uhalali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    PostGE2025 Uongozi unaweza kuwa halali Kisheria, lakini ukakosa uhalali wa kijamii

    Historia inaonesha uongozi unaweza kuwa halali Kisheria lakini ukakosa uhalali wa kijamii Takribani miezi minne baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Tanzania inakabiliana na kipimo halisi cha demokrasia yake na uwezo wa upinzani kuwakilisha sauti za wananchi. Kwa mujibu wa utafiti wa...
  2. Erythrocyte

    Uhalali wa Mashahidi wa kificho mashakani

    Kumbe wote walikamatwa Mitaani huku wengine wakitekwa. Wakatishwa n.a. kupewa masharti kwamba wakikubali kuwa Mashahidi wa kumkandamiza Lissu watakuwa salama Taarifa zingine zinaeleza kwamba wamo waliokamatwa kwa Ujambazi n.a. Ubakaji lakini Baada ya kukubali Sharit Hilo la kikatili kesi zako...
  3. Allen Kilewella

    Kwanini waislamu wanapingana kuhusu uhalali wa Hadithi?

    Kwa Sasa kwenye mitandao ya kijamii duniani kote, kuna mabishano makubwa sana juu ya uhalali wa kutumia Hadithi kuuhimilisha Uislamu. Lipo kundi linalosema kuwa Hadithi zimejaza tamaduni za Uarabuni na kuacha misingi ya dini ya kiislamu inayotokana na Quran. Lakini kundi linalounga mkono...
  4. Chibike

    Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili

    Uanaharakati usioheshimu imani hupoteza uhalali wa kimaadili. Kulenga Wakristo wakati wa Krismasi si mageuzi bali ni uchokozi. Watanzania wamesimama imara kulinda umoja, utu na kuishi pamoja kwa amani. #ChristmasWithoutViolence Tuheshimu Imani Za Wengine Christmas hii tamu, watu wako na...
  5. R

    PostGE2025 Mchange: Uhalali wa uchaguzi sio lazima CHADEMA washiriki

    Kada wa CCM, Mchange Habib Mchange amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kutoshiriki uchaguzi si kigezo cha uchaguzi kutokuwa halali
  6. Genius Man

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.

    Ndugu zangu waislam bwana yesu asifiwe hawa polisi wauwaji wa halaiki sisi tutawawajibisha kwa mauwaji waliyo yatekeleza hiyo #D9 tupo nao sana.
  7. Mlalamikaji daily

    Kwamba maandamano yatakuwa ya amani Serikali haiwezi kukubali..lazima ichomeke wafanya vurugu ili ipate uhalali wa kuyatawanya

    Naona wengi wanasema eti yatakuwa ya Amani kwamba watashika mabango na kutembea tuuu mpaka ikulu bila kugusa mali ya mtu!! Aiseee.. Kwanza tuelewe : maandamano ya amani nchi hii yanayokubalika labda yawe kwa ajili ya kumpongeza mama! Mfano ile kampeni ya mama asemewe! Kinyume na hapo hakuna...
  8. Doctor Mama Amon

    Tahakiki: Hotuba ya Kapteni Tesha inataja sababu, uwezo na nia ya kuiangusha serikali ya kiraia iliyopoteza uhalali wa kikatiba

    https://youtu.be/H1nHdmCnduI Video iliyosambaa mitandaoni ikumuonesha mwanajeshi aliejitambulisha kama Kapteni John Charles Tesha kutoka kikosi cha anga cha JWTZ, akihamasisha jeshi hilo kuchukua udhibiti wa nchi, huku akidai kuwa nchi inakoelekea ni kubaya. Utangulizi Jumamosi ya tarehe 4...
  9. Lord Denning

    Inakuja siku ambayo Uhalali wa Mtu kukubaliwa kisiasa itakuwa kama aliwahi kusimama kuitetea Chadema au Viongozi wake

    Hakuna kidumucho milele Huu ni ukweli mchungu na mzito ambao inawezekana kuna binadamu wengi hawapendi kuusikia. Huko nyuma ziliwahi tokea tawala za Kirumi, Ottoman, Persia, Nazi na nyinginezo nyingi. Yamewahi kuiongoza dunia hasa kijeshi au kibiashara mataifa ya Uingereza, Italia, Hispania...
  10. Kalamu Nzito

    Mafundisho Ya Kikristo Yasio na Uhalali Kibiblia

    Kuna baadhi ya mafundisho yanaenea katika Ukristo ambayo hayana msingi wowote kwenye Biblia 1. KUAMURU MALAIKA (COMMANDING THE ANGELS) Kuna baadhi ya watumishi wanafundisha waumini kuamuru Malaika kufanya mambo fulani. Jambo hili ni kinyume kabisa na maandiko kwani Malaika ni watumishi wa...
  11. Mwande na Mndewa

    Kwa kashfa za Ndugu Polepole, Kikwete ameshakosa uhalali wa kushauri Taifa?

