Kenya imeonyesha matumaini makubwa ya kupewa nafasi ya kuandaa sherehe za ufunguzi na kufunga mashindano ya AFCON 2027, yatakayoandaliwa kwa pamoja na Kenya, Uganda na Tanzania.
Local Organising Committee (LOC), inayoongozwa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye, imewaambia...