ufugaji wa kuku

  1. JamiiForums Tanzania Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Je kuchanganya kuku na bata pamoja kuna madhara gani katika ufugaji
  2. JamiiForums Tanzania Changamoto katika ufugaji wa kuku

    Suruhisho la kuku anayedonoa vifaranga na kuviua kabisa
  3. D

    JamiiForums Tanzania Natamani Sana kuanza ufugaji wa kuku kibiashara lakini bado sijaamua nifuge aina gani ya kuku kati ya broiler na chotara

    Lengo langu ni kuanza na kuku 1000 lakini bado sijapata taarifa kamili za mradi wenyewe ninaotaka kuuanza mabanda ninayo kuna Mtaalam aliyakagua akayapitisha kuwa yanafaa. Taarifa ninazoomba mnisaidie kushea ni tofauti ya ulaji wa broiler na Chotara, mtaji kiasi gani Kwa broiler au Chotara na...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta eneo lililo karibu na mjini la kufugia kuku wa nyama, niko mkoani Morogoro

    Ndugu wana JF, Naomba ushirikiano wenu, natafuta nyumba ya kuishi ambayo naweza kutumia ktk biashara ya ufugaji kuku wa nyama, mimi Nimefika mkoani hapa ni mgeni kidogo, kwa sasa nimefika mtaa wa pamba karibu na hospitali ya mkoa.
  5. JamiiForums Tanzania Wafugaji wa kuku wa kienyeji tukutane hapa

    Tujadili kuhusu kuku wa kienyeji -Naanza kwa kuuliza hivi unamgunduaje jogoo angali kifaranga? -Tunaambiwa mdondo hauna tiba, je inachukua muda gani kuku akishapatwa na ugonjwa huo?
  6. JamiiForums Tanzania Vijana tuingie kwenye ufugaji wa kuku, kuna dhahabu isiyoonekana

    Tanzania ni nchi yenye walaji wa nyama wengi na kuku huliwa kwa kiasi kikubwa sana. Hata kama bei zinapanda, ulaji unaendelea kukua kila siku.Matokeo yake ni kwamba kufuga kuku inaweza ikawa biashara yenye faida kubwa kwako kwa kuwa yanahitajika kwa wingi. Katika siku za hivi karibuni, kumeibuka...
  7. JamiiForums Tanzania Kanuni sahihi za ufugaji wa kuku wa kienyeji

    KANUNI SAHIHI ZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI Kaya nyingi hapa nchini hujihusisha na ufugaji wa kuku kwa lengo la kujipatia chakula na kipato. Mazao yatokanayo na ufugaji wa kuku ni pamoja na mayai, nyama, mbolea na manyoya kwa ajili ya matumizi mbalimbali. Mifumo ya ufugaji kuku ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Poultry farm Manager (Msimamizi wa Shamba la Mradi wa ufugaji wa Kuku wa Nyama)

    Anahitajika mtaalamu wa kilimo na mifugo mwenye elimu ya kuanzia ngazi ya stashahada mwenye ujuzi na uzoefu kwenye tasnia ya ufugaji wa kuku wa nyama wa kisasa. Eneo la Mradi: Kazimzumbwi - Kisarawe (Pwani) Anatafutwa mtu mwenye sifa:- Mwenye ujuzi na uzoefu wa kusimamia na mradi wa ugugaji wa...
  9. JamiiForums Tanzania SoC01 Ufugaji wa kuku wenye tija na matumizi ya teknolojia

    Ni jioni tulivu ,jumapili ya tarehe 14/7/2021 ni siku niliyoamua kwenda kumtembelea mjasiliamali anayejihusisha na ufugaji wa kuku wa kisasa , ilikuwa safari nzuri sana toka maeneo ya iringa mjini hadi iringa vijijini, kwa mfugaji na mjasiliamali huyu maarufu kama mzee mwenda , Ilikuwa ni...
  10. JamiiForums Tanzania Mwongozo wa ufugaji wa kuku wa nyama (Broiler)

    HATUA KWA HATUA UFUGAJI WA KUKU BORA WA NYAMA (BROILER) Lengo la makala hii ni kukuwezesha wewe mkulima kupata kuku wa nyama wenye uzito sahihi kukuwezesha wewe kupata faida. Hivyo basi wewe kama mfugaji ni vyema ukajua ya kwamba wiki mbili za mwanzo katika uleaji wa kuku wa nyama ni muhimu...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa Mchanganuo wa Ufugaji wa Kuku wa Kisasa

    Wakuu Kwema? Nahitahi kumfungulia mtu Biashara ya Kufuga Kuku wa Kisasa, ambapo kwa Kuanzia tumekubaliana kwanza aanze na Box moja. Sasa nilikua naomba mchahngahnuo wa kimahesabu juu ya gharama za kuwafuga hawa Kuku 100. Sababu ndio kwanza anaanza ningeomba Mchanganuo huo uwe katika mtiririko...
  12. JamiiForums Tanzania Ukizingatia Kanuni hizi, basi ufugaji wa kuku utakunyanyua kiuchumi

    @farmersdesk_tanzania KABLA UJANZA KUFUGA KUKU TAMBUA MBEGU BORA YA KUFUGA🐓 MBEGU BORA YA KUKU KABLA hujaanzisha mradi wa ufugaji kuku, ni lazima utafute aina ya mbegu bora itakayo kuongezea kipato. Kumbuka kuna aina nyingi za kuku na ni aina zuri zote. Ila kila mfugaji huwa na malengo sasa hayo...
  13. JamiiForums Tanzania Ufugaji kuku sio mwanzo wa utajiri pekee, unaweza ukawa mwanzo wa umasikini wa uhakika. Zingatia yafuatayo ili upate mema kupitia kuku

    Kwa miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa sana la watu kuweka ndoto za mafanikio kwenye swala zima la ufugaji kuku, swala ambalo watu wengi wanakosea kuingia kwenye ufugaji bila tathmini za kina HASA juu ya gharama na changamoto za ufugaji huo. Mara nyingi huwa tunaingia na mawazo...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu katika ufugaji wa kuku

    Mwaka huu(2020) mwanzon niliamua kuanza ufugaji wa kuku chotara. Niliamua kuanza na kuku 120. Nlinunua vifaranga wa mwez mmoja Changamoto Magonjwa, hii ilkuwa changamoto ndogo magonjwa hayakuwa meng. Niliweza kuyatibu kwa wakati Ukuaji, niliambiwa wataanza kutaga wakifikisha miez minne.. lakn...
  15. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kufuga "kanga"

    Habari zenu, Naombeni msaada ,Ni njia gani za kufanya ili niweze kufuga KANGA kwenye banda la kuku ?? Na nitarajie changamoto gani na ninazikabili vipi ?? Wadau karibuni kwa majibu.....
  16. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kisasa: Fahamu Mbinu, Faida, Changamoto na Masoko

    Hey JF Members. Ee bwana kuna mtu anaweza kunipa msaada wa mchanganuo wa kufuga kuku. Naona soko la kuku ni kubwa sana. Hii ni biashara ambayo soko lake liko tayari. hotels, functions, vibanda vya chipss. Yeyote mwenye idea naomba msaada please! BAADHI YA MASWALI NA MAHITAJI YA WADAU...
  17. JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    Nimeanza ufugaji wa kuku wa kienyeji, bado sija survey soko la kuku wa kienyeji likoje. Kama kuna mtu mwenye uzoefu na hili anishauri, pros and cons etc. By the way, nimeanza na Jogoo mmoja, ila natarajia kuongeza kuku within a week, projections ni kuwa na kuku 1,000, hapo ndio nianze kuuza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…