uelewa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada kwa wenye Ujuzi na uelewa kuhusu policy za warranty za electronic devices

    Habari za wakati huu wana Jf. Kuna issue imenitokea week iliyopita nimeenda kariakoo kununua Smart tv TCL inch 32 Tshs 380000; imejaribiwa ikawaka vizuri nikafanya malipo nikaondoka. Kufika nyumbani nimeiwasha nimeunganisha wifi nacheki video youtube ikazima yenyewe, Yaani taa nyekundu upande wa...
  2. T

    DOKEZO Responded Wachimbaji wengi Migodini wanatumia Kemikali ya Zebaki bila kujua athari zake kiafya

    Imeelezwa Kemikali ya Zebaki inayotumika kukamatisha dhahabu ambapo inaelezwa ni kemikali 10 ambayo Shirika la Afya Duniani (WHO) inasababisha athari za kibinadamu na mazingira. Kemikali ya Zebaki ni nini? Kwa mujibu wa taarifa zinazopatikana Mtandaoni, Zebaki ipo katika metali ya kimiminika na...
  3. Mfano wa Mr. Manguruwe; Ni kweli Makonda hana uelewa wa maana ya haki za binadamu?

    Nimesikiliza sehemu ya mahojiano kati ya mkuu wa mkoa wa Arusha Makonda na waandishi wa habari. Jambo mojawapo aliloulizwa ni tuhuma dhidi yake za ukiukwaji wa haki za binadamu, majibu yake yameniacha hoi kwa mshangao. Makonda anasema yeye ni mtetezi mkubwa wa haki za binadamu, mifano aliyoitoa...
  4. LGE2024 Tundu Lissu amjibu Amos Makalla kutojiandikisha kwake "Nashangaa wanapewaje vyeo vikubwa na hawana uelewa"

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa huku akieleza kuwa kutojiandikisha kupiga kura hakumuondolei mtu yeyote kuzungumzia uchaguzi...
  5. Shambulio la Israel nchini Iran, natoa angalizo kwa wajanja na wenye uelewa wenzangu

    Niaje waungwana Baada ya Israel, Marekani, Uingereza na washirika wao wengine kujipanga kwa zaidi ya mwezi mmoja na kitu ili kufanya shambulizi la kuiangamiza Iran kushindwa. Sasa tumeona wenyewe jinsi Iran ilivyo imara kwa air defence yao hadi kupelekea shambulio la ndege 100 za Israel...
  6. Nahitaji kuanzisha marathon hivyo yeyote mwenye uelewa juu ya jambo hili naomba anielekeze taratibu zote mpaka kukamilika kwa jambo hilo

    Habari zenu wakurungwa! Husikeni na kichwa cha habari hapo juu, Mimi nipo wilaya X , jiji la Mwanza, nimehamasika sana kuandaa mashindano ya marathon ila tatizo linakuja kwamba. hakuna chochote ninachofaham kuhusiana na jambo hilo Hivyo naomben msaada kwa anayefaham namna ya kuandaa...
  7. Trump asema hana matatizo ya akili au uelewa na kuitisha mtihani kwa wagombea

    Trump amesema anafikiria wagombea wote wa urais wanapaswa kupewa mtihani wa uelewa, huku akisisitiza kwamba yuko sawa kiafya ya akili na muafaka kuingia madarakani. Akimzungumzia Kamala Harris huko Pennsylvania, alisema: "Sina tatizo la uelewa – lakini yeye anaweza kuwa na tatizo hilo." Trump...
  8. Hapa ni mbunge atatafuta ulaji au kuwapigania wananchi?

    Ninaomba mwenye uelewa anieleweshe! Hapa ni mbunge atatafuta ulaji au ni mbunge anatafuta kuwapigania wananchi wa Jimbo lake?
  9. Ni mfumo wetu wa elimu mbovu au wanafunzi uelewa upo chini? Nchi nyingi duniani vijana waliosoma ICT ndio matajiri ila kwetu wanazunguka na bahasha

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hebu tutoe maoni kwanini vijana wa sayansi especially ICT wanahangaika sana wakati Kwa elimu yao wangekuwa na uwezo wa kubuni apps ambazo zingewakwamua kiuchumi badala yake wanahangaika na bahasha kama wahitimu wa procurement & supply. Mfano wa kijana wa...
  10. M

    Mwenye majibu kuhusu jambo hili anisaidie nami nipate uelewa

    Mfumo wa demokrasia hapa nchini ulianzishwa rasmi mwaka 1992 chini ya Rais Mwinyi akiwa ndiye mwenyekiti wa chama mapinduzi CCM, na ndio kilikuwa chama pekee cha siasa kabla ya hapo kutokana na mfumo wa siasa wa wakati huo. Najua suala la maamuzi ya kuruhusu mfumo wa mabadiliko ya kisiasa...
  11. Kuna Mwenye Uelewa au Uzoefu na Namna UFANDAO Inavyofanya Kazi?

