamisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO KERO YA Uhamisho kwa Watumishi wa Umma Mkoani Mwanza

    Mimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza. Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika Halmashauri toka mwezi wa 9/2025, lakini mpaka sasa kinaendelea kuzuiliwa na Mkurugenzi. Nimefanya...
  2. Roving Journalist

    Waziri Shemdoe: Marufuku kuhamisha Watumishi wenye changamoto za nidhamu, washughulikwe kinidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu -TAMISEMI, Prof. Riziki Shemdoe, amewaelekeza Makatibu Tawala wa Mikoa na Wakurugenzi wa Halmashauri kutowahamisha au kuwaombea uhamisho watumishi wanaobainika kuwa na changamoto za kinidhamu katika Mamlaka za Mikoa na Serikali za Mitaa, na badala yake...
  3. M

    KERO Maafisa na Askari wa Uhamiaji tunateseka kwa uhamisho bila malipo

    Habari, naomba kuwasilisha kero inayotukabili sisi watumishi wa Idara ya Uhamiaji, tumekuwa tukihamishwa bila malipo hali iniyopelekea kuteseka kukamilisha uhamisho. Tunatambua kuwa sisi ni kada ya Askari lakini haiondoi ukweli kuwa sisi ni binadamu, tuna familia zinatutegemea na ni haki yetu...
  4. A

    KERO Watumishi wa afya Babati tunahamishwa kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho

    Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na hatupewi pesa zetu za uhamisho. Wengine ni miaka sasa ushaomba hupewi wengine wamehamishwa hivi...
  5. Enthusiastic

    KM OWM - TAMISEMI: Kuna shida gani kuruhusu uhamisho wa kufuata Mwenza?

    Kuna ule msemo unaosema "ajira ni utumwa" kuna ukweli katika msemo huu sana sana kwa TAMISEMI na OR-Utumishi. 1. Hawajali kabisa ustawi wa mtumishi. Mtumishi hawezi kuwa na utulivu kazini kama yuko mbali na Mwenza tena kwa kazi yenye mshahara tu bila marupurupu. 2. Kuna kisingizio cha msawazo...
  6. A

    KERO Uhamisho Mkundi Mlimani Sekondari - Morogoro lazima uchangie kiti na meza

    Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei mwanafunzi ambaye anakaa chini. Sasa, je hicho kiti na meza akimaliza kidato cha nne anaondoka nacho...
  7. BigTall

    KERO Watumishi wa Umma wenye mahitaji maalum tunapangiwa sehemu zisizo rafiki, tukiomba uhamisho hatupati

    Kuna changamoto na adha kubwa tunapitia Watumishi wenye mahitaji maalum kwenye suala la uhamisho, tunapangiwa sehemu za kufanya kazi ambazo sio rafiki, hivyo inaathiri utendaji na inapotokea tunafuatilia uhamisho barua zinapokelewa Kama ushahidi TU hazifanyiwi kazi. Mara nyingi tunapofuatilia...
  8. K

    Mkwamo katika kuhusu uhamisho kutoka halmashauri Moja kwenda mkoa mwingine

    Habari za alfajiri hii wana Jf!! Kwanza nipende kupongeza uwepo wa jukwaa hili la hoja mchanganyiko Niende moja kwa moja kwenye mada, Mimi ni mtumishi wa umma idara ya elimu nimejikuta katika mkwamo mkubwa mno na hii ni baada ya kuhamishwa kituo cha awali miezi kadhaa nyuma kwa ukatili mkubwa...
  9. Roving Journalist

    Mbeya DC: Walimu wanaotaka kuhama CWT na chama chochote wafuate taratibu watapewa uhamisho

    Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya (Mbeya DC) imetoa ufafanuzi kuhusu hoja ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuwa Walimu wa Wilaya hiyo wanapata changamoto wanapotaka kuhama kutoka Chama cha Wafanyakazi cha CWT, ambapo Wilaya imetoa maelezo kuhusu kinachotakiwa kufanyika. Awali, Mdau huyo alidai...
  10. Anonymous

    Tangu Mwaka 2017 naishi Mkoa tofauti na mke wangu sababu ya kukosa uhamisho kazini, ndoa yangu ipo shakani

