Hakuna economic measures ambazo zinawekwa kumsaida mtanzania kupata kipato kibachoweza kumsaidia kupata mlo kamili.
Mikakati iliyopo ni kusaidia vijana watengeneza maudhui mitandaoni kuwa ndio sera kuu kuikoa CCM ipendwe.
Wabeba Zege, wakulima wa Pamba? walima vitunguu
huko vijijini?
Leo hii...
Hali ya maisha ya viongozi wa kuu wa chadema taifa ni mbaya, inatia huruma na kusikitisha sana. Ni kama vile wametelekezwa, wanapitia maisha magumu na ya fedhea sana kutokana na ukata wa fedha unaokikumba chama hicho kwa sasa.
Ikumbukwe kwamba wengi wa viongozi wa kitaifa wa chadema hawana...
Habari;
Mimi ni askari wa hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) ninayefanya kazi katika hifadhi ya Taifa Nyerere. Kwa kipindi kilefu askari wa hifadhi tumekuwa tukipitia ugumu wa maisha kutokana na kadhaa kama ifuatavyo
I) kutokulipwa staiki zetu Kwa Wakati, lakin pia Malipo ya staiki mbali...
Anonymous
Thread
askari
askari wa hifadhi
fanya
habari
hifadhi
hifadhi ya taifa
hifadhi za taifa
katika
kazi
maisha
mimi
nyerere
posho
taifa
ugumuugumuwamaisha
Kipindi tuko watoto ukienda kumtembelea mjomba, shangazi, bibi na babu n.k
Utachinjiwa jogoo au mbuzi na hapo utaenjoy kama ni kijijini basi maziwa na nyama, samaki na ugali mkubwa Kisha mnashushia wali kwa kwenda mbele, kama ni mjini utakula pilau nyama na soda au juice safi ya matunda.
Na...
Ikiwa leo ni Siku ya Afya ya Akili Duniani, Msaikolojia Tiba wa Hospitali ya Taifa ya Afya ya Akili Mirembe, Arafa Ali Arajiga, amesema ugumu wa maisha ni miongoni mwa sababu kuu zinazochangia ongezeko la changamoto za afya ya akili, hususan kwa watu wenye umri wa kati ya miaka 20 hadi 50...
Salum Mwalimu: Vijana wanashindwa kwenda kupiga kura kwa sababu ya ugumu wa maisha, huu ni mwaka wetu tujitokeze kupiga kura ya ukombozi."
Ameyasema hayo akiwa kwenye mwendelezo wa kampeni za kuomba ridhaa ya kuaminiwa kuwa rais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu mwezi huu.
Pia Soma:
Salum...
Leo siwapi kila kitu ila nitaendelea kutoa kila nikipata muda
1. Zinaa ( kula/ kuliwa mzigo) ni chanzo no1 kinachokwamisha harakati zako. Kubali, kataa, pinga au andamana ila huo ndio ukweli. Zile hisia za kujilaumu unazozipata baada ya kufanya ngono ni Taarifa ya kukuonesha kuwa kuna kitu cha...
Huenda uchangiaji pesa wa tone tone kwenye kibakuli ukahamia kwenye nyumba za ibada, baada ya uchangiaji wa tone tone kidigitali na kwenye mikutano ya hadhara kukauka na wanachadema kugoma kuchangia matapeli.
Je, unadhani mpango huo wa kuomba omba kuchangiwa pesa za kujikimu Ibadani...
Ieleweke hivyo.
Kutafuta visingizio eti kwa sababu ya ugumu wa maisha nikajikuta nimekuwa jambazi au Malaya hiyo ni tabia yako tu hata ungekuwa na hela tamaa ya wizi isingekutoka.
Mifano ni mingi sana watoto wakike wengi wamezalishwa ovyo kwa tamaa ya kuwa na I phone au simu kali kali siyo...
Katika mazingira ya sasa ambapo maisha ni magumu mno kwa vijana na wananchi wa kawaida mitaani, hali ya kushikilia madaraka au nafasi yoyote yenye fursa imekuwa ya kawaida. Watu wanapambana si kwa sababu wana uchu pekee, bali pia kwa sababu nchi imetengeneza mazingira ya ‘kila mtu abebe chake’...
"Ulishawahi kujiuliza kwa nini wengi wanaofanikiwa kimaisha au kuwa viongozi hutokea maisha duni? Ni kwa sababu mateso huwafundisha kusimama bila kuegemea, kuvumilia bila kulalamika, na kutamani mafanikio kuliko usingizi."— Alloyce, P.R.
Tuweke mjadala mpana zaidi hapa najua kuwa baadhi tunaweza kudokeza kuwa sera,mitazamo,mazingira,utamaduni na mengineyo kuwa ni tatizo,lakini upande wa serikali huwenda ikamuona mwananchi ndiyo tatizo sababu haoni fursa zinazoifungua nchi yake.
Hivi kwa mitazami yetu kama wanajamii foroum,ni...
Vijana hawajali tena maana njaa sasa imewafika pabaya.
Zamani vitu kama hivi viliuzwa kwa usiri na ukimya ila sasa hivi vijana wakiangalia tabu hii ukiunganisha na stress walizonazo wanaona acha niropoke tu hata kama nisiporopoka njaa haiwezi badirika.
MAPAMBANO YAENDELEE
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, Wakili Deogratias Mahinyila akiwahutubia wananchi wa Mpwapwa mkoani Dodoma amemvaa vikali Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Wasira na kudai kuwa Serikali ya CCM imetengeneza ugumu wa maisha
Asilimia kubwa sana ya Watu wana MAISHA MAGUMU
Asilimia kubwa ya vijana hawana AJIRA
Lazima CCM watashindwa au kuwa wa mwisho au kushika Mkia
Je, CCM watapata kura wapi wakati asilimia kubwa ya watu wana hali ngumu?
Kum 28:12: Atakufunulia BWANA hazina yake nzuri, nayo ni mbingu, kwa kutoa mvua ya nchi yako kwa wakati wake, na kwa kubarikia kazi yote ya mkono wako; nawe utakopesha mataifa mengi, wala hutakopa wewe.
Jana nilikuwa nimevaa Kofia (bagharashia) pamoja na kanzu.
Ila Malaya wanaojiuza waliponiona nimepita Buguruni usiku saanane waliniita ili nikawaungishe.
Ebu fikiria huu ni ujasiri wa aina gani?. Peoples are broke
Mtu ambaye hana changamoto za maisha hawezi kwenda kujiuza Buguruni hadi...
Mada hii natoa angalizo Kwa watu hawa , haiwahusu.
👇🏾
Atheists
God non believers
And religionist.
Ipo hivi kuna njia Mbali mbali za kujifungua KIROHO dhidi ya madhabau za KICHAWI ambazo zilikaa na kukunenea laana katika MAISHA yako.
Madhabau zote za kichawi ili zikupate huwa wanacheza...
Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika, ametoa wito kwa Wawakilishi wa Asasi za Kiraia (AZAKI) pamoja na Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) kuzingatia suala la kupanda kwa gharama za maisha. Mnyika amesema hali hiyo ni sehemu ya athari mbaya za kiuchumi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.