udiwani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Just Pray

    GE2025 Joel Biton Silungwe achukua fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM kugombea udiwani kata ya chipaka, Tunduma

    Joel Biton Silungwe amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na chama kugombea udiwani kata ya chipaka halmashauri ya mji wa tunduma Mkoani songwe.
  2. Just Pray

    PreGE2025 Bovan Mwakyambiki achukua Fomu kutia nia Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa

    Mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM Bovan Mwakyambiki achukua Fomu ya kugombea Udiwani Kata ya Mkimbizi Manispaa ya Iringa katika uchaguzi Mkuu wa Oct 2025. Akizungumza mara baada ya Kuchukua Fomu hiyo, Bovan amesema kuwa Hatua hii si tu ya kisiasa, bali ni ishara ya ujasiri, utayari na...
  3. W

    GE2025 Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo, Shinyanga

    Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jackline Isaro, amechukua fomu ya Kugombea Udiwani Kata ya Ngokolo. Amechukua fomu hiyo leo Juni 28,2025 katika Ofisi za CCM Kata ya Ngokolo huko mkoani Shinyanga. Zoezi la uchukuaji fomu katika Chama Cha Mapinduzi CCM limeanza leo na watia nia mbalimbali...
  4. W

    GE2025 Shetta ajitosa kugombea udiwani kata ya Mchikichini

    Wakuu, Wakati mwanaye akiendeleza harakati pale Chipukizi, baba mtu naye amaeamua kujitosa udiwani kata ya Mchikichini, Dar es salaa. === Nurdin Bilal Ally Juma alimaarufu kama Shetta amechukua Fomu ya Kutia Nia ya kugombea Udiwani kata ya Mchikichini - Ilala Jijini Dar Es salaam. Hapa Shetta...
  5. Roving Journalist

    GE2025 Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Udiwani katika Uchaguzi Mkuu 2025

    Tunavyoelekea kwenye uchaguzi Mkuu 2025 baadhi ya vyama vya siasa nchini vimefungua dirisha kwa wanachama wao kutia nia kugombea nafasi za Udiwani. Uzi huu utakusogezea wananchi wanaotia nia kugombea nafasi ya Udiwani na watakaopitishwa na vyama vyao kugombea nafasi hiyo. Juni 2025 Pre...
  6. Boveta

    Prof. Ibrahim Lipumba Mwenyekiti wa Chama Cha Wanainchi CUF amefanya chama Wilaya ya Ubungo kuzungumza na watia nia wa ubunge

    Pamoja na mambo mengine Professa Ibrahim Lipumba amehimiza kila kata zilizo katika wilaya ya Ubungo ni muhimu kuwa na ilani inayoendana na hali ya eneo husika.
  7. Puna

    Uzi maalumu wa watia nia wa Udiwani na Ubunge wa Uchaguzi Mkuu.

    Leo ndio Leo Tarehe 28/06/2025 Chama Cha mapinduzi(CCM) kimepuliza kipyenga chake Cha watia nia wa nafasi za Ubunge na Udiwani kupitia Cha hicho kuanza kuchukua fomu.Na hii inatoa fursa kwa wale ambao hawakujitangaza kwa kuogopa rugu la chama kuanza kampeni kabla,sasa ni Wakati wao huu wa kuweka...
  8. W

    GE2025 CCM Kigoma yawaasa vijana kujitosa mbio za ubunge na udiwani

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Kigoma, kimesema zoezi la uchukuaji wa fomu za kugombea Ubunge na Udiwani zitaanza kutolewa Juni 28, 2025, huku wenye umri kuanzia miaka 21 na kuendelea wakitakiwa kujitokeza na kuchukua fomu za kugombea nafasi hizo muhimu, kwa kuwa ni haki yao.
  9. Idugunde

    Kuna mpasuko mkubwa kwa Wanachama wa CCM . Makundi yameibuka na msuguano mkubwa juu ya kupata wagombea ubunge na udiwani

    Sasa hivi kila jimbo la uchaguzi wanaCCM wanavutana nani awe Mbunge wao. Vijembe na mikwaruzano imeanza kutokea WanaCCM watauana safari hii sababu ya ubunge na udiwani.
  10. Q

    G55 wajipanga kuhama CHADEMA, lengo ni kusaka frusa za Ubunge, Udiwani.

    Ni baada ya Chadema kutosaini kanuni za maadili ya uchaguzi. Mrema awasihi watia nia Ubunge na Udiwani kuwa watulivu kusubiri maamzi ya chama. My Take; Kama wameamua kuhama wanasubiri maamzi ya chama kipi wanachotoka au wanachohamia.
  11. C

    Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji na akapata anaweza kugombea udiwani mwaka huo huo?

