Siku mbili baada ya shahada za uzamivu (PhD) za viongozi wa kisiasa hasa Mawaziri na Wabunge kuibua mjadala, uongozi wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umezitetea na kueleza namna ya kuondoa shaka juu yake.
Akizungumza na Mwananchi, Makamu Mkuu wa UDOM, Profesa Faustine Bee amesema wenye shaka...