    Habari wana JF Mimi ni jobless wa muda mrefu na nimeona nitafute njia za kupata mtaji nifanye project niliyonayo kichwani. Kuna mtandao unaitwa UFANDAO kwaajili ya ufadhili kutoka kwa watu mbalimbali endapo watashawishika na wazo lako. Kuna mwenye uelewa na namna inavyo-operate anipe hints...
  12. Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

    Habari Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama.. 1.Pua kucheza 2.kung'ata ulimi 3.ngozi juu ya jicho kucheza 4.na viungo vinginevyo.. 5... 6... Asante. Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
  13. H

    Hivi ni kweli kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea au uelewa mbovu tu

    Wakuu habarini za mchana. Ningependa kulifikisha hili swala kwenu hasa wataalam wa afya kama wapo humu. Kuna huu msemo kwamba "kama ina maji mchubuko hauwezi kutokea na huwezi kuunganishwa kwenye gridi ya taifa". Kusema ukweli ile kitu ni tamu sana bila kutumia co.nd.om lakini tunaogopa hili...
  14. G

    Naomba uelewa wa kitu kinachoitwa project management proffessional(PMP)

    Habari wanaJF Naomba uelewa wa kitu kinachoitwa project management proffessional(PMP), ni kitu gani? wahusika ni wapi wanatakiwa kusoma? kuna faida zipi ukisoma na hasa kwa muajiriwa wa serikalini?. Naomba kujuzwa chochote kuhus PMP..
  15. Mwenye uelewa atoe ufafanuzi hapa

    Ni kuhusu upandishaji wa vyeo kwa watumishi wa umma unaoendelea mwaka huu,ni kazi nzuri ya serikali yetu kongole sana Rais wetu.. Swali ni je kuna watumishi walioko masomoni mpaka sasa vipi nao wanapanda? Na kama hawapandi wakirudi kazini wakija kupanda cheo si watazidiwa muda wa cheo na wenzao...
  16. T

    Naombeni uelewa msaada

    Ety ndugu zangu naombeni mnisaidie, matokeo ya kidato cha Sita 2024 yanatoka LINI?
  17. L

    Spika Dkt.Tulia Ackson ana uelewa mkubwa sana wa masuala ya kisheria

    Kama ni uchawa basi mm niko tayari kuwa chawa wake, ni kama Maria Sarungi alivyo chawa wa Tundu Lissu au God bless Lema alivyo chawa kwa Mbowe, mimi ni chawa wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kwanini, nimekuwa nafatilia sana shughuli za bunge na leo asbh naangalia kipindi...
  18. Uelewa wetu wa Maarifa unapoua uelewa wetu wa mwili

    Siku hizi maisha yetu yametawaliwa na sheria na kanuni tunazopata kutoka kwenye maendeleo yetu ya maarifa kwa jinsi tunavyo fikiri na kutafuta ubora wa maisha tunavyo ishi. Vitu vingi tumevichambua kwa faida na hasara kutokana na mahitaji yetu tunavyo hisi tunahitaji kuwa bora. Kila siku...
  19. Mwenye uelewa na hiki anijuze kuna jamaa yangu kakiokota shambani

  20. T

    Ukiongea ndiyo watu hukujua uelewa wako. Nimemsikiliza Juma Homera RC Mbeya. Makonda na mauza uza yake ya nyuma ni RC bora.

    Nimefuatila ibada mbashara ya kumuweka wakfu Ask. Robert Pangani wa kanisa la Moravian Jimbo la kusini Magharibi - Mbeya ambapo mgeni rasmi ni Mhe. Rais Dr. Samia ambaye amewakirishwa na Naibu Waziri Mkuu. Mkuu huyu wa mkoa ni mweupe kanisa, hajui itifaki, kwanza amepewa nafasi kumkaribisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…