ugaidi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Mzani wa Sheria: Dkt. Kaijage (UDOM) Gerezani kwa Ugaidi, Sheikh Mwaipopo Huru Pamoja na Vikosi vya "Mbwa Mwitu"?

    Habari za majukumu wana-JF (JamiiForums), Heshima kwenu wakuu wote wa jukwaa hili adimu na huru la kutoa maoni. Natumai mko salama na mnaendelea kujenga taifa. Leo nimeona nije hapa jukwaani tushirikishane mawazo na kufanya uchambuzi wa kina kuhusu mwelekeo wa sasa wa utoaji haki na usawa wa...
  2. JamiiForums Tanzania Wahadhiri 100 kuchanga sh laki tano pekee kwa Mhadhiri wa UDOM anae shitakiwa kwa ugaidi. Je huu ndio ujumbe wanao upeleka kwa serikali ya Samia? 👇👇

    Picha lina anza mhadhiri wa UDOM anakamatwa na vyombo vya dola kisha kushtakiwa kwa kosa la ugaidi. Je huyo mhadhiri ametenda kosa la ugaidi? Mimi sio mwanasheria ila najua kuwa this case is Res Sub Judice, and therefore very little to comment about that. Hukumu ya Mahakama ndio itakayo tupa...
  3. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani nchini Israel alaani vikali UGAIDI wanaofanyiwa wapalestina huko West Bank.

    Balozi wa Marekani nchini Israel, Mike Huckabee, amewalaani walowezi wanaowashikilia familia tatu katika kijiji cha Qusra kinachokaliwa kwa mabavu, karibu na Nablus, kama "magaidi wa Israeli". Kuzingirwa huku kunakuja huku jeshi la Israel likifanya uvamizi huko Jenin, na kuzuia upatikanaji wa...
  4. JamiiForums Tanzania Jaji Warioba: Nashangaa kuona watu wanakamatwa na polisi, wanapelekwa mahakamani kwa shitaka ya ugaidi

    Waziri Mkuu na Jaji mstaafu, Joseph Sinde Warioba, ameelezea kushangazwa na kuumizwa na wimbi jipya la ukamataji wa raia, wakiwemo wasomi, ambao wengine hufunguliwa mashtaka ya ugaidi mara tu wanapopata dhamana katika makosa ya awali. Akizungumza katika mahojiano maalumu na tovuti ya The...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali inekana inautamani sana ugaidi maana sio kwa kesi hizi wanazo tupiwa hawa watu wawatu ambao hawajui hata majina ya bunduki.

    Serikali imeona njia pekee ya kupambana na upinzani ni kuwapa lesi za ugaidi na uhaini nadhani wana hamu sana na ugaidi wenyewe na inaonekana wanautamani sana
  6. JamiiForums Tanzania WAKILI MAARUFU MADELEKA KUPEWA KESI YA UGAIDI ?

    Kwa kile kinacho onekana kuendelea kukomoa raia yeyote anae enda kinyuma na usawa na haki , Mhimili wa Dola , Mahakama na Polisi wameamua kufungulia kesi za Ugaidi wote watakaoisema serikali ya Samia vibaya. Huku Jeshi la Polisi likiwa kinara kupin point anaefuata wa kupewa kesi ya Ugaidi jambo...
  7. JamiiForums Tanzania Katibu UDASA: Dkt. Kaijage aliniambia Mkipata nafasi msaidieni mke wangu

    Katibu Mkuu wa UDASA, Dk. Dominicus Makukula, amesema wakati alipomtembelea Dk. Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) anayekabiliwa na kesi ya ugaidi, alitoa ujumbe mmoja muhimu. Kwa mujibu wa Dk. Makukula, Dk. Kaijage alisema: “Mkipata nafasi, msaidieni mke wangu.”...
  8. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti Jimbo la Geita (CHADEMA)abadilishiwa mashitaka na kusomewa shitaka la ugaidi. Awali alishitakiwa kwa njama za kuua askari

    Ugaidi huu wa Tanzania ni tofauti na ule aliokuwa anaufanya Osama bin Laden?👇
  9. M

    JamiiForums Tanzania Madeleka: Ugaidi ni makosa yanayotumiwa kuwaumiza watu

    "Mimi pia maneno yale, nilikuwa wakili wa kwanza kufanya kesi ya ugaidi mahakamani kuwatetea watu, mashehe wa Arusha, waliokaa gerezani kwa miaka tisa. Halafu baadaye mahakama ikathibitisha haukuwa ugaidi. Kwa hiyo haya ni makosa ambayo yanatumiwa kuwaumiza watu, na sijui kwa faida ya nani kwa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Je, matukio yanayofanywa na genge la wasiojulikana ni Ugaidi? Nini tofauti ya wasiojulikana na magaidi wa Mkiru?

