Moshi. Kama unadhani tatizo la ugumba ni la wanawake zaidi unajidanganya, kwani kliniki iliyoanzishwa na Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini ya KCMC, sasa inapokea wagonjwa kati ya 25 hadi 30 kwa wiki, wakiwamo wanaume.
Dk Thomas Kakumbi, ambaye ni mkuu wa kitengo maalumu...