    Kwa kauli ya Ndugu Polepole,kwamba Kikwete ni mmoja wa kundi la wana mtandao wanaokwamisha Taifa na Chama Cha Mapinduzi,je Kikwete anao uhalali tena wa kushauri Taifa? Au wenye uhalali abakie Mzee Warioba na Mzee Butiku!?
  12. J

    Uhalali wa Baraza la Mawaziri baada ya Bunge kuvunjwa ukoje?

    Naombeni kujua mwenye ufahamu atufahamishe inakuwaje hawa mawaziri wa Rais Samia mpaka sasa wako Ofisini wakati Bunge limeshavunjwa. Inavyoeleweka kikatiba Waziri hutokana na Mbunge, Mbunge anapo poteza haki ya kuwa Mbunge automatically anapoteza hadhi ya kuwa Waziri. Na iko wazi ki Katiba...
  13. Mzee Mwanakijiji

    GE2025 Bila Tundu Lissu Kuachiliwa na CHADEMA Kuruhusiwa, uhalali wa Rais Samia Suluhu utahojiwa

    Na. M. M. Mwanakijiji Ni kweli. Rais Samia anaweza kushinda Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 tena kwa kishindo kweli kweli. Ni kweli. Mamilioni ya wanachama, mashabikiki na wapenzi wa Chama cha Mapinduzi wataenda kutiki kwenye sanduku la kura na kumpa kura Rais na kuandika historia ya...
  14. McLaren

    GE2025 Polepole amjibu Rostam: Ulitaka nikae muda gani CCM ili ndio niwe na uhalali wa kuongea?

    Wakuu, Baada ya kuambiwa kuwa hana uhalali wa kuzungumzia masuala ya CCM maana hana muda mrefu katika chama hicho, Pole pole leo amejotokeza kuhoji kuwa walitaka akae muda gani katika chama hicho ili ndio aweze kukosoa Polepole anasema kuwa kuna wanataka wambague kwa sababu ya hoja ya kutokaa...
  15. Prof_Adventure_guide

    Uhalali wa Mauaji: Je, Tunaongozwa na Waliokosa Amani ya Nafsi?

    Katika nyakati za giza la kiutawala, ambapo siasa imegeuka kuwa uwanja wa majeraha ya nafsi na miili ya raia, tunalazimika kuuliza kwa sauti ya juu: Ni kwa kiasi gani utu wetu unadhalilishwa kwa kisingizio cha uongozi? Utekaji wa watu wasio na hatia, kuuawa kwa siri, na kutoweka kwa sauti za...
  16. Prof_Adventure_guide

    Wapagazi wa Kilimanjaro: Uhalali wa Manyanyaso au Uvunjifu wa Sheria? KIPAP, TANAPA na Wizara, Keleleni Kwenye Ukimya Wenu wa Aibu!

    Ni wakati sasa wa kuweka wazi na kwa lugha ya kisheria dhuluma inayofanywa kwa wapagazi (porters) wa Mlima Kilimanjaro. Hili si jambo la hisia tu, ni jambo la haki, ni jambo la sheria. Na ni jambo ambalo ukimya wa serikali, taasisi husika na wadau wakuu wa sekta ya utalii hauwezi tena...
  17. chiembe

    Mchome: Boniphace Jacob ndiye alinishawishi, akanipa ushahidi na nikaandika kwa Msajili wa vyama kuhusu akidi na uhalali wa Baraza Kuu CHADEMA

    Kuna kitu hakiko sawa ndani ya CHADEMA, waliomo ndani ya Chama wamekaa kimtego. Mchome ambaye aliandika barua kwenda kwa Msajili wa vyama, amedai Boni Yai ndiye alimshawishi, akampa ushahidi, na pia waliandika barua ambayo imekuwa mwiba kwa chadema. Mchome anadai Boni Yai ndiye alikuwa ana...
  18. W

    Polepole: Msaliti ni yule anayevunja utaratibu na kujipatia yeye uhalali ubinafsi

    Humphrey Polepole amewajibu wanaomuita kuwa yeye ni msaliti kwa kuhoji kati ya yeye na yule anayevunja desturi na utaratibu ili kujipatia uhalali binafsi.
  19. J

    Je Kuna Uhalali wowote Kusalia Mbele ya Nyumba ya Ibada ya Dini Nyingine?

    Hicho ndicho kilichotokea wakati wa Eid Al Adha huko Montreal Canada. https://x.com/realMaalouf/status/1932453119792685440 Na bado Waziri Mkuu wa Canada katika salamu zake za Eid, alimwaga sifa kemkem kwa Waislamu. Swali jingine mtu anajiuliza je this love affair baina ya viongozi wa kisiasa wa...
  20. DELETED ACCOUNT

    Kutokuwemo mashabiki hakuondoi uhalali wa mechi

    Katika kanuni za TFF, CAF na hadi FIFA, hakuna kipengele kinachosema kuwa mechi inakamilika iwapo tu kutakuwa na mashabiki jukwaani. Hizi nguvu mnazotumia kusema eti mechi isitangazwe, tiketi zisiuzwe, nk. hazina maana yoyote ile katika taratibu za mechi. Kwanza mkumbuke tiketi za 08/03 bado...
Back
Top Bottom