Mheshimiwa Waziri wa Madini,
Kuna maswali mazito yanayohitaji majibu kuhusu uendeshaji na uhalali wa uongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Wadogo wa Madini Tanzania (FEMATA).
Inadaiwa kuwa FEMATA inaendeshwa bila Katiba inayotambulika na wanachama wake, huku uhalali wa uongozi wake wa...
Baada ya hoja ya Mdau ambaye aliandika = Vijana tulioshiriki Mkutano wa LCOY Tanzania 2026 Dodoma tumepigwa, tumebaki na madeni ufafanuzi umetolewa kutoka kwa wahusika.
Taarifa ya Ufafanuzi Kuhusu Usaidizi wa Wajumbe Katika LCOY Tanzania 2026
Imetolewa na: Kamati ya Maandalizi ya LCOY Tanzania...
Leo kwenye pitapita zangu za mtandaoni, nimekutana na hili kwenye ukurasa rasmi wa NIDA, nikabaki nashangaa.
Kwenye comments, inaonekana baadhi ya wananchi wanaelekezwa kuwasilisha ushahidi wa kushiriki katika zoezi la kumpigia kura mshiriki wa Miss Grand ili waweze kupata “Special Treatment”...
Habari Admin, napenda kukujulisha kuwa suala nililowasilisha hapa kuhusu placement za waajiriwa wapya wa VETA sasa tumeshapewa ufafanuzi.
Tumeitwa kwenye semina itaksyofanyika tarehe 7 na 8 mwezi wa 10/2026
Anonymous (29d6)
Thread
admin
habari
kuhusu
suala
udsm
ufafanuzi
veta
waajiriwa
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WA VETA ZILIZOTOLEWA NA UTUMISHI TAREHE 27 JULAI 2026
Kwa: Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI) na Uongozi wa VETA.
Ndugu Viongozi,
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakabili waajiriwa wapya...
Kwa:
Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora (UTUMISHI)
na Uongozi wa VETA
Ndugu Viongozi,
YAH: OMBI LA UFAFANUZI KUHUSU HALI YA PLACEMENT ZA WAJIRIWA WAPYA WALIOPANGIWA VETA
Kwa heshima, tunaomba kuwasilisha changamoto inayotukabili waajiriwa wapya tuliopangiwa vituo...
Julai 10, 2026, Mdau aliandika kupitia JamiiForums.com kuwa ni vema ujenzi wa daraja lililopo Kimara Mwisho ukamaliziwa kwa kuwa ni hatarishi kwa watumiaji kutokana na kukosa kingo za pembeni.
Pia soma ~ Serikali naomba mlimalizie Daraja la Kimara mnahatarisha usalama wa wananchi
Daraja hilo...
Sisi watanzania wa kawaida tumepata mkanganyiko sana kwa kitendo cha ofisi ya DPP na mawakili wa serikali kutumia neno 'uttering' kwenye kesi ya jinai.
Tulioishia kidato cha nne,sita na waliosoma kozi tofauti na ya sheria tunajua maana ya 'uttering' ni kuongea / kutamka maneno kwa sauti ya...
Japo teyari tuna mtazamo yetu kuhusu kilichotokea leo mahakamani hasa baada ya DCI KIngai kukataa kuwa shahidi wa kumteta Lissu na kitendo cha Kingai kuwasemea mashahidi wenzake (CDF na IGP), nadhani itakuwa jambo jema tukapata ufafanuzi wa kisheria ili tuweze kuonanisha na mtazamo yetu...
Mke ambaye ni wa pili katika ndoa, endapo mume wake amefariki dunia, je, naye anatakiwa kukaa eda (iddah) kwa muda uliowekwa katika Sharia? Na katika kipindi hicho, je, anapaswa kupewa faraja na kuheshimiwa kama mjane mwingine?
Pia, tunaomba kufahamu: ikiwa mwanamke ambaye ni mke wa marehemu...
Sheria inasema foreigner anaweza kupewa derivative right ya kumiliki ardhi kwaajili ya uwekezaji tu. Kuhusu swala la disposition (kuuza/kurithisha) ardhi husika Sheria ya ardhi imewaka restrictions kwamaana kwamba mwekezaji atatakiwa kurudisha ardhi kwa wamiliki waliompatia haki ya kuwekeza...
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari akitoa ufafanuzi wa Kisheria kuhusu Uteuzi wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma tarehe 28 Agosti, 2026.
https://x.com/_zack255/status/2093349788511084748
👆🏾👆🏾👆🏾
Tazama Video yote hapo juu.
Sidhani kama Kila tukio la Kihistoria lilisababishwa (causes) na mambo sita na kuendelea au lilisababisa (effects ) mambo sita na kuendelea.
Katika somo la history hapa nchini kumekuwa na tabia kutaka kuwaaminisha wanafunzi kuwa kila tukio la Kihistoria limesababishwa na mambo mengi sana.
Ni...
🚨 NAOMBA UFAFANUZI: HII NI HAKI KWELI?
Nimeamua kuandika hili kwa sababu naamini kuna watu wengi wanaweza kuwa wamepitia hali kama yangu bila kujua cha kufanya.
Nilienda kuomba mkopo benki, nikafanyiwa CRB check na nikakuta nina deni la Songesha. Nilipoanza kufuatilia, nikagundua kwamba deni...
Prof. Omar Fakih Hamad, Mnadhimu wa ACT Wazalendo, Baraza la Wawakilishi Zanzibar
Ndugu Wanahabari! Hatuna budi kumshukuru Mwenyezi Mungu, aliyetujaalia uhai na uzima na kutuwezesha leo hii tukajumuika pamoja hapa katika ukumbi wetu wa Chama kwa ajili ya kuzungumza nanyi masuala yaihusuyo nchi...
Leo Serikali Kupitia TPDC imeita waandishi na wahariri wa Habari mbalimbali na kutaka kufafanua juu yaadai yaliyotolewa na ACT Wazalendo kuhusiania na kashfa ya uagizaji Mafuta.
Nimesikiliza hotuba Yao na kurejea maswali ya ACT kiukweli bado ufafanuzi inahitajika
Nakuwekea maswali ya ACT hapa...
JWTZ ni dhahiri limekubali kujinasibisha na SIASA- ambayo ni kinyume na KATIBA ya JMT ni hatari zaidi kwa ustawi wa TZ.
Kwa mfano kauli ya Msemaji wa JWTZ kusema KAZI na UTU ni kauli ya kisiasa: kupitia ripoti ya Chande dhidi ya mauaji ya halaiki… Oct 29 moja ya sababu alizotoa zilizochochea...