ufupi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Historia ndefu ya Afrika kwa ufupi

    MAARIFA NI NGUVU!!!!!! ✊🏽 ~ MUDA WA HISTORIA YA AFRIKA (SIMULIZI ZETU ZA UKWELI) - 100,000 BC - Wanadamu wanahama kutoka Afrika kwenda sehemu zingine za ulimwengu. - 3,118 KK - Mfalme Menes anaunganisha falme za Kemet ya Juu na ya Chini. - 2,600 BC - Piramidi ya kwanza imejengwa huko...
  2. Kwanini tukarabati kivuko kwa Tsh. bil 7.5 wakati kipya ni bil 8.5?

    Wadau nawasabahi. Nikiwa mlipa kodi pamoja na tozo mbalimbali najisikia uchungu sana kusikia kuwa Serikali inataka kukarabati kivuko cha Mv Magogoni kwa bil.7. wakati bei ya kuunda kivuko kipya ni kati ya bil.8.5 -9 Najiuliza kwanini ufanyike ukarabati? Kwanini kisinunuliwe kivuko kipya...
  3. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  4. P

    NADHARIA Unywaji wa maziwa kwa wingi hufanya mtu kuwa mrefu

    Mdau wa JamiiForums amedai kuwa jamii za wafugaji ni warefu kwasababu wanakunywa sana maziwa tofauti na jamii za watu wasiotumia maziwa. Amebainisha baadhi ya sababu ni kutokana na maziwa kuwa na madini ya calcium na vitamini D ambavyo husaidia kutengeza na kuimarisha mifupa. Kinyume chake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…