ufugaji

  1. Zana za kilimo na ufugaji

    JamiiForums Tanzania Zana za kilimo na ufugaji

  2. Richie Henry

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa nguruwe

    Jamani habarini tena! Napenda kusaidiwa kwa wazoefu juu ya hili jambo, je eneo la robo ekari linatosha kwa kuanzia UFUGAJI WA NGURUWE.?
  3. Bepari la Kinyambo

    JamiiForums Tanzania Ushauri wa kilimo na ufugaji

    Wakuu nilikua naomba ushauri nina shamba mkoa wa pwani. Mradi gani wa kuwekeza kati ya hii kilimo cha muda mfupi na aina, kilimo cha muda mrefu na aina na ufugaji upi.
  4. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Jinsi Cages za Mbao Zinavyobadili Ufugaji wa Kuku - Hazina Gharama

    https://youtu.be/Kf2DhWBoXUA Katika mazingira ambayo wengi huamini kuwa "ufugaji wa kisasa ni kwa matajiri," Mzee Hashimu – afisa mstaafu kutoka Mwanza – anathibitisha kinyume chake. Akiwa na uzoefu wa maisha na ujasiri wa kujaribu vitu vipya, leo anafuga kuku wa Sasso kwa kutumia cage...
  5. Richie Henry

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa kondoo na ng'ombe

    Naombeni kwa anaejua ni kipi bora kati ya ufugaji wa kondoo na ng'ombe wa kienyeji kwa maeneo ya Kahama shinyanga. Yani kipi kinaweza kuwa kinalipa kwa uharaka kuzidi kingine? Ahsante naomba kuwasilisha
  6. tinWyn

    JamiiForums Tanzania Mradi wa ufugaji wa nguruwe – Mtanzania mwenye maono

    1. UTANGULIZI WA MRADI Mradi huu unalenga kuanzisha ufugaji wa nguruwe kwa kiwango kidogo kwa lengo la kukuza kipato na kujenga msingi wa biashara endelevu ya mifugo. Mradi unaweza kuanzishwa kijijini au mjini, kulingana na upatikanaji wa eneo na maji. Shughuli za awali ni: Kuandaa eneo la...
  7. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa mbuni biashara yenye kuzidi kitowewo cha ng’ombe na mbuzi.

    Ufugaji wa mbuni (Ostrich farming) ni aina ya kilimo cha kisasa kinachokuwa kwa kasi katika maeneo mengi duniani, ikiwa ni pamoja na baadhi ya maeneo ya Afrika Mashariki kama Tanzania, Kenya, na Uganda. Mbuni ni ndege mkubwa kuliko wote duniani, ambaye huliwa nyama yake, hutumika kwa manyoya...
  8. Margaret Winston

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa changamoto na fursa katika ufugaji endelevu na salama kiafya Dodoma

    Habari wanajamii, Mimi ni mdau ninayepanga kuanzisha mradi wa ufugaji endelevu na salama kiafya hapa Dodoma. Lengo kuu la mradi huu ni kuzalisha bidhaa za mifugo kama nyama, maziwa, mayai na kadhalika ambazo ni bora kiafya na salama kwa matumizi ya jamii. Malengo ya mradi huu ni pamoja na...
  9. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji Wa Kuku Wa Mayai ni UTAJIRI🤷🏿‍♂️ Ila Hizi ndio Changamoto Zake

    https://youtu.be/EA1vMZRRktQ?si=Cb1kvCI2ybwJO36n KUTOKA MWANZA: Safari ya Mabadiliko kwa Mfugaji wa Kuku wa Mayai! 📍 Mwanza | 🐔 Mashamba Mawili | 💡 Ushauri wa Kitaalamu Juzi tulipata nafasi ya kipekee kutembelea mfugaji mwenye mashamba mawili ya kuku wa mayai. Licha ya jitihada kubwa na maono...
  10. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Nguruwe ni Fursa ya Utajiri- Hili Alina Mjadala

    https://youtu.be/2w3zUtsShD0 Leo nilikaa nikawaza kitu kimoja… Kwa nini wafugaji wachache sana wanafanikiwa kweli, ilhali nguruwe ni mnyama mwenye uwezo mkubwa sana wa kutajirisha? 🤔🐖 Hebu fikiria hii: Nguruwe mmoja wa kisasa anaweza kuzaa hadi watoto 21 kwa mara moja, mara mbili kwa mwaka. Hii...
  11. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
  12. Qa people

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Ufugaji wa Nguruwe unaohitaji Mwekezaji/Mfadhili