    Ndugu zangu JamiiForums Habari zenu! Nimeona chapisho lenu kuhusu uhamisho, limeniumiza sana ndugu zangu. Kwa nini nimeumia? Napitia changamoto kama hiyo, mimi pia mke wangu ni muajiriwa (Mwalimu), tangu nifunge naye ndoa Mwaka 2017 mpaka leo (Julai 2025) tunakaa mikoa miwili tofauti. Hili...
  11. A

    DOKEZO Tuambiwe, Mwalimu kupata uhamisho ni Sh ngapi ili tulipe. Inachosha kusubiri majibu kutoka TAMISEMI bila maelezo yanayoeleweka

    Kilio kifike kwa Serikali, kuna changamoto kubwa ya uhamisho wa sisi Watumishi katika sekta ya Ualimu, hasa tunaofanya mchakato wa kuhama ili kuwafuata wenza wetu, wapo pia wanaoomba uhamisho kwa sababu nyingine tofauti. Tunaelekezwa kuwa tutumie mfumo wa ESS, wengi wetu tumezingatia hilo...
  12. toriyama

    RAIS afanya uteuzi mpya na uhamisho wa wakuu wa milaya na mikoa 24 june 2025

  13. B

    Uhamisho wa watumishi wa serikali now umekuwa mgumu

    Habari za muda wakuu , poleni na majukumu, Nije kwenye point wakuu ivi nawezaje kuhama kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine ambako ndio home,, coz mm ni Mwalimu nipo MUFINDI IRINGA Kwa muda wa miaka 10+ mara kadhaa nimeangaika na swala la uhamisho Ili niende kwetu maana hapa sina mpango wa...
  14. C

    Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo: 1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani? 2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili? Natanguliza shukrani.
  15. Roving Journalist

    Singida: Halmashauri ya Mkalama yafafanua madai ya baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kuchelewesha vibali vya Uhamisho

    Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuandika Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI Halmashauri imetoa ufafanuzi kuhusu hoja hiyo... TAARIFA KWA UMMA YAH: UFAFANUZI KUHUSU TAARIFA POTOFU INAYOSAMBAA...
  16. A

    KERO Mi ni mfanyakazi katika wilaya ya Nyanghwale - Geita. Nilipata kibali cha uhamisho, mwaka sasa nazungushwa

    Kwanini uhamisho unakuwa kitendawili hivi?. Kama mtu ushatimiwa barua ya kibali cha kuhama toka TAMISEMI baada yakuona unastahili kwanini halmashauri iwe changamoto? Hata barua yenyewe kujua kama ilishatumwa ni baada ya kufuatlia TAMISEMI ndo unaambiwa kibali chako tayari kishatumwa kwa...
  17. K

    DOKEZO Responded Baadhi ya Maafisa Utumishi na Mkurugenzi wanashikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI

    Mimi ni Mtumishi X kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Mkalama Singida, kumekuwa na tatizo la Maafisa Utumishi na Mkurugenzi kushikilia vibali vya Uhamisho vinavyotoka kwa Katibu Mkuu Utumishi au TAMISEMI. Mtumishi akienda kudai wanatoa maneno makali au wakisema kuwa barua hizo bado hazijawafikia...
  18. kituli one

    Kuhusu uhamisho kwa mtumishi wa mkataba

    Ni zipi stahiki anazopaswa kupewa mtumishi wa mkataba wa ajira ya mwaka 1 na ambae amebakiza miezi 3 mkataba wake uishe,pindi anapo hamishwa kutoka kituo chake cha kazi kwenda kituo kingine?
  19. F

    Msaada wa uhamisho wa ajira ya umma

    Wadau, naombeni kufahamu kuhusu uhamisho wa watumishi wa UMMA. Nilipata nafasi kazi Chuo kikuu fulani hapa nchini nikaomba kuhamishia ajira yangu chuoni hapo kupitia ESS kutoka idara ya Elimu(mwalimu). Nilifanya process zote kuanzia chini, tangu tarehe 7/2/2025, kisha ombi langu likapokelewa...
  20. Kijakazi

    Wazungu Christian wa AK kuanza kuhamishiwa USA, Ndege ya kwanza kuanza uhamisho!

    raisi D.Trump kama alivyoahidi ameanza kuhamishia Wazungu ktk AK kwenda moja kwa moja USA ambapo watapewa ukimbizi na citizenship straight a way na kuwa integrated in the amerikan society. sababu kuu ya raisi wa USA kufanya hivyo ni know how na ujuzi ambao hawa Christians ktk AK wanao, kuanzia...
Back
Top Bottom