ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tito Magoti: John Heche anashikiliwa na Polisi Osterbay anahojiwa kwa UGAIDI

    Bado tunaomboleza. Na tunatafuta miili ya ndugu zetu waliouwawa kwa risasi. Illegitimate President yuko ofisini siku ya pili. Hajajutia mauwaji aliyoyafanya. Wala kuomba msamaha. Au kuwafariji wafiwa na Taifa. Ameona ampe kesi ya UGAIDI John Heche. Heche ameshikiliwa kwa siku 11 kwa tuhuma za...
  2. JamiiForums Tanzania MAONO: Mauaji ya viongozi na ugaidi kushamiri nchi moja Afrika mashariki 2025-2030 kama kisasi kutoka kwa raia

    kuna scenario 3 endapo protest haitafanikiwa 1.Mauaji ya polisi kushika kasi 2.Mauaji ya viongozi wa chini wa chama tawala wenye viti wa mtaa na wajumbe 3.Matukio ya kigaidi kuihujumu serikali Kwenye Scenerio ya 1&2, kawaida human nature ya binadamu, akishindwa ku-attack wale wanaoonekana ni...
  3. JamiiForums Tanzania Uthibiti wa Matumizi ya Mapanga/Machetes Nchini Tanzania

    ulinzi ni jukumu la kila raia , sasa tukiweka ulinzi tu kwa viongozi pekee tukawaachia raia mzigo mkubwa wa ulinzi wao. itakuja kuwa backfire vibaya sana. sio salama sana viongozi kuzungwa na watu wengi wa hovyo(wasio fuata taratibu na sheria/( kujichukulia sheria mkononi)). ili jamii nzima...
  4. JamiiForums Tanzania Uholanzi yaungana na Marekani kukipa hadhi ya ugaidi kikundi cha ANTIFA

    ANTIFA ni muunganiko wa vikundi vy kikomonisti, vikundi vya mashoga, vikundi vya itikadi kali, etc katika itikadi moja ya kupingana na mrengwa wa kulia kwa kutumia vurugu, mauaji na uharibifu. Soma pia...
  5. JamiiForums Tanzania Pakistan: Hatuwezi kukubali ghilba kutoka kwa dola mbovu la Israel isiyowajibika, kwa hakika muasisi wa aina ya ugaidi

    Wanaukumbi. Israel na Pakistan 🇵🇰 zilichuana vikali katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa baada ya Israel kuitaja Pakistan mara kwa mara kwa jina: Pakistan inaishutumu Israel, inasema ni "mkaaji anayejifanya kuwa mwathirika, anayekiuka maazimio ya Umoja wa Mataifa na kufanya ugaidi wa...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ugaidi umepungua duniani, nini kimefanyika kuudhiibiti

    matukio ya kigaidi yako kidogo sana tena sana. Suicide bombers, kuteka ndege na vitu kama hivyo vimeisha kama siyo kupungua sana. Nini kimefanyika?
  7. JamiiForums Tanzania Marwan Barghouti anayetumikia kifungo kwa Ugaidi anatarajiwa kuwa kiongozi wa Wapalestina baada Magaidi wa Hamas kufurushwa Gaza

    Waziri wa Usalama wa Taifa Itamar Ben Gvir ametembelea gereza la mfungwa mashuhuri wa ugaidi wa Kipalestina Marwan Barghouti na kutoa tishio, picha zilizochapishwa kwenye mitandao ya kijamii, na kuibua hasira kutoka kwa Mamlaka ya Palestina. Barghouti, 66, ambaye amekuwa jela tangu 2004 baada...
  8. JamiiForums Tanzania Ulanguzi wa Silaha: Serkali ya Marekani imemfungulia kesi Mtanzania Subiro Osmand Mwapinga kwa ulanguzi wa silaha kwa makundi ya ugaidi na uasi dunia

    BBC News, Swahili Ruka hadi maelezo Yaliyomo HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio Moja kwa moja, Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio lililoelekezwa Gaza Shirika hilo la habari lashutumu vikali ''ushambulizi dhidi ya uhuru wa vyombi vya...
  9. JamiiForums Tanzania JF STORY TIME: Ugaidi katika Westgate; Moja ya Siku ya Giza zaidi jijini Nairobi

    Jumamosi yenye shughuli nyingi, Septemba 21, 2013, Mall ya Westgate lilikuwa imeshamili wanunuzi, familia, marafiki, na wafanyakazi. Majira ya saa 12:30 jioni, watu wanne wenye silaha waliojifunika nyuso zao kutoka kwa kundi la wanamgambo wa Kisomali al-Shabaab walivamia jumba hilo la maduka...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Wapalestina Wawataka Hamas Kusalimisha Silaha. Wasema Hawaungi Mkono Ugaidi

