udiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    GE2025 Hamis Mbeto: Ukitoa Rushwa Tunakukata kwenye uteuzi wa wagombea Ubunge na Udiwani

    UKITOA RUSHWA UNAKATWA, UTEUZI WA WAGOMBEA WA CCM KUELEKEA UCHAGUZI MKUU Katibu wa itikadi na uenezi na mafunzo wa chama cha mapinduzi (ccm) upande wa zanzibar Hamis Mbeto ameeleza jinsi wagombea wa chama cha mapinduzi wanavyo patikana katika mchujo wa kura za maoni na kusisitiza kuwa wagombea...
  2. kavulata

    GE2025 Nini kimesababisha CCM kujitokeza watia nia wengi nafasi za udiwani na ubunge?

    Tangu ujio wa uchaguzi wa vyama vingi mwaka 1995, CCM haikuwahi kuwa na wetu wengi waliojitokeza kutafuta nafasi ya chama ya kuteuliwa kuwa wagombea katika nafasi za ubunge na udiwani kama ilivyo sasa kwenye uchaguzi wa 2025. Nini kimechagiza watu wengi kujitokeza safari hii kuomba nafasi ya...
  3. M

    GE2025 Vita ya udiwani Mawenzi; Wananchi wachoshwa na diwani aliyekaa zaidi ya miaka 15 bila mafanikio

    WANANCHI WA KATA YA MAWENZI WAAMKA: WAMCHOSWA NA DIWANI ALIYEKAA MADARAKANI ZAIDI YA MIAKA 15 BILA MAFANIKIO Moshi, Tanzania – Katika kile kinachoonekana kuwa mwamko mpya wa kisiasa miongoni mwa wananchi wa Kata ya Mawenzi, Moshi Mjini, wananchi wengi sasa wameamua kusema wazi kuhusu...
  4. Jackal

    Uchaguzi Wa Majina Ya Wagombea Wa Udiwani CCM Mambo Si Shwari

    https://www.facebook.com/share/v/15eTpk7HpN/
  5. Street Hustler

    Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
  6. W

    Makalla: Watia nia nafasi za Udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge ni zaidi ya 10,000

    Amos Makalla alipoulizwa sababu za kupeleka mbele mchakato wa uteuzi ameeleza kuotokana na namba kubwa ya watu walioomba nafasi hizo ngazi ya udiwani na ubunge. Ameeleza kuwa waliotia nia udiwani ni zaidi ya 27,000 na Ubunge 10,000.
  7. Yoda

    Wazanzibar wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika?

    Wazanzibari wanaruhusiwa kugombea ubunge na udiwani Tanganyika? Wanaruhusiwa kugombea uenyikiti wa vijiji na mitaa Tanganyika?
  8. R

    Afariki siku chache baada ya kuchukua fomu kuwania Udiwani

    Aliyekuwa diwani wa Kata ya Mahuninga amefariki dunia siku chache baada ya kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ndani ya Chama chake cha Mapinduzi (CCM), kuwania nafasi hiyo kwa mara nyingine. Kisogole, alikuwa diwani wa Mahuninga katika Tarafa ya Idodi, mkoani Iringa na amefariki dunia jana Ijumaa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Mnec Mwaselela: Hakuna mtu aliyetumwa na kiongozi kutia nia ubunge na udiwani

    Mjumbe wa Halmashauri kuu ya chama cha mapinduzi CCM taifa Ndugu Ndele Mwaselela amesema hakuna mwanachama yeyote aliyetumwa na kiongozi wakitaifa wala mkoa kwenye mchakato wa kuchukua fomu za kutiania ya kuwania nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama hicho. Mwaselela amewaambia waandishi...
  10. R

    GE2025 Elias Njoli achukua fomu Kugombea Udiwani kata ya Madukani, Dodoma

    Kada na Mwenyekiti wa jumuiya ya wazazi Chama cha Mapinduzi (CCM), Kata ya Madukani Dodoma Mjini, Elias Njoji amechukua fomu kuomba ridhaa kugombea udiwani kwenye kata hiyo Njoji amekabidhiwa fomu jana Julai Mosi, 2025 na Kaimu Katibu Kata ya Madukani, Neema Magoda Soma pia: Pre GE2025 -...
  11. R

