ufunguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Political Jurist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Dkt. Nchimbi kuzindua kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoani Mwanza

    Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dkt.Emanuel John Nchimbi atazindua Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mtaa kwa Wagombea wa CCM Mkoani Mwanza tarehe 20 Novemba ,2024 .
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM

    Waziri Kombo amwakilisha Rais Samia ufunguzi rasmi wa Mkutano wa CHOGM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo amemwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Mkutano wa 27 wa Wakuu wa...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi Ligi Kuu Bara 2024/25: Pamba Jiji vs Prisons, Agosti 16, 2024, Saa 10:00 Jioni

    Agosti 16, 2024 Pamba Jiji vs Prisons 10:00 Jioni Agosti 17, 2024 Mashujaa FC vs Dodoma Jiji 10:00 Jioni Namungo FC vs Fountain Gate 1:00 Usiku Agosti 18, 2024 Kengold FC vs Singida BS 8:00 Mchana Simba vs Tabora United 11:15 Jioni
  4. X

    JamiiForums Tanzania Kufuatia ushetani ulioonyeshwa kwenye ufunguzi wa michezo ya Olympic nchini Ufaransa kampuni ya kwanza yajitoa

    C-spire kampuni ya mawasiliano ya Marekani imejitoa kuadvertise michezo ya Olympic inayofanywa huko Ufaransa. Sababu wameitaja kwenye akaunti yao ya X kuwa ni kebehi iliyoonyeshwa na mashoga kuhusu "last supper" wakati wa ufunguzi wa michezo hiyo jijini Paris. Kufuatia tukio hilo kwa aibu...
  5. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ufaransa la laani maonesho ya ufunguzi wa mashindano ya olimpiki parisi 2024.

    Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
  6. Abraham Lincolnn

    JamiiForums Tanzania AFCON 2027 : Mechi za ufunguzi na fainali kufanyika Kenya ni failure kwa viongozi Tanzania

    Nimesikitika sana kuona nchi ambayo kwa siku za karibuni haijashiriki wala haina perfomance nzuri katika michuano ya soka kimataifa kupewa kipaumbele mbele ya Tanzania ambayo miaka ya karibuni imefanya vizuri kimataifa, hususan barani Afrika. Je, viongozi wetu wamelala tu wala hawahangaiki au...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwako Mhe.Samia Suluhu Hassan, Rais wa JMT: Ikikupendeza shiriki katika ufunguzi wa safari ya SGR, Dar- Moro 14/06/2024.

    Kwako, Rais wa JMT Mhe.Samia Suluhu Hassan, Nimefarijika kusikia siku ya kesho reli ya SGR itaanza safari rasmi ya Dsm-Moro. Tangu awali tulisikia kelele nyingi juu ya mradi huu wengine walifikia hatua kusema ni 'White Elephant Project' kwa maana ni mradi usio na faida zozote na ambao hautaleta...
  8. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Omar Juma Kipanga ashiriki ufunguzi wa Mkutano wa sita wa Dunia wa Jukwaa la PASET

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknologia Mhe Qs Omar Juma Kipanga akifuatilia kwa UMAKINI Ufunguzi wa Mkutano wa SITA wa Dunia wa Jukwaa la Pertnesship in applied science and engineering technology (PASET) na Reginal Scholarship and innovation fund (RSIF) Katika Mkutano Mkuu wa TVET kuhusu...
  9. President of China

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa Mkutano maalumu wa baraza la Vyama vya Siasa 03 Januari 2024

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  10. President of China

    JamiiForums Tanzania Ufunguzi wa mkutano maalum wa baraza la vyama vya siasa

    UFUNGUZI WA MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA Kauli Mbiu; " TOA MAONI YAKO KUIMARISHA DEMOKRASIA " MGENI RASMI; Mhe. Othman Masoud Othman Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar 🗓️ Mkutano huu utafanyika Tarehe 3 na 4 Januari, 2024 📍Ukumbi wa Julius Nyerere International Convetion...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini Simba ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa mashindano AFL?

    Wakuu, leo nilijipa muda wa kupitia baadhi ya makala na machapisho juu ya hili shindano jipya kabisa Africa (AFL), bahati mbaya sikufanikiwa kukutana na sababu za kwanini Simba na Tanzania kwa ujumla ilichaguliwa kuwa mwenyeji wa ufunguzi wa AFL. Je FIFA + CAF walitumia vigezo gani kuipa simba...
  12. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Azam mmejitahidi sana kwenye Mechi ya Ufunguzi AFL

    Kuna siku nilikuwa nabishana tu na mfanyakazi wa Azam, nilimwambia kwamba kamera za HD wanazotumia Multi Choice ni tofauti na wanazotumia Azam, na wanazotumia Multi Choice ni tofauti na zile wanazotumia Sky Sport. Tulibishana kidogo na alisema kamera za HD zote ni sawa. Nilichouliza kwa nini...
Back
Top Bottom