ufugaji

  1. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa Kuku: Pakua Hii App uone Inavyobadilisha biashara yako ya Ufugaji mara moja (Na Ni BURE!)

    Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa! Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ] Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mbinu za kufanikiwa kwenye ufugaji

    Habari,Leo napenda kutoa elimu juu ya mbinu Bora za kufanikiwa kwenye mifugo yako; --- ✅ 1. Chagua Aina Bora ya Mifugo Tumia mbegu bora (high-yielding breeds) Angalia lengo lako: nyama, maziwa, au uzao ✅ 2. Malisho Bora na Lishe Sahihi Hakikisha chakula ni cha kutosha na chenye virutubisho...
  3. JamiiForums Tanzania Zana za kilimo na ufugaji

  4. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe

    Jamani habarini tena! Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
  5. JamiiForums Tanzania Ushauri wa kilimo na ufugaji

    Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani. Mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
  6. JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  7. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kondoo na ng'ombe

    Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine? Ahsante naomba kuwasilisha
  8. JamiiForums Tanzania Mradi wa ufugaji wa nguruwe – Mtanzania mwenye maono

    1. UTANGULIZI WA MRADI Mradi huu unalenga kuanzisha ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kidogo kwa lengo la kukuza kipato na kujenga msingi wa biashara endelevu ya mifugo. Mradi unaweza kuanzishwa kijijini au mjini, kulingana na upatikanaji wa eneo na maji. Shughuli za awali ni: Kuandaa eneo la...
  9. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa mbuni biashara yenye kuzidi kitowewo cha ng’ombe na mbuzi.

    Ufugaji wa mbuni (Ostrich farming) ni aina ya kilimo cha kisasa kinachokuwa kwa kasi katika maeneo mengi duniani, ikiwa ni pamoja na baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya, na Uganda. Mbuni ni ndege mkubwa kuliko wote duniani, ambaye huliwa nyama yake, hutumika kwa manyoya...
  10. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa changamoto na fursa katika ufugaji endelevu na salama kiafya Dodoma

    Habari wanajamii, Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii. Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
  11. JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  12. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe ni Fursa ya Utajiri- Hili Alina Mjadala

    https://youtu.be/2w3zUtsShD0 Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja… Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖 Hebu fikiria hii: Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii...
  13. JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  14. JamiiForums Tanzania Mradi wa Ufugaji wa Nguruwe unaohitaji Mwekezaji/Mfadhili

    Habari yako mwana Jamiiforum. Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu. Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga mpango wa biashara, na najua nikipewa nafasi na msaada wa mtaji, nitaweza shughuli hii kwa utumishi...
  15. JamiiForums Tanzania Uongo wa kutisha wafugaji hudanganyana kuhusu ufugaji wa kuku (3 itakuvunja mbavu)

    1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉: Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Fursa kubwa kwenye ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa

    Je, unafahamu kuwa ukiwa na ng’ombe mmoja wa maziwa, unaweza kujipatia kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kila mwezi? 🤯 Hii ni fursa halisi kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa. Ng’ombe mzuri wa maziwa anaweza kutoa wastani wa lita 15 - 25 za maziwa kwa siku. Kwa bei ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

    Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  19. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki ni Fursa ya Kuimarisha Uchumi Wako

    Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa. Ikiwa utapata mwongozo wa kitaalamu na utekelezaji sahihi, ufugaji wa samaki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kupata ushauri kutoka kwa watalaam wa afya kuhusu usalama wa samaki wanaofugwa katika ziwa Victoria

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ufugaji wa samaki Kanda ya Ziwa na hasa Jiji la Mwanza. Masoko mengi jijini Mwanza yamejaa hawa samaki wanaofugwa na ndiyo wanauzika kwa wingi. Ninaomba kuelemishwa kama hawa samaki ni salama kwa kuliwa kwa ajili ya afya zetu. Wachina ndo wamejenga viwanda vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…