ufaransa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania KWELI Picha hii iliyopigwa kwenye michuano ya Olympics nchini Ufaransa

    Nimekutana na picha hii mtandaoni inayodaiwa kupigwa Julai 30, 2024 kwenye michuano ya Olympics inayoendelea. Binafsi siamini, naona kama imetengenezwa. JamiiCheck tusaidieni kuihakiki.
  2. JamiiForums Tanzania Kanisa katoliki ufaransa la laani maonesho ya ufunguzi wa mashindano ya olimpiki parisi 2024.

    Catholics, others respond to mockery of Last Supper at Paris Olympics In reparation for the blasphemy, Bishop Donald Hying of Madison, Wisconsin, called on Catholics to “fast and pray, renew our devotion to the Eucharist, the Sacred Heart and the Virgin Mary.”/ Credit: "EWTN News Nightly" /...
  3. JamiiForums Tanzania Senegal kuwaduwaza wafaransa kwa ushindi wa 1-0

    Ufaransa ulienda kwenye michuano ya fainali za kombe la dunia 2002 kule south Korea and Japan as double champions, having won the 1998 world cup and Euro 2000. Ufaransa walipangwa kundi A wakiwa pamoja na Senegal, Uruguay, Denmark. Kwa Senegal ndio ilikua Mara yao ya kwanza kwenye world cup na...
  4. JamiiForums Tanzania Wanariadha wa 4 kutuwakilisha kwenye mashindano ya Olimpiki huko Paris Ufaransa Mwezi Julai, Kambi kuwekwa Arusha

    BAADA ukimya wa muda mrefu kuhusu lini timu ya Taifa ya Riadha itaingia kambini kuanza maandalizi ya mashindano ya Olimpiki ambazo zitafanyika mwezi Julai huko Paris Ufaransa hatimae Shirikisho la Riadha Tanzania (RT),imefunguka kuwa kambi hiyo itaanza mapema wiki hii. Tanzania itawakilishwa na...
  5. A

    JamiiForums Tanzania Rais Emmanuel Macron Avunja bunge la Ufaransa

    Kufuatia mlengo wa mbali kulia kupata viti vingi bunge la Ulaya. Rais Emmanuel Macron kavunja Bunge. Hivyo uchaguzi mpya wa wabunge utafanyika tarehe 30 June na awamu ya pili ni tarehe 7 July. Tanzania hususani CCM mna la kujifunza.Acheni kuiba kura heshimuni matakwa ya wapiga kura. Kutoka...
  6. X

    JamiiForums Tanzania Chama cha Rais Macron na Chancellor Scholz vyapata matokeo mabaya uchaguzi wa Bunge la Ulaya

    Chama cha Marine LePen kimepata kupata karibu 30%, wakati upande wa chama cha Macron kimepata kura kwa karibu 15%. Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ametangaza kuvunja bunge la kitaifa na kutoa wito wa uchaguzi wa haraka Juni 30 na Julai 7. Chama cha AfD cha Ujerumani kilipanda hadi nafasi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Parachichi moja Ufaransa Tsh 6000

    Kwa sisi graduates tuliopo mtaani mchongo huu, yaani parachichi moja hapo Ufaransa linanunuliwa kwa elfu 6 Tuchangamkie fursa wazee utajiri upo ni kuamua tu #msaka_ajira
  8. JamiiForums Tanzania Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar

    Balozi wa Tanzania nchini Ufaransa Mhe. Ali Jabir Mwadini akizungumza katika Mkutano wa majadiliano ya fursa za uwekezaji kati ya Ufaransa na Zanzibar, ambapo Mgeni rasmi ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi, kwenye Ukumbi wa Hoteli ya Park Hyatty...
  9. JamiiForums Tanzania Ujerumani na ufaransa waitosa marekani waungana pamoja norway na spain sakata la icc

    Taarifa zilizopo mitandaoni na vyanzo vingine vya Habari ujerumani na ufaransa zimeungana pamoja kuhusu Sakata la netanyau kukamatwa .. Na kuitosa marekani
  10. JamiiForums Tanzania Nini umuhimu wa ziara ya Rais Samia Ufaransa?