    ..kuliita genge hili " wasiojulikana, " badala ya magaidi, sio kumung'unya maneno ndugu zangu? ..matendo yao ya kuteka, kutesa, kujeruhi, na kuuwa, yana tofauti gani na matendo ya magaidi wa Mkiru? ..kama wanaharakati wananasibishwa na magaidi, kuna uhalali gani kutowanasibisha wasiojulikana...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Matata aibua mazito kuhusu kesi za ugaidi, na pia awavaa WanaCHADEMA feki wanaotaka Heche atoke

    https://www.youtube.com/watch?v=SdNOaquuJ-c
  12. JamiiForums Tanzania Ugaidi Arusha: Shekhe Lema ahakumiwa kifo na Mahakama ya kanda Arusha

    Sheikh Lema ahukumiwa kunyongwa☝️ Ajumuishwa na Mashekh wengine watano Ameandika...Bakari Mwakangwale SHEIKH Jafari Lema ambaye alikuwa Imam wa Masjid Quba Jijini Arusha, na wenzake watano, wamehukumiwa kunyongwa hadi kufa na Mahakama ya Rufaa Arusha. Mahakama imetoa hukumu hiyo Jumatatu ya...
  13. JamiiForums Tanzania Tumia Email Hii Kuwajulisha CAF kuhusu tishio la Ugaidi Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, kutokana na magaidi kadhaa ya CHADEMA kuendelea kukamatwa, nivema tuwajulishe CAF kuwa Tanzania si nchi salama tena kwa maandalizi ya AFCON. Magaidi ya CHADEMA yanaweza kulipua timu zitakazokuja na wageni wengine waalikwa. Tumia Email hii kuwaandikia CAF, attach...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni upuuzi na ujinga kuwa taifa ambalo linawasomi ambao hawawezi kuzungumzia academic issues kisa wanaogopa kutekwa na kushitakiwa kwa ugaidi

    Prof Issa Shivji ameandika makala muhimu sana ambayo kwangu mimi ninaiona kama ni Lecture kwa wanafunzi wa sheria. Amezungumzia masuala ya msingi sana namna mtu anavyopaswa kukamatwa kushitakiwa na hata kushitakiwa mahakamani. Makala ina kichwa cha habari terrorising academic in Tanzania. Ni...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Kinachofanyika sasa hivi ni kwamba ili tuwe na maridhiano lazima tuwe na ugaidi wa kisiasa

    Akizungumza katika mahojiano na Crown Media Julai 30, 2029, Wakili Peter Madelekea amedai kuwa nchini kuna aina ya "ugaidi wa kisiasa" ambao unatumika kimkakati ili kutengeneza mazingira ya kulazimisha maridhiano ya kisiasa. Madelekea ametolea mfano Mwenyekiti wa zamani wa CHADEMA, Freeman...
  16. JamiiForums Tanzania Ugaidi na Usalama wa AFCON 2027: Je, Kauli za Serikali Zinakinzana?

    Kwa kipindi sasa, Serikali imekuwa ikieleza kuwa nchini kuna vitisho vya ugaidi na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vinaendelea kuchukua hatua za kuzuia na kukabiliana navyo. Wakati huohuo, Serikali imeendelea kuwahakikishia Watanzania, wageni na mashirikisho ya soka kuwa Tanzania iko salama...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Wanaosingiziwa na kushitakiwa kwa ugaidi. Mawakili kuweni macho na forced confessions. Soma hii case imetoka juzi

    Walipigwa wakateswa wakaandika uongo kujinusuru. Angali kesi hii ilivyoamuliwa . Ni kesi ya kutupa Bomu kule Arusha kwenye uzinduzi wa parokia ya katoliki mwaka 2013
  18. JamiiForums Tanzania Evarist Chahali - Jasusi: Ugaidi is a very stupid and poor CCM's political strategy kukabaliana na CHADEMA. Hii ni dalili kuu ya kushindwa kwao!

  19. K

    JamiiForums Tanzania Bora aendelee kuwa bubu hivyo hivyo kuliko kuitangazia Dunia kwamba kuna ugaidi

    Kwa hili niwape kongole wazee wa geti jeusi wale wazee wa kitengo, huo ushauri mlioupa imekaa vizuri sana, maana Dunia haituelewi hadi muda huu, hata wafanyabiashara wa sekta ya utalii hawaelewi Nini kimetokea. Embassies na High Commission zote nchini, tayari wameshatuma salamu kwenye nchi zao...
  20. JamiiForums Tanzania Je, kesi za ugaidi ziawafanya Watanzania kupinga uovu?

    Ugaidi ni tuhuma kali sana na ndio maana ni kosa ambalo linapingwa na kudhibitiwa kimataifa. Gaidi wa Tanzania ni gaidi wa dunia nzima. Kama ndio hivi, je Watanzania wanavyokamatwa kwa ugaidi. Watakata moyo mapambano dhidi ya uovu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…