    Habari wanajf, Hivi inawezekana mtu aliyegombea nafasi ya mwenyekiti wa kitongoji katika uchaguzi wa serikali za mitaa na akapata anaweza kugombea udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huo huo?
  12. Tlaatlaah

    PreGE2025 Je, ni kweli watia nia za Urais, ubunge na udiwani wa CHADEMA uchaguzi mkuu hawaielewi No reform No reform, hata waitwe makao makuu?

    Na ikiwa watia nia wana uelewa finyu kiasi hicho hadi waitwe chadema HQ kufundishwa, vipi uelewa wa wanachama wa kawaida wa chama hicho, watakua katika hali gani ya ufahamu kuhusu hiyo no reform no elections isiyo na tija wala faida kwao? Kulikoni kuelekea uchaguzi mkuu wa October, CHADEMA...
  13. W

    PreGE2025 Gavu: Hakuna Mgombea Udiwani atakayeonewa

    "Nidhamu tuliyoitengeneza wanaweza kugombea watu 100, vikao vitaanza kwa ngazi husika kwenda kuchuja ili tupate mgombea ambaye tuna hakika kati ya hao watatu yeyote atakayechaguliwa ana sifa ya kupeperusha bendera ya CCM na kupata ushindi" - Issa Gavu, Mjumbe wa kamati kuu CCM Kupata matukio...
  14. W

    PreGE2025 Wassira awaunga mkono vijana kugombea ubunge na udiwani

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Wasira, ametoa rai kwa vijana wenye sifa kujitokeza kugombea udiwani na ubunge katika uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba mwaka huu. Wasira ametoa rai hiyo leo Machi 16,2025, alipokuwa akizungumza na Wana CCM Wilaya ya...
  15. W

    PreGE2025 CCM Ruvuma yahimiza demokrasia kwenye nafasi za wagombea udiwani na ubunge

    Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kimewataka wanachama wake kuhakikisha wanazingatia taratibu, Sheria, na kanuni za Uchaguzi wakati wa mchakato wa uteuzi wa wagombea wa Ubunge na Udiwani. Lengo ni kuwarudisha madarakani wagombea wanaopendwa na wananchi, lakini kwa kufuata miongozo ya...
  16. M

    PreGE2025 CHADEMA ielekeze nguvu kwenye Udiwani na Ubunge, Urais bado

    Huu ni ushauri wa bure kabisa kwa uongozi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuelekea uchaguzi Mkuu mwezi Oktoba, 2025 kwamba kwa viashiria vyote vya kitafiti na kiuchambuzi wa sayansi ya siasa na masuala ya kiuchaguzi siioni nafasi yao katika kushinda Urais wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. Mkalukungone Mwamba

    PreGE2025 CCM Iringa: Watiania wanaojipitisha majimboni kabla ya muda waambieni tutawafyeka

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Iringa vijijini kupitia kwa Katibu wake Sure Mwasanguti wametoa onyo kali na la mwisho kwa baadhi ya watia Nia wa nafasi ya Udiwani na Ubunge wanaojipitisha katika Kata na Majimbo na kujitangaza na kuomba ushawishi kwa wajumbe kabla ya muda kutangazwa...
  18. Just Pray

    PreGE2025 UVCCM Lindi: Vijana acheni kuwa madalali wa wagombea, wanaofanya kampeni kampeni kabla ya muda kukiona

    Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Lindi kimewataka Vijana kujipambanua na kugombea nafasi mbalimbali za kiongozi ili nao wawe viongozi na sio kuwabebea mabegi Wagombea Ubunge na Udiwani. Akizungumza na KITENGE TV Katibu wa Itikadi Uenezi na Mafunzo mkoa wa Lindi, Patrick Magarinja alisema kuwa...
  19. Apollo tyres

    Tetesi: Dr Bashiru kugombea udiwani kata ya Kanazi, Bukoba vijijini.

    Hii Taarifa nimedokezwa na Wadau wa kanazi kuwa Dr Bashiru anataka udiwani wa kata kanazi. Kama ni kweli basi nadhani ameamua kujiua kisiasa na kukubali matokeo.
  20. R

    Kwanini watia nia nafasi ya Urais wanaruhusiwa kuonyesha nia zao mapema lakini wagombea ubunge na udiwani wanaonekana kama wanatenda jinai ?

    Kwanini wagombea urais wanapenda sana wafahamike kwa wananchi mapema zaidi hata mwaka kabla ya uchaguzi lakini ni marufuku kwa watia nia ubunge na udiwani kuonyesha nia zao? Hali hii ipo kwenye vyama vyote vya siasa nchini na ukanda wa Afrika. Mfano kwa sasa mgombea Urais au mtia nia ACT...
Back
Top Bottom