    GE2025 Judith Lukunye achukua fomu kuwania Udiwani Goba

    Judith Audax Lukunye amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuwania udiwani kupitia Chama cha MapinduI ndani ya kata ya Goba wilaya ya Ubungo Soma pia...
  12. Just Pray

    PreGE2025 Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum UWT Kata ya Nachingwea, Lindi

    Katibu wa Chama cha Makandarasi Wanawake Kanda ya Kusini, Mossi Mzee Nampembe, amejitokeza rasmi kuwania nafasi ya udiwani wa viti maalum kupitia Umoja wa Wanawake wa Tanzania (UWT) katika Kata ya Nachingwea, Wilaya ya Lindi mkoani Lindi. Akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya...
  13. mshale21

    Vigezo vya kugombea ubunge , udiwani na urais viboreshwe, la sivyo tutatengeneza Taifa lenye viongozi vilaza

    Kwa vigezo vilivyopo na katiba mbovu tuliyonayo , ni wazi kabisa tunakoelekea tutatengeneza wabunge na mawaziri vilaza kuliko kawaida. Nashauri hili suala liangaliwe kwa jisho la tatu na kwa wivu mkubwa kwa maslahi mapana ya taifa letu, ni wazi kabisa kuwa walioitengeneza katiba hii...
  14. Mkalukungone Mwamba

    GE2025 Pili Hassan Moshi atia nia ya udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini

    Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Ndugu Pili Hassan Moshi leo Juni 29, 2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa Viti Maalum Wilaya ya Dodoma Mjini. Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025
  15. Just Pray

    PreGE2025 Thomas Materi achukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia CCM kugombea Udiwani Kata ya Terrat, Simanjiro

    Thomas Materi amejiunga rasmi na mchakato wa kugombea Udiwani Kata ya Terrat kwa kuchukua fomu ya kuomba uteuzi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM).
  16. Just Pray

    GE2025 Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata Iwawa Makete

    Kinyang'anyiro cha udiwani kata ya Iwawa wilayani Makete mkoani Njombe kinaendelea kushika kasi baada ya Bi. Silivia Mahenge kujitokeza kuchukua fomu ya kugombea udiwani wa kata hiyo Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Leo Juni 29,2025 amechukua fomu na...
  17. W

    GE2025 Mchekeshaji Stanbakora agombea nafasi ya udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro

    Mchekeshaji @stanbakora_ Agombea Nafasi Ya Udiwani Kata Ya Kiwanja Cha Ndege Morogoro Ameyasema Hayo Kupitia Ukurasa Wake Wa Instagram Kwa Kuandika👇 “Wana MOROGORO MJINI Kata Ya KIWANJA CHA NDEGE Nipo Tayar Kuwatumikia”
  18. Just Pray

    GE2025 Bovan Mwakyambiki achukua fomu ya kugombea udiwani kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa

    Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025. Akizungumza mara baada ya Kuchukua Fomu hiyo, Bovan amesema kuwa Hatua hii si tu ya kisiasa, bali ni ishara ya ujasiri, utayari na...
  19. Just Pray

    GE2025 Yusuph Mwambete achukua Fomu kugombea Udiwani kata ya Ilemi Jimbo la Uyole

    Yusuph Mwambete amechukua Fomu kugombea Udiwani kata ya Ilemi Jimbo la Uyole
  20. W

    GE2025 Kaka wa Babu Tale, Iddi Shaban Taletale autaka udiwani wa Makurumla, Ubungo kupitia CCM

    Iddi Shaban Taletale ambaye ni Kaka wa @babutale amechukua fomu tayari kujitosa kuwania Udiwani Kata ya Makurumla Ubungo jijiini Dar Es Salaam. Source: Crown TV
Back
Top Bottom