Habari zenu wakuu,
samahani,
Nina shida Moja hivi ambayo nimeshindwa kumpata mtaalam husika, hivyo nimeona Bora niilete kwenu ndugu zangu eidha mnipe muongozo au mniunganishe na mtaalam husika Kwa msaada zaidi.
Nina tatizo nahisi katika mfumo wangu wa Faham kama sikosei, au ugonjwa wa akili...