    Habari yako mwana Jamiiforum. Naomba muda wako kidogo kusoma hili wazo langu. Nina ndoto ya ufugaji wa nguruwe 10 nikiwa na malengo ya kujiajiri na biashara hii. Nimefanya utafiti na kupanga mpango wa biashara, na najua nikipewa nafasi na msaada wa mtaji, nitaweza shughuli hii kwa utumishi...
  13. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania Uongo wa kutisha wafugaji hudanganyana kuhusu ufugaji wa kuku (3 itakuvunja mbavu)

    1.Kuku wa nyama (broilers) ni GMO🧬 au wamechomwa homoni!💉: Wengi wanadhani kuku wa nyama (Broiler) wametengenezwa maabara au wanachomwa hormone zinazowafanya waongezeke uzito ndani ya muda mfupi lakini SI KWELI ! Ukuaji wao wa haraka unatokana na uchaguzi wa vizazi bora (selective breeding) kwa...
  14. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Fursa kubwa kwenye ufugaji wa Ng'ombe wa Maziwa

    Je, unafahamu kuwa ukiwa na ng’ombe mmoja wa maziwa, unaweza kujipatia kati ya Tsh 600,000 - 900,000 kila mwezi? 🤯 Hii ni fursa halisi kwa wale wanaotaka kuwekeza kwenye kilimo na ufugaji wa kisasa. Ng’ombe mzuri wa maziwa anaweza kutoa wastani wa lita 15 - 25 za maziwa kwa siku. Kwa bei ya...
  15. Optimists

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yamenishinda acha nguvu nihamishe kwenye kilimo na ufugaji

    Nimefika miaka 29, nilitaka nioe maana naona age inaenda kidogo, then Nina mipango ya biashara ambayo naamini Mwanamke Mwenye akili ndio atasimamia kwa sababu mimi ni muajiriwa, then Niko busy na mashamba, nataka nifungue biashara kwahiyo kumuweka mtu bora nimuweke wife nitakayempata, nina...
  16. Titicomb

    JamiiForums Tanzania Msaada maelezo ya kutambua Chanjo ya kuku ya TATU MOJA kama imepoteza ubora.

    Tafadhali naomba msaada wa maelezo ya kutambua endapo chanjo niliyo nunua bado ina ubora au imepoteza ubora kwa kuharibika au kuchakachuliwa. Kwa mujibu wa maelezo ya wagunduzi chuo Cha SUA chanjo hiyo imewekwa rangi maalumu kama indicator ya kuonesha ubora au usalama wa chanjo. Wanasema...
  17. BwanaSamaki012

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Samaki ni Fursa ya Kuimarisha Uchumi Wako

    Ufugaji wa samaki ni taaluma inayokua kwa kasi, lakini wengi hawana ujuzi wa kutosha. Kwa hivyo, watu wengi huanzisha miradi bila mwongozo sahihi, na hatimaye hupata hasara kubwa. Ikiwa utapata mwongozo wa kitaalamu na utekelezaji sahihi, ufugaji wa samaki unaweza kuwa chanzo kizuri cha kipato...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ninaomba kupata ushauri kutoka kwa watalaam wa afya kuhusu usalama wa samaki wanaofugwa katika ziwa Victoria

    Kumekuwa na wimbi kubwa la ufugaji wa samaki Kanda ya Ziwa na hasa Jiji la Mwanza. Masoko mengi jijini Mwanza yamejaa hawa samaki wanaofugwa na ndiyo wanauzika kwa wingi. Ninaomba kuelemishwa kama hawa samaki ni salama kwa kuliwa kwa ajili ya afya zetu. Wachina ndo wamejenga viwanda vya...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Natafuta shambaboy mwenye kujua na maua pia na ufugaji

    Kama uko na ndugu au wewe mwenyewe tuwasiliane... 👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿 Update: Nimepata 5 interview kesho... Nitatoa mrejesho.. Asanteni sana kwa ushirikiano,🙏🏿🙏🏿🙏🏿
  20. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Rasilimali za kilimo, ufugaji na uvuvi na mchango wake katika uchumi wa Tanzania

    RASILIMALI ZA KILIMO, UFUGAJI NA UVUVI NA MCHANGO WAKE KATIKA UCHUMI WA TANZANIA Tanzania ni nchi yenye utajiri wa rasilimali za asili ambazo zimekuwa na mchango mkubwa katika uchumi wa taifa. Miongoni mwa sekta hizi ni kilimo, ufugaji na uvuvi. Sekta hizi zimekuwa uti wa mgongo wa uchumi wa...
Back
Top Bottom