    Utawala wa Wapalestina, mjini Ramallah, umesema kuwa wao ndio mamlaka halali ya utawala wa eneo lote la Wapalestina, na kwamba Kundi la kigaidi la Hamas, lisalimishe silaha zake kwa utawala halali, na wasijihusishe na chochote kwenye utawala wa wapalestina. Waziri mkuu. Mohammad Mustafa ...
  11. JamiiForums Tanzania Mwanaharakati Boniface Mwangi aondolewa mashitaka ya ugaidi, sasa akabiliwa na kosa la kumiliki risasi kinyume cha sheria

    Idara ya Upelelezi wa Jinai (DCI) nchini Kenya imeondoa mashitaka ya ugaidi dhidi ya Mwanaharakati Boniface Mwangi, ambaye sasa anakabiliwa na mashitaka ya kumiliki risasi kinyume cha sheria. Mwangi, ambaye ameachiwa kwa dhamana, awali alishtakiwa kwa kusaidia shughuli za kigaidi kufuatia...
  12. JamiiForums Tanzania FBI walivyobaini utapeli na ugaidi wa Nabii Rashnishi toka India

    Hiki Ni kisa Cha kweli kabisa , kilichotokea nchini marekani kati ya mwaka 1981 Hadi 2009, ambapo Nabii MILLIONEA aliekua akifanya miujiza ya ajabu na mikubwa Sana kimataifa na Kujaza majukwaa mbalimbali ya mahubiri , alistukiwa na FBI Kua ni tapeli, Hasa pale alipojikuta anavuka mipaka na...
  13. JamiiForums Tanzania Historia ya Ugaidi

    Kwanza kabisa inabidi tukumbushane Msemo mmoja; One man's Terrorist is another man's Freedom Fighter" Kwa muktadha huo tunaweza kusema huenda ugaidi ulianza tangia enzi na enzi, ikiwa tu mtu anatumia vitisho ili kupata anachokitaka, bila kujali kama anachokitaka ni Haki yake... Ugaidi umekuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Alichofanya Abacha kwa Ken Saro Wiwa ndicho anachofanya Samia kwa Tundu Lissu. Wanigeria waliona sawa enzi zile leo ni kitovu cha Ugaidi na Ufisadi.

    Hakuna jipya chini ya jua. Huu ni msemo maarufu sana unaomaanisha hakuna kitu kinachofanyika leo duniani kwenye maisha ya kawaida ya binadamu ambacho ni kipya. Miaka ya 1990- 1997 nchini Nigeria alitokea Dikteta maarufu sana Duniani aliyejulikana kama Generali Sani Abacha. Kiongozi huyu wa...
  15. JamiiForums Tanzania Utekaji Tanzania: Je Ni Ugaidi au Udikteta?

    Kwa kuwa polisi hawahusiki, maoni yangu Utekaji huu ni Ugaidi. Wenzangu mnasemaje? Kitengo cha kupambana na Ugaidi kimekwama?
  16. JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba Freeman Mbowe alikaa gerezani wakati wa ile kesi yake ya ugaidi?

    Nimeanza kupata mashaka sana na sarakasi za huyu 'mpambanaji'. Alikuwa anapambania tumbo lake. Ni kweli alikaa gerezani kipindi kile?
  17. JamiiForums Tanzania Wafadhili wakuu wa Ugaidi duniani Qatar watoa salamu za pole kwa Taifa la Israel baada ya wafanyakazi wake kuuliwa kwa Ugaidi wa Kipalestina nchin USA

    Qatar condemns killing of Israeli embassy staffers in Washington Qatar Munafiq, mfadhri mkuu wa magaidi duniani ambaye pia ni ndumilakuwili chui mwenye ngozi ya kondoo, inalaani mauaji ya wafanyakazi wawili wa ubalozi wa Israel mjini Washington - ambayo yalifanywa na mtu mwenye silaha ambaye...
  18. JamiiForums Tanzania Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha Ugaidi cha Hamas ameangamizwa!!

    Ameangamizwa ❌ Shambulio la anga la Israel usiku wa kuamkia leo limemwangamiza Kanali Hassan al-Qudra, ambaye aliongoza kitengo cha "ANTI-TERROR" cha Wizara ya Mambo ya Ndani ya Hamas, alipokuwa amelala kwenye hema lake.
  19. JamiiForums Tanzania Je Kupotea kwa watu tanzania ni Ugaidi au siyo Ugaidi??

    Kama watu wanapotea bila kujua wapi wanaelekea je huo ni ugaidi au siyo ugaidi?Je Ugaidi ni upi?Tuambiane kuhusu neno Ugaidi.
  20. JamiiForums Tanzania Mpiganaji wa Hamas afariki na mwingine akamatwa baada ya kuviziwa wakisafirisha silaha

    Maafisa wa polisi wa kitengo cha wasomi cha Gideons cha Lahav 433, chini ya uongozi wa Shabak, walimkamata mpiganaji wa Jihadi aliyekuwa na silaha nzito huko Qalqilya ambaye alikuwa akielekea kutekeleza shambulio kubwa la kigaidi. Bunduki tatu za M-16 zilipatikana kwenye gari lake. Magaidi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…