    Rais Samia huyoo? Sasa hivi kaenda Ufaransa! Ufaransa, chini ya Macron, sasa hivi kimataifa haivumi upepo mzuri. Matukio ya uhusiano wa Ufaransa na nchi za Afrika Magharibi, kama Niger, Mali, Burkina Faso na nchi nyingine siyo mzuri kabisa. Nchi hizo za wenzetu zime experience ushenzi wa...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amewasili salama nchini Ufaransa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Nishati Safi ya Kupikia

    Ndugu zangu Watanzania, Tunamshukuru Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema na Fadhili kwa kumsafirisha na kumfikisha Salama Nchini Ufaransa Rais Wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kuwa Mwenyekiti Mwenza wa Mkutano wa Kimataifa Kujadili Nishati Safi utakaofanyika Ufaransa

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa...
  13. JamiiForums Tanzania #Kumbukizi: Ufaransa Ilipinga Uteuzi wa Dkt. Salim kuwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mwaka 1996

    Mwaka 1996, wakati wa mchakato wa kuchagua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Dkt. Salim alionekana kuwa mgombea imara wa kumrithi marehemu Boutros Boutros-Ghali - ambaye nafasi yake haikuwa tena imara kutokana na upinzani mkali kutoka Marekani. Hii ilianzisha mchakato wa wazi wa uchaguzi ambao...
  14. JamiiForums Tanzania SI KWELI Rais Faye: Ni wakati sasa Ufaransa kuondoka na kuachana na Afrika

    Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika. Video hiyo inamuonesha Rais Faye akiimbia Ufaransa kuwa "Inakuwa wakati wa Ufaransa kuinua magoti yake kutoka shingoni mwetu na...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yatambua jitihada za Rais Samia sekta ya maji, yampongeza na kumuunga mkono zaidi

    UFARANSA YATAMBUA JITIHADA ZA RAIS SAMIA SEKTA YA MAJI, YAMPONGEZA NA KUMUUNGA MKONO ZAIDI Waziri wa Maji Mheshimiwa Jumaa Aweso amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Chrysoula Zacharopoulou, Waziri wa Nchi-Maendeleo ya Uchumi (Secretary of State for Economic Development) wa Ufaransa...
  16. JamiiForums Tanzania Ufaransa kuwasilisha Bungeni Muswada wa Sheria ya Kusaida Mtu Kufa

    UFARANSA: Rais Emmanuel Macron, ametangaza kuwa ifikapo Mei 2024, Serikali itawasilisha Bungeni Muswada wa Sheria itakayotoa Haki ya kusaidia Watu Kufa baada ya kuugua au kufikia hatua mbaya ya maumivu yasiyotibika. Macron amesema "Kutokana na kwamba kuna hali ambazo hauwezi kuzikabili...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Ufaransa kuanza kutengeneza silaha nchini Ukraine

    Katika hali inayoonyesha kwamba vita nchini Ukraine bado vitaendelea kupiganwa na kwamba fikra ya taifa la Russia kwamba inaweza ikakalia tu ardhi ya Ukraine kwa raha inaonekana ni jambo ambalo kamwe halitawezekana. Ufaransa inapanga kuwa na baadhi ya watengenezaji wake wa silaha wanaozalisha...
  18. JamiiForums Tanzania Ufaransa imekuwa nchi ya kwanza duniani kuidhinisha Utoaji Mimba kuwa haki ya Kikatiba

    Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron ameripotiwa kuwa anatumai marekebisho hayo ya katiba yatamtofautisha na chama cha siasa kali za mrengo wa kulia cha National Rally cha Ufaransa - ambacho kinazidi kupiga kura kabla ya uchaguzi wa Ulaya mwezi Juni. France has become the first country in the...
  19. JamiiForums Tanzania Kisa cha Mke wa Bokassa rais wa CAR na Rais wa Ufaransa Valéry Giscard

    …Valéry Giscard d’Estaing alikuwa ni Rais wa Ufaransa kuanzia mwaka 1974 hadi 1981. Jean-Bedel Bokassa alikuwa ni Rais wa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR) mwaka 1966 hadi 1979. Ndani ya miaka 13 ya utawala wake, alibadili mfumo wa utawala nchini mwake CAR na kuwa utawala wa Kifalme… Baadae...
  20. JamiiForums Tanzania Timu ya Taifa ya Romania ilienda World Cup ya mwaka 1998 pale Ufaransa wakiwa wamepaka Bleach karibia wachezaji wote

    Nimeona wananchi kesho wana mechi ya ligi ya mabingwa afrika, ni mechi muhimu sana kiasi wakaamua kuipa jina “Pacome Day” huku wakinogesha na style ya nywele ya mchezaji wao Pacome. Style hiyo kutumiwa na wachezaji wengi wa timu sio ngeni katika shughuli za michezo hasa kabumbu. Mwaka 1998...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…